aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya IST inawezaje kunirudishia faida

    Habarini za muda huu wakuu, Katika platform niipendano kabisa hapa duniani ya kwanza ni huu mtandao wa nyumbani tanzania JmaiiForum, nimejifunza vitu vingi sana na kujua mambo mengi sana na kupata msaada mwingi sana kutoka kwa wana jamii wenzangu wa humu ndani, kikubwa ni bando tu. Ngoja niende...
  2. Nkuruvi

    JamiiForums Tanzania User manual (mwongozo wa mtumiaji) ya gari aina ya toyota probox

    Wakuu, Naomba Mdau yoyote mwenye User Manual (Mwongozo wa Mtumiaji) gari ya aina ya Toyota Probox anisaidie. Nahitaji soft copy ya mwongozo huo. Waweza attach hapa. Asante
  3. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya aina yoyote ile sababu sina Elimu

    Habari ndugu zangu, kwa jina naitwa Mkogoti ni mzaliwa wa mkoa wa Mara nina shida na Ajira, yani natafuta kazi ama kibarua maana sina Elimu yoyote ya kuniajiri ofisini. Maisha ni magumu sana kwa upande wangu MUNGU ndo anajua ninavyopitia sina maneno mengi ya kusema ila niseme tu. Natafuta...
  4. Rodriquz

    JamiiForums Tanzania Ninaweza kucheza games kwenye Laptop ya aina hii?

    Hp probook 6475b . Processor AMD 2.70 Ghz . Ram 4Gb . HDD 200gb
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnaojua aina za Roho Mbaya zenye Ukatili na Udhalilishaji wa Kisiasa ndani yake, hii inaitwaje?

    Namlazimisha Mgonjwa wa Kisiasa ambaye uwiano wake wa ama Kufariki au Kuendelea Kuishi uko sawa ajitokeze Mtaani Kwetu ili Kuwaumbua Watesi na nionekane Mshindi kisha baadae anarudishwa tena Hospitalini halafu Hali yake inabadilika na Familia yake inaanza Kumuuguza huku Mioyoni mwao wakiumia kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Software ya KING'AMUZI aina ya DVB T - T2

    Naomba kama kuna Mtaalam mwenye Software ya KING'AMUZI aina DVB T-T2 Receiver anisaidie Kama kuna mtu Mwenye Software ya KING'AMUZI Aina ya DVB - T - T2 Receiver naomba tuwasiliane Inbox. King'amuzi chenyewe ni hiki cha kwenye picha hapa Chini Kinataka Ku - Update kinanipa taabu kimekuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

    Sijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema. Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ila tusidanganyane Al Ahly ni zaidi ya Simba SC ndani na nje ya Uwanja huku zaidi ikiwa...
  8. monotheist

    JamiiForums Tanzania Anayejua aina nzuri ya perfume

    Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo. Jinsia yangu ni mme Ahsanteni
  9. Rion Jr

    JamiiForums Tanzania Nauza bata, kuku na sungura nipo Chanika

    Habari za jioni wana jamvi kwa anaehitaji bata aina ya Muscovy (bata wa kawaida), kuku wa kienyeji na sungura Napatikana Chanika kwa Singa. Call 0746696878
  10. koncho77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikimpata wa aina hii naoa

    Kama Mwanamke Anadharau Mishe Zako, Achana Naye.. Kama Mwanamke Ana Heshimu Mishe Zako, Kuwa Na Mahusiano Naye.. Kama Mwanamke Anakusaidia Katika Mishe Zako, Muoe..
  11. koncho77

    JamiiForums Tanzania Kuna aina tatu ya wanawake wanaoomba hela

    Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Kwakua Ana Shida.. Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukukomoa.. Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukupima..
  12. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Unajenga? Tuna aina mpya ya vifaa vya ujenzi vinavyokupunguzia gharama za ujenzi na kukuokolea muda

    Kama unajenga au una plan kujenga au u fundi ujenzi au unataka kuongeza nafasi kwenye nyumba ya bati uliyonnayo sasa, wasiliana na na sisi kwa ushauri wa bure na kujionea aina mpya kabisa ya ujenzi unaokupunguzia sana gharama za ujenzi. Mafundi wote ujenzi tunawapatia masomo ya bure kabisa kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Elimu yangu ni shahada ya Takwimu na Hisabati, natafuta kazi yoyote halali

    Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 28. Elimu yangu ni shahada ya Takwimu na hisabati GPA 3.5 . Nikotayari kufanya kazi/ kibarua yoyote/chochote mahali popote. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wa dau
  14. D

    JamiiForums Tanzania Aina nyingine ya wizi mpakani Tunduma

    Habari ya asubuhi wanajamii, sasa naomba vyombo vya dola viangalie hili tatizo pale Tunduma border. kumezuka kikundi cha watu wanajiita umoja wa madriver wa IT. Yaani gari zinazovuka mpaka wetu, hawa jamaa wanachukua eti ushuru wa shs 5000/ kila gari tena ni lazima, ukiwauliza wanasema ni...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za mitambo mikubwa zinazotumika kwenye shughuli mbalimbali za miradi ya ujenzi mkubwa

    Aina mbalimbali za mitambo itumikayo kwenye tasnia ya ujenzi. Excavators Backhoe Dragline Excavator Bulldozers Graders Wheel Tractor Scraper Trenchers Loaders Tower Cranes Pavers Compactors Telehandlers Feller Bunchers Dump Trucks Pile Boring Machine Pile Driving Machine 1.Excavators Fig 1...
  16. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA PIKIPIKI AINA YA TVS cc 150 kwa 1.3 mil

    Hello jf Hiki chombo kina kina document zote za umiliki Chombo kinafanya kazi vizuri Karibu tufanye biashara 0744033555 Loc: Dar es salaam
  17. moudytz

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya pikipiki aina ya XR 250 mpya

    Wakuu naomba kujua bei ya hii pikipiki ikiwa bado mpya kabsa kwa hapa Tanzania naipenda kuliko hata gari
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi kata ya Mkoma wilayani Newala mkoani Mtwara hawajawahi kuona gari aina ya Fuso!

    Kwanza nauliza mbunge wa Newala ni nani na anatokea chama gani cha siasa? Nimeona kupitia kipindi cha Taarifa ya habari ITV wananchi wa kata ya Mkoma wilayani Newala mkoani Mtwara wakilalamikia ubovu wa barabara katika kata yao na kwamba hawajawahi kuona Fuso zaidi ya kuziona luningani...
  19. J

    JamiiForums Tanzania MALEZI: Aina za Kutelekeza Mtoto

    Kutelekeza watoto hufafanuliwa kama "aina ya unyanyasaji ambao unamaanisha kutompa mtoto huduma ya malezi inayohitajika na inayostahili kulingana na umri wa mtoto ingawaje kifedha mlezi au mzazi anaweza kufanya hivyo." Mara nyingi watu hushindwa kutofautisha kati ya umasikini na kutelekeza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

    Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona...
Back
Top Bottom