aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

    Mwanamke 1. Mzuri wa Sura 2. Mzuri wa Umbo 3. MWENYE AKILI? Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto. Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu? Miaka...
  2. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Sasa tunaweza kukubaliana kuwa; aina ya siasa anayoifanya Rais Samia ni ya kiwango cha juu sana ambapo ni nadra sana kuiona Afrika

    Rais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’. Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe anaangalia tu matokeo ya mwisho ya michakato, bali pia uhalali wa michakato yenyewe na kutumia busara ya...
  3. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Aina za Adhabu Ambazo Hutolewa Mahakamani

    Utaratibu ni kwamba, mtuhumiwa akishatiwa hatiani, kipengele kinachofuata (after mitigation) ni kupewa adhabu. Sasa adhabu ziko nyingi; inaweza kuwa kifungo gerezani, kulipa faini, kutaifisha mali/kitu, kuchapwa viboko, kuhukumiwa kifo au kulipa fidia, n.k Kwa Tanzania, adhabu za makosa...
  4. BigTall

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais Kenyatta: Kila Mgombea ajiandae kupokea matokeo ya aina yoyote

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa. Kenyatta ambaye anamuunga mkono mgombea wa Azimio La Umoja, amesema hawatakiwi kuhawamisha wapiga kura wao kufanya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Roho za aina tatu zenye thamani alizoziacha duniani profesa mkulima Yuan Longping

    "Mwanadamu ni kama mbegu, anatakiwa kuwa mbegu bora. " Haya ni maneno ambayo mwanasayansi wa kilimo wa China anayejulikana kama "Baba wa mpunga chotara " Profesa Yuan Longping alikuwa akipenda kusema wakati alipokuwa hai. Mei 22, 2021, Yuan aliaga dunia mjini Changsha, Hunan akiwa na umri wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Aina za halmashauri kwenye serikali za mitaa

    Naomba kuuliza wataalamu, je kuna aina ngapi Za halmashauri kwenye serikali za mitaa?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari. Chukua tahadhari.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO. TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU. ●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi ●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu ●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Digidigi ni wanyama wa aina gani? Tanzania wanapatikana wapi?

    Eti wakuu, digidigi ni wanyama wa aina gani? Wanatofauti gani na swala? Wanafugwa?
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Aina mpya ya maambukizi ya tetekuwanga yathibitishwa

    Maafisa wa afya wamegundua Maambukizi ya ugonjwa wa nadra unaofanana na tetekuwanga ujulikanao kama ‘Monkeypox’ Inaelezwa kuwa dalili za awali ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya misuli, mgongo na uchovu hata hivyo maumivu huwa makali zaidi kwa baadhi ya wagonjwa na huenea kwa...
  11. Cvez

    JamiiForums Tanzania Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa

    Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa. Watu wanajali sana jinsi gani wataonekana kuliko nini wanafikiria na nini ni msimamo wao. Huu ni utumwa mpya uliopewa jina zuri. As long huvunji sheria za nchi wala kudhalilisha mtu Personal Brand Image ni ulemavu wa fikra. Ukiishi kwa...
  12. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwani ninyi mnawafanyaga nini wanawake wa aina hii?

    Habari wandugu, Nimekutana na wanawake kadhaaa lakini sijawah kutana na mwanamke kama huyu ukweli ananipa changamoto sana. Nimwanamke ambae nimekutana nae somewhere tukabadilishana namba baada ya kumuelewa kiaina. Nikaanza kuanzisha ukaribu nae kwa kuwasiliana nae mara kwa mara na hapo ndo...
  13. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gari aina ya Grenadier litaanza kuuzwa Kenya

    Magari ambazo wenzetu hawajawahi kusikia zinakuja Kenya. Grenadier nj British car ambayo inauzwa South Africa pekee sasa itafungua dealership Kenya. British car Grenadier enters Kenya market British billionaire Sir James Ratcliffe has entered the Kenyan car market with the appointment of a...
  14. Kigilagilagatirumo

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya laki tano (500k) napata TV ya aina gani?

    Habari ya majukumu ndugu zangu, nmejikusanya kidogo kidogo nkafanikiwa kupata laki tano kwa ajili ya tv.. Nahitaji tv imara na nzuri, je naweza kupata kampuni gani na ni inch ngap? Ukiweza kunambia strength na weakness ya tv utakayonishauri ntashukuru zaidi. Asante
  15. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Malumalu aina hii nitaipata wapi Kwa maeneo DSM?

  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Matuta yanaharibu viuno vya wanaume wa Rukwa, yapunguzwe

    Mbunge unakosa hoja ya kulisemea taifa lako unaongelea upuuzi?! Kwamba changamoto lukuki zinazowakabili wana-Rukwa huyo mpuuzi kaiona ya viuno vya wanaume kuumia viuno ndiyo agenda kuu?! Nimetukana! =========================== MBUNGE BUPE: MATUTA YANAHARIBU VIUNO VYA WANAUME Mbunge wa Viti...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hadhari: Chocolate za Kinder Joy zadaiwa kuwa na Bakteria aina ya Salmonella

    Shirika la viwango vya vyakula nchini Uingereza liliondoa bidhaa hizo zinazo tengenezwa nakampuni ya Italia -Ferrero – ambayo ni watengenezaji wa Kinder Joy – wiki hii kutokana na visa 63 vya bakteria aina ya Salmonella husasan ni miongoni mwa Watoto. Ferrero ilisema kuwa hakuna bidhaa yake...
  18. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Aina za watu hatari katika kufanikisha ndoto zako

    Na Jerome Mmassy,Arusha Mwandishi wa vitabu maarufu Jim Rohn alisema kuwa “Wewe ni wastani wa watu watano unaokaa nao muda mwingi”.- Alisisitiza kuwa Kama unataka kufanikiwa hakikisha unatumia muda mwingi kukaa na watu ambao watakuwa na msaada kwenye mafanikio yako. Katika Maisha ya kawaida...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Marais wengine wa Afrika Wana aina hii ya 'Uzalendo' aliyonayo Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema?

    Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani. Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii. Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
  20. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Aina ya pombe na tabia za wanywaji wake

    Hivi kwa nn ukiwa Bar au eneo lolote la kupata drinks ukianza ile kuongea kwa sauti ya juu tofauti na awali wanazengo hutupia jicho kinywaji unachotumia? Kuna uhusiano wowote wa aina ya pombe na tabia ya mtumiaji?
Back
Top Bottom