Phone4Sale Nauza simu aina ya Samsung A04 used

Zero Brainers

JF-Expert Member
Mar 22, 2022
855
1,704
Habari wana jf.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,

๐Ÿ‘‰ Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu.

๐Ÿ‘‰ Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa isipokuwa tu haisomi earphones na badala yake huwa natumia earpod za ku-connect na bluetooth.

๐Ÿ‘‰ Specification zake ni RAM 4 GB, Internal storage ni 64 GB, main camera ni 50 mega pixel, uwezo wa kukaa na charge ni uhakika mAh 5000, Android version yake ni 13.

๐Ÿ‘‰ Kila kitu nilichonunua nacho kipo ukitaka hadi box lake nakupa

๐Ÿ‘‰ Picha niliyo ambatanisha nayo nime down load tu kwa sababu nimekosa simu ya kuipiga picha hii, lakini mwonekano wake ndiyo huo haina tofauti hata kidogo.

๐Ÿ‘‰ Location : Napatikana nje kidogo ya jiji la Dar maeneo ya Kibamba, but kama ukiitaka na uko mkoani naweza kukutumia kwa uaminifu kabisa ila kwa gharama zako mwenyewe.

๐Ÿ‘‰ Bei ya simu ni chee kabisa,ni laki mbili na nusu (250,000/=) pesa za kitanzania.

๐Ÿ‘‰ Sababu ya kuiuza ni kwamba nataka ninunue version nyingine ya sumsung hizi zimenichosha ๐Ÿ˜€ ila siyo kwamba simu ina shida yeyote ya kiutendaji

๐Ÿ‘‰ Kwa mawasiliano zaidi nipie au ni sms what'sapp numba hiyo hapo 0766 084 171
 
Back
Top Bottom