aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. C.K

    JamiiForums Tanzania Nina madini aina ya Opal (Milky white opal)

    Habari wadau, Nina madini aina ya Opal (Milky white opal) (angalia attachment). Kwa anayejua soko lake anisaidie taarifa, niko Dar. 0718174415
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa uwoga, Warusi wachanganyikiwa na kulipua ndege yao ya kisasa aina ya supersonic Su-34

    Warusi wanachekesha sana kwenye huu ugomvi, mara kombora lichanganyikiwe na kurudi nyuma na kulipua pale lilipofyatuliwa, hii nyingine jamaa wadungua ndege yao wenyewe, tena ndege ya gharama sana. Uwoga umewaingia kiasi cha kufyatua fyatua tu na kulenga chochote. Vitabu vya historia vitaandika...
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Awamu hii watu wamechoka mpaka sala zimakuwa za aina hii

    Maisha yamewapiga waungwana mpaka maombi kwenye nyumba za ibada zimekua namna hii.
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Wakati Urusi inaendelea kuugulia kibano cha HIMARS, Ukraine wapata aina mpya nyingine ya silaha - M270 system

    Mrusi alishasema atakayemsaidia Ukraine asubiri matokeo, leo Ukraine wanaendelea kupokea aina mpya ya silaha zinazowatesa Urusi na hamna chochote Putin anaweza kufanya. ======================== Ukraine said Friday it had received its first delivery of a sophisticated rocket-launcher system...
  5. Aisy

    JamiiForums Tanzania TV ipi bora kwa bajeti ya Tsh 1.5 m

    Habari zenu. Naombeni msaada wa kuchagua TV Bora (mind Sina uzoefu na TV so nahitaji na uelewa pia) budget ni 1.5mil isizidi hapo. Asanteni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania fumigation :Tunauwa wadudu wa aina zote

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Tunafanya shughuli ya kuuwa wadudu kwa dawa ambazo zimethibitishwa na mamlaka zote nchini Tanzania. Wadudu aina zote tunapambana nao warukao,wanaotambaa . Kazi yetu inaanza iwapo ukiwa unahitaji hilo,tunakuja kufanya survey na kukupa makadirio ya gharama...
  7. kali linux

    JamiiForums Tanzania Makabila Maarufu Tanzania na Aina za gari (vehicle make & models) wanazopendelea

    Mie naanza na hawa. Wasukuma = Klugger na Harrier Wachaga = Rav4 na Prado. Wahaya = Rav4 Wamakonde = RangeRover:) (Wakimuiga ndugu yao Konde Boy) Wengine jazieni
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji baiskeli aina ya Phoenix

    Hellooo wakuu habarini, Nahitaji kufahamu panapouzwa baiskeli aina ya Phoenix nahitaji kwa wingi sana kama mia moja au mia mbili nisaidieni location au namba za WAUZAJI Mawasiliano yangu ni +255686978566
  9. MERCENARY2015

    JamiiForums Tanzania Wakala wa uuzaji wa Jumla Cement aina ya SIMBA Arusha

    Salamu Wakuu Kwa muda mrefu sasa nilikuwa na mpango wa kufungua biashara ya kuuza CEMENT kwa bei ya rejareja mkoani Arusha. Wakuu naomba kupata mawasiliano au kuunganishwa na wakala anayeuza CEMENT za Kampuni ya SIMBA kwa bei ya Jumla. Kwa sasa nipo mkoa wa Arusha, hasa ukizingatia pia...
  10. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza nguo aina ya tshirts bell, truck suit nzuri sana. Karibu dukani

    Kwa mahitaji ya tshirt kali na Truck suits za kijanja. Karibu sana kwenye duka letu linalopatikana MTAA WA CONGO NA MARUNG’OMBE. Kwa bei nafuu kabisa. Tshirts 16,000/- Trucksuits 28,000/- Pensi 18,000/- Pia tunauza kwa bei ya JUMLA. Wasiiana nasi whatsapp au piga simu 0719 100 591. Asante kwa...
  11. Mireni KJ

    JamiiForums Tanzania Fridge aina ya Boss rangi nyeusi

    Ninauza fridge yangu aina ya Boss. Inatumia umeme mdogo (energy server). Ina sehemu ya kugandisha na sehem ya fridge kawaida Ipo Arusha mjini Offer yangu ni Tsh. Laki 5 Sábado ya kuuza nina uhitaji wa pesa kwa haraka. Mazungumzo yapo kwa mteja alie serious tu. Namba ya simu 0758435748
  12. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifaranga vya uhakika vya kuku aina ya Croila nipo Mbeya

    Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mseto mbioni kama wengine tulivyotabiri. Je, CHADEMA watakubali kushiriki katika Serikali ya aina hiyo?

    Nchi hii ukiona media au watu maarufu (wanasiasa, wasomi, wanazuoni, n.k) wanaongelea jambo fulani kwa uhuru, jambo ambalo mwanzoni walikuwa hawezi kuliongelea au kuliuunga mkono, ujue teyari jambo husika lina baraka za watawala na liko mbioni kutumia au kutokea. Kwa misingi huo, naiona...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kivita ya Iran aina ya F-14 yaanguka yenyewe

    Ni ndege ya pili ya kijeshi kuanguka yenyewe ndani ya mwezi mmoja, natumai hawatailaumu Israel kwenye hili.... An F-14 fighter jet crashed on Saturday while on a mission in central Iran, causing injuries to its two crew members, media in the Islamic republic reported. "The fighter jet suffered...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

    Anwani za makazi ni jambo jema lenye Nia njema. Lengo lake ni kutambua tunapatikana wapi ndani ya mitaa, kata, tarafa, wilaya, mikoa ndani ya Tanzania. Kila mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji na mitaa ina majina yake maalumu ambayo kama ukiyataja kila mtu atajua ni la mkoa na wilaya gani...
  16. astalavista

    JamiiForums Tanzania Vibao vya Makazi vingekuwa aina moja nchini, Masasi DC ni aibu nyingine

    Nimeona na baadhi ya maeneo uwekaji wa vibao vya barabara na mitaa namna ambavyo imeacha maswali kwa wananchi, binafsi nimeyakuta haya Masasi hasa vijiji vya Masasi Dc. Wakati zoezi linaanza nilifikiri pengine utaratibu mpya wa kupata majina na vibao elekezi vya mitaa na barabara lingefanyika...
  17. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya kutumia charger za aina moja

    Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni hii hapa kwetu inayochaji simu za techno n.k. Wamefikia maamuzi hayo Ili kupunguza utupaji wa USB...
  18. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Player ina tumia santuri zote aina tatu

    Nauza player ya santuri bei laki moja tasilimu Ina bluetooth Ina play 45, 33 na 78 Portable and easy to carry
  19. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iweke aina rangi za kupaka kwenye nyumba maana naona rangi za ajabu mtaani

    Rangi aina nne au Tano zitasaidia kuepuka maajabi ya rangi za ajabu. Lkn lazima Kuna rangi za Kupiga marufiku kitumia. Kwa mfano. Black Lazima nyumba zitapendeza. Angalia nyumba za bongo zingependeza Sana kama wangepewa option.
  20. Ettore Bugatti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

    Wakuu, Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na kuwashauri ujinga mabinti zetu na wanawake walio katika unyoofu wa maadili. Nashauri wanaume mnaojielewa...
Back
Top Bottom