aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tv Aina ya itel na ubora wake

    Habari wadau naomba kuuliza nataka ninunue tv Aina ya itel vipi ubora na uimara wake?
  2. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

    Habarini wadau. Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandamwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu...
  3. Powerman

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Mungu wa aina gani anaacha niteseke kiasi hiki?

    Wakuu Najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka. Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea...
  4. GP Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

    Habari wana mzengo! Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe ordar nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo wako
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO yasema janga la Corona bado lipo na aina zaidi ya virusi vya Corona zitajitokeza

    Mwanasayansi mkuu wa Shirika la Afya Duniani,WHO Soumya Swaminathan, amesema ulimwengu bado haujafikia mwisho wa janga la COVID-19 kwani aina zaidi za virusi vya corona zitaendelea kujitokeza. Swaminathan aliwaambia hayo waandishi wa habari nchini Afrika Kusini, ambako alikuwa ametembelea...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

    Wakuu habari, Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. 🙏
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

    Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL. Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani la dini hili

    Habari wakuu, habari za kushinda? Poleni na majukumu. Siku ya leo nimeona post ya bbcswahil kuhusiana na almasi ya ajabu iitwayo enigma. Sasa nina jiwe kama hilo niliokota miaka 7 iliyopita. Najiuliza linaweza kuwa lenyewe au ni mfanano tu. Naambatanisha picha ya bbcswahili pamoja na picha za...
  9. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ni aina ya mwanamke ambae ninaweza kumuhonga milioni na kuendelea

    Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex. Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani. Mtazame Aunty Ezekiel Jack Pemba alifaidi Sana. # Her eyes, the way she talk, the way she look, her rudeness...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole hatafukuzwa CCM hata aseme matope ya aina yote!

    Ni kwa sababu anajua mengi sana na hivyo akiwa nje ya mfumo anaweza kuwa hatari zaidi ukizingatia pia umri wake. Akina Membe walifukuzwa kirahisi kwa sababu tayari uzee ulishakuwepo ndani yao. Polepole bado ana nafasi ya kufanya makubwa na hivyo akiwa nje ya chama na mfumo anaweza kuleta nguvu...
  11. icca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnachukuliana vipi na marafiki wa aina hii?

    Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo. Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya tuwe marafiki, tunasaidiana katika mambo mengi na ni mtu mzuri. Miezi miwili iliopita mambo yake...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hili la soko la Karume liwe funzo kwa aina ya viongozi tunaowapa madaraka.....

    Kuna stahili nyngi za uongozi hasa pale unapokuwa unakabiliana na kundi fulani la watu...Hii stahili ya kuwaondoa wamachinga kwa stahili iliyotumika soko la Karume haikuwa ya akili...sasa angalia jinsi "mlivyolamba matapishi yenu." mnaleta na siasa ndani yake...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ukristo unahubiri upendo, je huu ni upendo wa aina gani? Au huu ni Ukristo wa aina gani?

    Mafundisho ya dini ya Kikristo yamejikita zaidi kwenye upendo, kwani ndio amri iliyo kuu kama tulivyo agizwa na Bwana wetu Yesu Kristo. Miongoni mwa mistari inayo onyesha kiwango cha hali ya juu cha upendo ni ule unaosema tusamehe saba mara sabini. Pia upo ule mstari unaosema ukipigwa shavu la...
  15. Top77

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Desktop aina ya dell

    Nauza destop Aina ya dell Bei 160,000/= Desktop Aina ya dell Ram 2 Hard disk 320GB CPU DUO 1.6Ghz Hali:Imetumika Mahali:Dar es salaam Karibu..
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Iliwezekanaje safina ya Nuhu kubeba aina 7.7 million za wanyama?

    Wasalaam. Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao? Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.
  17. Ene magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari aina ya Toyota Alphard

    offer offer Unregistered (chassis number) Toyota Alphard Y.O.M 2007 Low Mileages 65200 kM Cc 2360 Full Ac Full file All automatic Doors And Put OG Sports rims & good tyres Clean in and out All duties and tax payed Price: *21. discount mpk million 20.5 inatoa million 1 y udalali naomb ukiwa tyr...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania Formation ya Simba kulingana na Mechi kwa sasa(Pablo ana option ya kuchenza aina tofauti tofauti ya mpira)

    Simba kwa sasa ni timu kubwa sana ukanda huu. Kikosi cha simba ni kipana. Kila namba ina watu wasiopungua wawili. Ninaanza kuleta kikosi na formation yake kulingana na uhitaji. Tunaanza na 4-2-3-1. Tukiwa tunacheza kwa namna ya kawaida.
  19. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengine wawe na vitambi au wanene nawakati tunakulanao aina moja ya chakula?

    Hii hoja naileta kwenu kwa wataalum wa afya ili mpate kutuletea majibu stahiki,kwani asilimia kubwa ya watu tunaokaanao tunafanana lifestyle ya chakula, lakini utakuta mtu anahangaika na kupunguza unene ama kitambi na wakati huohuo kuna mtu anakaanae na kwa asilimia kubwa wanashare kinachutua...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Naomba soko la mbao aina ya Mahogany na mvule toka Congo DRC

    Ndugu wana JF naomba mwenye taarifa ya soko la mbao aina ya MVULE AU MAHOGANY toka DRC anijulishe tafadhali nimepata msitu mkubwa DRC nimeshaanza kuzalisha hivyo nahitaji soko la uhakika.Niko tayari kutoa kamisheni kwa mtu atakayenipa connection ya masoko. Namba yangu 0783881930
Back
Top Bottom