aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. BEITO International Ltd

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

    Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako? i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu. ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
  2. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Aina ya elimu niipendayo

    Kuna elimu za aina nyingi. Lakini naweza kutaja baadhi ya makundi kama ifuatavyo: 1. Elimu ya kujibia mitihani - physics, geography, Kiswahili, nk, tunayofunzwa shuleni, vyuoni. Kuna kundi kubwa la watu wanaishia hapa. Na kuna asilimia kubwa ya ujuzi wa humu ambao hata hauhusiani na maisha...
  3. Teremaro

    JamiiForums Tanzania Kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

    Ndugu wanaJamiiiForums, habari za wakati huu Naomba mwenye kujua kuhusu gari aina ya Nissan Dualis kuanzia matumizi ya mafuta, upatikanaji wa Spare na changamoto zingine. Na vipi kununua used kwa mtu maana nyingi zinauzwa sana mtaani. Je, zinakuwa kuna changamoto inayopelekea hizi gari kuuzwa...
  4. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19

    Waziri wa Afya nchini Tanzania , Ummy Mwalimu, amesema serikali ya nchi hiyo inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Alisema kirusi hicho, kinajumuisha kirusi cha Delta na Omicron, ambacho kimejiunda na kuwa kirusi kipya cha...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamezoea harakati zisizo na mashiko ndio aina ya siasa walizozoea

    Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma. Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta...
  6. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na utapeli wa aina gani?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Mara nyingi katika maisha yetu tumekuwa tukikutana na mambo kadha wa kadha, ikiwamo fursa, ajira, changamoto, connections na hata Utapeli. Katika maisha yetu haya yaliyojaa harakati, utapeli umekuwa ni mkubwa sana. Takribani miezi miwili iyopita nilikutana na...
  7. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba wa pombe aina ya valuer maeneo ya Mbezi na Kimara

    Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna. Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi. Asante.
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

    Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
  9. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba atembelea Shamba la Rais Paul Kagame na kupewa Zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo

    Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Mtoto wa Rais Museven wa Uganda yupo ziarani nchini Rwanda Amepewa zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo baada ya kutembelea shamba la Rais Paul Kagame
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe/mbuzi lina usalama kiasi gani?

    Tulizoea bidhaa kama ngozi ya ng'ombe ikitumika katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama vile mikanda, Mabegi nk. Nina mwezi mzima na zaidi naweka oda ya ngozi ya ng'ombe kwa ajili ya kumchemshia mbwa nakosa nashindwa kujua kwanini. Basi ikabidi nimuulize huyo muuza bucha kwanini zimekuwa...
  11. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Wapi ninapata suruali aina ya Chino (cadet)?

    Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho. Jana nimepita maduka ya Mlimani city, hakuna kitu cha maana. Ninaomba kufahamishwa wandugu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku aina ya sasso

    Habari wakuu. Kuku wapo Kahama wana miezi 4 na wiki moja. Idadi wapo 150. Bei 12000, maelewano yapo. Simu 0755868463. Karibuni.
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani? Russia walitumia kuipiga Ukraine 🇺🇦

    Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine. Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko vilipuzi vinavyofahamika vyenye ukubwa sawa na wake, na vina athari...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi TANZANIA tuna Air defence system ya aina gani?

    Poleni na majukumu wakuu Naomba kuuliza,kwenye hii vita inayoendelea huko ulaya,tunaona jinsi wenzetu wa Ukraine wanavyojitahidi kuzidungua ndege za Russia na kuzuia baadhi ya makombora kwa kutumia mfumo wao wa ulinzi wa anga. Hivi sisi hapa kwetu tunayo air defence system, na kama tunayo ni ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Nissan linauzwa

    Gari aina ya Nissan spirit type two (2), serious buyers only, gari nzima na inatembea bei ni 8 Millions, Kwa maelezo zaidi piga 0757340880
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

    Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini . Ninawasilisha
  17. L

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kupanga bei kulingana na aina ya bidhaa unayouza

    PRICE ELASTICITY OF DEMAND Hapa tunaongelea jinsi gani ambavyo bei ya bidhaa inaweza athiri uhitaji wa hio bidhaa (demand). Inaeleza jinsi tabia ya mteja inavyobadilka kulingana na bei ya bidhaa. Kwenye sheria ya demand inasema kwamba bei inavyoongezeka basi ni lazima demand ya kitu ipungue...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina kuu mbili za Madeni

    AINA KUU 2 ZA MADENI. Tokomeza madeni. Kuna aina kuu mbili za madeni. Aina ya kwanza ni madeni mazuri na aina ya pili ni madeni mabaya. Soma kwa makini ili kujua unaangukia kwenye aina gani ya madeni. Madeni mazuri ni yale ambayo marejesho yake hayatokani na chanzo kingine cha mapato bali...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wananchi wabadili aina ya kilimo cha mseto kwa kuondoa zao la kahawa

    Ukifika mkoani Kilimanjaro utaona ni jinsi gani kizazi hiki kinavyoenda kubadili kabisa aina ya kilimo cha kahawa kilichozoeleka tangu enzi ya mkoloni. Vijiji vichache nilivyotembelea katika wilaya ya Hai na wilaya ya moshi vijijini nimejionea wanavijiji wengi wakiwa wameondosha kabisa zao la...
  20. MR KADIDY

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa aina gani anafaa kuwa naye kwenye mahusiano?

    Habari JF Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi morogoro na najitegemea nilikuwa naomba ushauri juu ya mwanamke wa aina gani naweza kuwa nae akanipa furaha na hata kufika malengo yetu. Ahsanteni sana 🙏
Back
Top Bottom