maumivu makali ya kichwa miguu kupasua baada ya kutumia dawa aina ya sipro

ZOPPA

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
2,691
2,787
msaada tafadhali nilikua najiskia vibaya homa kali kichwa kuuma kila muda vidonda mdomon nikaenda kituo cha afya kupima nikaambiwa nina typhod 160 nikapewa dozi aina ya sipro tangia nilivyo meza hizi dawa kichwa kinauma sana miguu inapasua mapigo ya moyo kwenda mbio msahada tafadhali kwa wajizu si mzoefu kwenye uwandaishi
 
Pole sana Mkuu.

Bila shaka ulipewa Ciproflaxin. Ni antibiotic inayosaidia pia kutibu tatizo la Typhoid. Ina madhara ambatanishi, ikiwemo maumivu ya kichwa, kichefuchefu, kutapika, kuharisha, nk.

Kama unaona inakusumbua, acha mara moja kuitumia. Nakushauri ukae muda kidogo uone hali itaendeleaje.

Hali ikiwa nzuri, basi nakushauri uende kwa daktari ubadilishe dawa. Upate labda Ceftriaxone ama Azirthromycn

Je, ulipewa na dawa za kutuliza maumivu? Hakikisha unameza pamoja.

ndio panadol
 
Halafu inasemekana dawa za antibaiotics siyo vizuri kukatiza dozi.

Nenda hospitali haraka kwa daktari alokuandika
 
msaada tafadhali nilikua najiskia vibaya homa kali kichwa kuuma kila muda vidonda mdomon nikaenda kituo cha afya kupima nikaambiwa nina typhod 160 nikapewa dozi aina ya sipro tangia nilivyo meza hizi dawa kichwa kinauma sana miguu inapasua mapigo ya moyo kwenda mbio msahada tafadhali kwa wajizu si mzoefu kwenye uwandaishi
Hizo dawa za Kizungu zina kudhuru ndio maana unapatwa na maradhi hayo uliyoyasema .Ukiweza acha jaribu dawa zetu za asili zisizo kuwa na amdhara yoyote mwilini mwako.Ukihitaji dawa ya kukutibu maradhi yako ya typhod 160 pasipo na kupatamadhara yoyote yale nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona uguwa pole.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom