aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua anisaidie namna ya kudhibiti Sisimizi

    Habari wana JF! Katika nyumba yangu kuna tatizo la sisimizi. Hivi sasa imekuwa ni kero mtindo mmoja. Kwa yeyote anayefahamu, naomba anijuze nitumie dawa gani ili wadudu hawa wapotee kabisa ndani ya nyumba yangu.
  2. Najiona Mimi

    JamiiForums Tanzania MSAADA:Namna ya kun’garisha viatu vya aina hii

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, napata tabu ya kun’garisha boot lang maana mwanzoni nilikua nafosi natumia kiwi ila sasa nikawa naona kama rangi yake inafifia. Then nikaona niwe navifuta tu na maji kidogo kwenye kitambaa napo naona havin’gai vinafifia. Wenye ujuzi wa viatu vya ngozi hii...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera aina yako ya siasa haina nafasi kwa sasa, Pole

    Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa akitumwa na Chief Whip kwa agenda zao Bungeni hasa kufunika masuala kadhaa ya ufisadi , kushambulia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Aina ya mavazi yenye muonekano mzuri ukiwa kazini katika kipindi cha mvua

    Vaa sweta na snika. Snika ni viatu aina vyenye muonekano kama raba. Unaweza kuvaa sweta ndefu na suruali kwa mwanamke, kama utavaa sketi au gauni ni vizuri ukavaa sweta fupi ili uwe na muonekano mzuri zaidi. Kwa mwanaume vaa suruali na sweta fupi kiasi, sweta inayofika hadi shingoni ina mvuto...
  5. Darucha

    JamiiForums Tanzania Kwa mtindo wa uchezaji wa Haaland, hizi ndizo timu zinazomfaa

    Timu hizi zinamfaha Sana jamaa akienda kwenye hizi timu anaenda kuwa straiker mmoja hatari Sana duniani na anaenda kuvunja baadhi ya record za ufungaji wa mabao duniani 1- Chelsea 2- PSG 3- Bayern munichen 4- Man utd 5- Real madrid - Sijawaweka Liverpool, Man city, Barcelona kwa sababu hizi...
  6. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wakipokea pesa aina ya dollar lazima wainuse?

    Habari wadau..! Nimefanya utafiti nimegundua watu wengi wakikamata kitita cha dollar lazima wakinuse kwanza kuna siri gani katika hili?
  7. EJM_

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya IST inauzwa

    Brand: Toyota IST Year of Manufacture: 2005 Engine capacity: cc 1290 Transmission: Automatic Price: 6M Location: Dar es salaam Mwenye gari anahitaji pesa ya haraka na hakuna udalali. Unaweza kuwasiliana kwa namba 0742555000
  8. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Simu aina ya pro max

    Wadau polen na majukum Kuna simu nimeziona pale kikuu zina ram ya kutosha na internal gb nzur sn halaf bei ya kawaida nikasema ngoja nililete hapa kwa wajuvi mtujulishe juu ya ubora na uimara za hiz simu Naomba wataalamu wa simu mtufafanulie zaid natuma na sceen shot zake
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

    Habari Wadau, Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza, Nguo za Harusi ( Suti na Magauni) Uniform za Maoffisi na Mashuleni Mishono ya Vitenge Casual Wear etc Karibuni Ofisi zetu zipo kinondoni Manyanya opposite na American Chips. Mawasiliano 0737610682
  10. Pawaga

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

    Basi leo ngoja nikueleze habari ya kufurahisha kuhusu nyoka huyu, kwanza ni miongoni mwa viumbe ambao wamesaidia lugha ya kiswahili kukua, kwa waliosoma kiswahili wanaweza kufahamu vyema kuwa miongoni mwa mambo ambayo husaidia kukua kwa lugha ni pamoja na lugha kukopa maneno, misimu pia...
  11. mangolomangaraba

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa aina hii ya mbwa

    Jamanii kwa anae jua mbwa naomben msaada uyu n aina gani ya mbwa
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna Covid za aina nyingi duniani? Na kwanini muda huu?

