aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania MALEZI: Aina za Kutelekeza Mtoto

    Kutelekeza watoto hufafanuliwa kama "aina ya unyanyasaji ambao unamaanisha kutompa mtoto huduma ya malezi inayohitajika na inayostahili kulingana na umri wa mtoto ingawaje kifedha mlezi au mzazi anaweza kufanya hivyo." Mara nyingi watu hushindwa kutofautisha kati ya umasikini na kutelekeza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

    Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona...
  3. Pongo Pongo

    JamiiForums Tanzania Simu na aina zote za komputa zina athari gani kiafya?

    Habari za wakati huu. Samahanini kwa usumbufu wapendwa. Leo nahitaji kufahamu athari za kulala karibu na simu wakati wa usiku. Mara kadhaa nimekuwa nikijisahau na kulala na simu karibu yangu, haya yafuatayo yamekuwa yakiniumiza kila ninapoamka. Kwa nini unapoamka asubuhi unajisikia kuchoka sana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ijue Afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

    Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo. Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba. Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Waafrika kusini wanatuonaje Watanzania tunaoishi nchini mwao, hutuona ni watu wa aina gani?

    Unavyoenda nchi za watu ni vema ukajua watu wa nchi hizo wanawaonaje watanzania ili kujua mapema hali ilivyo na kama kuna matatizo ujue mapema jinsi ya kuyakwepa au kama ni positivity uijue mapema. Kuna dogo hapa anataka kwenda huko kusoma na hatimae kuishi huko.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

    Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio. NImejaribu kutumia vumbi la congo pia limenitupa mkono. Sasa nimebakisha mawili tu. Nimenza mazoezi takriban wiki ya pili sasa na naendelea...
  7. Abu Haarith

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya ku unlock simu aina ya amazon fire

    Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM Natanguliza shukrani.
  8. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya mmea au kitu gani kinaweza kutoa harafu ya pombe mdomoni hata kama umekunywa mtu asigundue?

    Habari za Mida hii jamaa zangu wa humu na dada wa humu. Naomba kujua jinsi ya kutoa harafu ya pombe mdomoni sitaki ajue mtu kwamba nimekunywa pombe? Je, inawezekana hiyo, maana leo nisipoweza hiyo mtanikuta Kusikojulikana🤭 Msaada jamani uwiiii🤦😜🏃
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Ndege aina ya Boeing 737 jet iliyokuwa na watu 62 yapata ajali na kupotelea ndani ya bahari

    Sriwijaya Air,Ndege ya abiria ya Indonesia ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano mda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Jakarta,imeanguka ikiwa na abiria 62, Wizara ya usafirishaji ya Nchi ya Indonesia imethibitisha. Mashuhuda wanasema wameiona Ndege ikilipuka karibu na Kisiwa cha...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

    Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa sumu, huku makampuni ya Mazda na Maserati yakiwa tayari yametengeneza au kuweka mipango ya kutengeneza...
  11. Shamili benedicto

    JamiiForums Tanzania Naweza fanya kazi ya aina Gani baada ya kusomea IT?

    Habar zenu jamani mi ni mgeni humu ndan nina shauku ya kujua kuwa naweza fanya kazi ya aina gani baada ya kusomea it?. Na pia kama nilisoma mchepuo wa arts o- level na mathematics nilifeli je yawezekana kusomea hiyo koz?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya Uongozi, Siasa na Amri Kitaalam inaitwaje?

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bwana Gelasius Byakanwa atoa mwezi 1 kila mwananchi mkoani humo ahakikishe anamiliki shamba la Mikorosho, vinginevyo serikali itawachukulia hatua za kisheria. Taarifa: ITVTanzania
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii siyo dalili pekee ya Mtu aliyekuwa Tajiri, Matanuzi ya kila aina na Jeuri ya Kimafanikio kuanza Kufilisika?

    Jacqueline Wolper atangaza kutaja mastaa 10 anaowadai. Taarifa: EastAfricaTV
  14. Lagrangian

    JamiiForums Tanzania Natafuta sabuni aina ya “ALFA”.

    Wakuu wasalaam. Kheri ya mwaka mpya. Mwenyezi Mungu akatujalie afya njema na mafanikio tele 2021. Ndugu wana JF, natafuta hizi sabuni aina ya ALFA kama inavyoonekana Pichani. Hizi sabuni zinahitajika sana tatizo limeibuka kua hazipatikani kwa wingi. Tafadhali mwenye kujua zinakopatikana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ijue ndege aina ya boeing iliyoibwa airport nchini Angola mnamo mwaka 2003

    The aircraft involved was a Boeing 727-223 manufactured in 1975 and formerly operated by American Airlines for 25 years. Its last owner was reported to be Miami-based company Aerospace Sales & Leasing. [2] While on lease to TAAG Angola Airlines it had been grounded and sat idle at Luanda for 14...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ile ndege aina ya Bombardier mbona haiwasili kama tulivyoahidiwa kuwa itawasili mwezi huu wa Desemba?

    Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya? Je,walitawahi tangaza kuahirisha? Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje? Mwenye majibu tafadhali.
  17. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dkt. Gwajima anafurahisha na kuonesha aina ya viongozi nchi yetu inahitaji

    Binafsi nimefurahishwa na jinsi Waziri wa Afya alivyoanza kazi. Anaonekana mtu mwenye kuelewa wizara yake inavyofanya kazi, ina changamoto zipi na ana dira ya maboresho yanayohitajika kuleta tija. Amekuwa tofauti na Mawaziri wengi ambao wanaonekana kufanya kazi sio kwa kuelekeza nini kifanyike...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya kuku aina ya croiler na broiler ni nini hasa?

    Hawa croiler tunaambiwa wanakaribiana na kuku wa kienyeji tofauti na broiler ambao ni pure kuku wa kisasa. Ukifuatilia utagundua tofauti yao inatokana na jinsi wanavyozalishwa(cross breeding) ila kwakweli hawa kuku kiuhalisia ni wale wale tu na tofauti ni ndogo sana. Kwa mfano, nyama ya...
  19. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

    UMOFIA KWENU! Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupata maoni au mtizamo wa jamii kwa namna inavyowachukulia madereva wanoendesha magari aina ya SUBARU na ALTEZA hapa Tz. Kwa kuanzia, mimi binafsi nawaona wengi wao kuwa ni: 1 - Vijana wa kiume 2 - Wanaendesha kwa 'rafu' sana. 3 - Over...
  20. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop aina HP 650 imegoma kuwaka

    Kwema Viongozi, Laptop yangu haiwaki kabisa. Naombeni kujua shida inaweza kuwa ni nini? Nimejaribu kubadili charger lakini hakuna mabadiliko. Nb ni ina 8yrs now hp 650
Back
Top Bottom