aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Sensa ilipoanza niliulizwa nyumba ina choo cha kuvuta au cha shimo, leo wamekuja kuona kama nyumba ipo na ni ya aina gani?!

    Sensa ilipoanza nilisema walioandaa sensa hawajawahi kushiriki sensa, hii ilitokana na aina ya maswali yakiwemo ya uchuro, yaani umewahi kufiwa humu ndani. Leo nimeulizwa namba ya mita ya umeme, nategemea watarudi tena kuuliza namba ya mita ya maji. Kingine ni je, unategemea kuifanyia...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kondoo aina ya Dorper

    Mambo vp Wadau wa ufugaji. Nimevutiwa sana una ufugaji wa awa kondoo aina ya Dorper weupe ila kuanzia kichwan wana rangi nyeusi nitapata wapi na bei zake wanauzawaje ?
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuvaa viatu vya aina hii?

    Kwangu mimi ni big no...sijui kwann?
  5. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Vinywaji aina Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!

    Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara! Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji. Lakini...
  6. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi Zanzibar wao wanaagiza mafuta wapi? Mbona wao mafuta aina yote ni 2000 na point?

    Jamani nilikuwa nasikiliza Leo habari asubuhi hii nikawa naskia Bei ya mafuta Zanzibar ni iko chini kuliko bara. Sasa hii si ni nchi moja? Kwa nini kuwe na utofauti? Au wao wanachimba mafuta?
  7. Beah

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125

    Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125 ya kununua iliyonyooka iwe na documents zote kama unayo piga hapa 0752883171.
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon. Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile 1) Tiger 2) Simba 3) Leopard, Cheetah (chui) 4) Mamba 5) King cobra, Black mamba nk. 6) Honey badger...
  9. Luqman mohamedy

    JamiiForums Tanzania Kero nilizokumbana nazo kwenye nyumba za kupanga

    Habari wanaJF, Ama kweli ule usemi wa ukichoka kero za nyumba za kupanga jenga yako bado inaniumiza mpka leo kwa vitabia flani ivi vya kiswahili huku kwetu changanyikeni ambazo sizielewi. Kwanza hapa naamini kuna watakaosoma hii article ni wapangaji wenzetu wenye tabia hizi. (1)Utakuta wadada...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu cheo cha Field Marshall, ni aina Gani ya mtu anaitwa cheo hicho?

    Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi . Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ? Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
  11. Rcrusso Jr

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Bei za Tv Aina na size zote kwa sasa (Karibu)

    BEI ZA OFA (PUNGUZO) TV KWA LEO BOSS 32(single kioo).....285,000 49(smart vioo viwili)..850,000 39.......470,000 NATIONAL 32(vioo viwili)....300,000 MR UK 32(double)....300,000 32(smart)....340,000 Mo electro 43(smart android)...630,000 ITEL 19...................160,000 32(INA I...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Barbara katukanwa matusi ya kila aina kumbe jezi zilkuwa tayari wakiwa Misri

    Mara uzembe, hakujua kama sponsor anabadilishwa? jezi kweli zimechelewa lakini ni nani alijua kwamba tangu wakiwa Misri video/photoshoot za wachezaji zilifanyika kule? Laiti kama Sope Takadini angekuwepo zingeshavuja muda mrefu, kwa hili la kubana mianya ya kuvuja aisee hongereni sana...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Sayansi: Aina nne za uvumbuzi zilizofeli ambazo zimebadilisha Ulimwengu

    Maajabu ya Sayansi: Aina nne za uvumbuzi zilizofeli ambazo zimebadilisha Ulimwengu CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES 2 Agosti 2022 Je, unajua kwamba pacemaker, ambayo huokoa mamilioni ya maisha duniani kote, ni matokeo ya ugunduzi ulioshindwa? Wazo la mafanikio kama vile taa za umeme na mashine ya...
  14. May Day

    JamiiForums Tanzania Tunalalmika njaa, ukame, ukosefu wa mvua ili hali Mkaa unapatikana wa kutosha, kuni zipo tele, Yadi zimejaa mbao za kila aina.

    Imeandikwa "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...na ndio kinachoendelea kwa sasa. Kuna wakati ukijaribu ku imagine huyu Mungu anatuchukuliaje ni ngumu sana kupata jibu. Tunachojaribu kumfanyia Mungu kwa sasa ni kama Mtu usikie kilio kikali cha Mtoto ndani alafu ukiingia unamkuta kaweka...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

    Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
  16. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Napata wapi samaki aina ya kibua kwa mkoa wa Mwanza

    Nahitaji kujua wanakopatikana samaki aina ya kibua au samaki wengine wa baharini mkoani Mwanza, daktari amependekeza nitumie mboga hiyo kuimarisha afya. Tafadhali kama unajua wanakopatikana tusaidiane
  17. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kifo kizuri kwenye hii Dunia iliyojaa kila aina dhiki?

    Huku na huku nafsi imekata tamaa na kuendelea kuwepo duniani. Sijui nini kinafuata baada ya roho yangu kuacha mwili labda huko mbeleni baada ya kifo nitafahamu. Siri ya mtungi aijuaye kata, siwezi kuelezea yote ninayoyapitia hata nguvu ya kuandika sina. Malapa na viatu vimeisha kwa kutafuta...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Benki Kuu ya Afrika Kusini inamilikiwa na watu binafsi? Ni miongoni mwa benki 8 zenye umiliki wa aina hiyo Duniani

    Kawaida Benki Kuu Duniani huwa zinamilikiwa na Serikali za nchi husika zikiratibu sera mbalimbali za kifedha ikiwemo kudhibiti kiwango cha fedha kinachoingia kwenye mzunguko na kuzisimamia benki binafsi zilizopo kwenye nchi husika. Benki kuu huwa zina nafasi ya kipekee kuimarisha uchumi wa nchi...
  19. Kumar Singh

    JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 350k naweza pata simu aina gani mpya?

    Habari zenu wakuu Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
  20. emmarki

    JamiiForums Tanzania Aina mpya ya ushirikina

Back
Top Bottom