stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,383
- 3,494
Yawezekana kuna sababu kwanini kuna covid za aina nyingi ila mimi sijui, South Africa wana covid tafauti na iliopo duniani, Tanzania pia juzi kuna watu walikutwa na aina ingine ya covid!
Kwa wale mnaolewewa hizi variants zinatoka wapi , na kwanini zimekuja muda huu pia mtueleze?
Kwa wale mnaolewewa hizi variants zinatoka wapi , na kwanini zimekuja muda huu pia mtueleze?