Serikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria.
Siku zakaribuni nikiwa na abiria wenzangu tulishuhudia utitiri wa kunguni kwenye basi la...
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
Taarifa potofu kwenye afya zinaweza kuwa na athari mbaya kwa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Watu wanaweza kufanya maamuzi mabaya ya kiafya ikiwa wanapata taarifa potofu. Wanaweza kujitibu kwa njia isiyo sahihi au kuepuka matibabu ya kisasa kwa kuzingatia habari isiyo sahihi.
Mathlanani...
#AFYA: Utafiti wa mwaka 2023 uliofanywa na Kituo cha Taifa cha Takwimu za Elimu (NCES) cha nchini Marekani, umeonesha 87% ya Walimu wa Shule za Umma walikabiliwa na Msongo wa Mawazo, Kuelemewa na Kazi Ningi na Mtazamo Hasi juu ya Kada ya Ualimu.
Hata hivyo, utafiti umebaini Shule zenye Utaratibu...
Kumekuwa na malalamiko humu ndani watu wanapoleta matatizo yao ya kimwili na baadhi ya watu kuanza kuleta mizaha.
Mjadala wangu leo umebase sana kwenye magonjwa yasiyoambukiza kisukari, pressure, Kansa and the likes.
Wakati tunakua huko kijijini hayo magonjwa walikuwa wanasema ni magonjwa ya...
Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
=======
Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
Karibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amewataka Mwenyekiti wa Halmashauri kushirikiana na Mkurugenzi kuhakikisha Kituo cha Afya cha Mwembeni kinajengwa na kuanza kutoa huduma kwa Wananchi ndani ya Mwaka huu wa 2024.
Mwenezi...
Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima.
Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
Anonymous
Thread
afya
gani
mabibo
mpango
serikali
soko
soko la mabibo
uchafu
wananchi
wanaotumia
WANAUME WAKUMBUSHWA KUFUATILIA AFYA ZAO KAMA WANAVYOFUATILIA MPIRA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Festo Dugange amewakumbusha wananume kufuatilia afya zao na Afya za Watoto kama wanavyofuatilia mechi za mataifa ya Africa AFCON2023 yanayoendelea nchini Ivory Coast...
Nairobi, Kenya.
Mnamo Aprili mwaka jana, kiongozi wa kundi la dini nchini Kenya, Paul Mackenzie, alikamatwa baada ya zaidi ya watu 400 kugunduliwa wamekufa na miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja. Jaji ameamuru Mackenzie afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kushtakiwa. Wengi wa...
Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini mlikojificha, piteni mitaani, masokoni nk hali ya mazingira ni mbaya hairidhishi, kwa Jiji la Dar ndio kimbembe hasa kipindi hiki cha mvua, watu wasio wastaarabu wanafungulia chemba za vyoo vyao zinatirirsha maji machafu yanajichaganya na maji ya mvua...
Moja ya kiashiria kikuu cha ubora wa Huduma za Afya ni kiwango cha wajawazito wanaojifungulia katika vituo vya kutolea huduma za Afya ambapo kwa Mwaka 2023 kimeongeka kwa 85% kutoka 81% Mwaka 2022.
Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Januari 10, 2024 wakati akitoa taarifa ya hali ya utoaji huduma...
Kuna asilimia kubwa ya wazee ambao hawana vyanzo vya pesa wala uwezo wa kujigharamia matibabu, na Hawana msaada kabisa Bima ya kwa wazee izingatiwe.
Serikali ihakikishe hawa wazee wasio na uwezo wanapata matibabu vema, na sio kauli vivuli kwasababu wanahitaj sana hili.
Tuwape upendo wazee wetu,
09 January 2024
Washington DC
Maswali Mengi Juu Ya Afya ya Waziri Wa Ulinzi wa Marekani
https://m.youtube.com/watch?v=xHZWbI5w3NY
Waziri wa Ulinzi jenerali Lloyd Austin aligunduliwa kuwa na saratani ya tezi dume mnamo Desemba 2023 na alipata matatizo baada ya upasuaji mdogo aliofanyiwa ili...
Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange
Naibu Waziri (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri kusimamia miradi ya ujenzi wa vituo vya...
Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika.
Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa...
Waziiri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila Utaratibu ndio umebadilika sasa Watoto Watasaniliwa Shuleni kwa gharama ile ile ya tsh 50,400.
---
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila kilichobadilika ni utaratibu wa kuwasajili ambapo utaratibu...
I. Utangulizi
Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake.
Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.