    Yawezekana kuna sababu kwanini kuna covid za aina nyingi ila mimi sijui, South Africa wana covid tafauti na iliopo duniani, Tanzania pia juzi kuna watu walikutwa na aina ingine ya covid! Kwa wale mnaolewewa hizi variants zinatoka wapi , na kwanini zimekuja muda huu pia mtueleze?
  13. ZOPPA

    JamiiForums Tanzania maumivu makali ya kichwa miguu kupasua baada ya kutumia dawa aina ya sipro

    msaada tafadhali nilikua najiskia vibaya homa kali kichwa kuuma kila muda vidonda mdomon nikaenda kituo cha afya kupima nikaambiwa nina typhod 160 nikapewa dozi aina ya sipro tangia nilivyo meza hizi dawa kichwa kinauma sana miguu inapasua mapigo ya moyo kwenda mbio msahada...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Damu ya bluu ya Kaa aina ya Horseshoe hutumika kupima ubora wa chanjo

    Kaa aina ya Horseshoe ni wakongwe kuliko dinosaurs. Wamekuwepo kwa takribani miaka milioni 450. Zipo aina nne za kaa hao, aina tatu zinapatikana kwenye bara la Asia huku aina moja ikipatikana Marekani Pamoja na kuwa wameishi kwa mda mrefu lakini pia wamesaidia maisha ya mwanadamu kuendelea...
  15. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Aina, madhumuni na lengo la takwimu za covid tunazodaiwa na WHO si kama unazojua. Ni za 'testing, testing, testing preventive strategy'

    Kumekuwa na mihemuko ya baadhi ya wanajamii hasa wanasiasa za upinzani, wakitaka kupewa takwimu za ugonjwa wa covid 19. WHO nao wamekuwa wanadai takwimu. Ukweli ni kuwa takwimu wanazozitaka hawa baadhi ya wanajamii wazozitaka na malengo yao ni tofauti kabisa na zile WHO wanazozitaka. 1. Hawa...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mangariba wabuni aina mpya ya ukeketaji

    Aina mpya ya ukeketaji imeibuka nchini ambao wahusika hufanya huwasugua maumbile ya siri ya watoto wachanga kwa kutumia jiwe. Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Angela Kiama alisema hayo katika mafunzo ya siku mbili ya waandishi wa habari kuhusu ukeketaji kwa...
  17. koncho77

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mpenzi wako ni mwanamke wa namna gani, kuwa karibu na marafiki zake

    Kama marafiki zake wa 4 ni malaya, basi yeye ni malaya wa 5.. Kama unataka kujua demu wako ni mwanamke wa aina gani, kuwa karibu na marafiki zake.. Marafiki zake watakuonyesha demu wako ni mwanamke wa aina gani..
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

    Mkazi wa Mbezi Tangibovu Said Mbasha(24), na wenzake watatu, wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin kilo 30. Wengine ni Joseph Dalidali(27) maarufu Kama Mbezi Tangibovu; Allu Murugwa( 24) mkazi wa Kijitonyama na...
  19. ribussama

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari aina ya IST

    Habari wadau. Nina gari yangu aina ya IST naiuza. Ipo kwenye hari nzuri sana. Niliagiza ins kama week moja tu lakini nataka nibadilidhe gari nyingine. Bei ni milion 12.5 tu
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kirung'u/kichui ni ugonjwa wa aina gani, ugonjwa huu ni common maeneo ya Moshi, Arusha!

    Kwa kichaga (cha kwetu) Rung'u maana yake ni chui, kwa hiyo sijajua kwa lugha nyingine unaitwaje na unaweza kua na majina mengine maeneo mengine kwa hiyo hilo sio jina rasmi nje ya kwetu Uko kama pumu/sio, pumu/tb/ sio tb yaani kifua kinabana mwanzo mwisho na kukohoa sana( kwangu haikua kikavu)...
Back
Top Bottom