Wizara ya Afya, TACAIDS na NACP wakija kupima Watu UKIMWI Kawe wakitukuta 90% hatujaathirika nao nakata Rufaa upesi sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,033
GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kumpongeza Mwaposa na Waumini wake wasio na sehemu za Kukaa ( huku wakiwa Wanakoga, Wanakunywa na Wanajamba ) hovyo Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na Waumini hao wa Kike Mabinti, Wamama na hata Wabibi wakiwa tayari Kulalwa ( kutoa Ngono ) kwa kuanzia Shilingi 500/= ya Mihogo mitano hadi Shilingi 1,000/= kwa Ugali Dagaa na Shilingi 1,500/= kwa Wali Maharage.

Waumini hawa wa kwa Mwamposa ( nikimaanisha wanaotoka Mikoani ) tena 99% wakiwa ni Waathirika na kuja Dar es Salaam Kawe Tanganyika Packers na Kulala katika Miti na Vibanda vya Mama Lishe jirani huwa hawajui Kukataa kiasi kwamba wamesababisha Vijana wengi ( hasa Madereva Bodaboda na Bajaji ) kupenda kwenda Kujipoza Kwao kila mara tu walijisikia kwa gharama hizo za Tsh 500/=, 1,000/= na 1,500/= za Mbunye zilizoathirika.

Baada ya Wanaume wengi wa Kawe kujua kuwa kuna Mbunye za bure na Bwerere kwa Mwamposa Kawe ( Tanganyika Packers ) sasa wamekuja na Msemo mpya ambao unatamba Kawe usemeao...."MKEO AU DEMU WAKO AKIKURINGIA MWAMBIE KWA MWAMPOSA KUMENOGA"..... na hakika ikifika Saa 1 Usiku ukipita katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe ( ambavyo Usiku huwa hakuna Taa ) utakuta Vijana na Waume za Watu wanavyoukaribisha na kuutafuta UKIMWI Wenyewe.

Kwa unayeshtuka niliposoma kuwa hali ya UKIMWI Kawe inatisha ni kwamba nilichomaanisha hapa ni kwamba hawa Vijana na Waume za Watu wakitoka Kulalana huko na Waumini wa Mwamposa wasio na Makazi na ambao wengi Wao ni Waathirika ( na wala hawajali ) hurejea kwa Wapenzi na Wake zao Majumbani na Mitaani hivyo Kuusambaza zaidi kwani hata hao Wapenzi na Wake zao nao Wanagawa Uroda Kiholela vile vile kwa Watu wengine yaani Kawe ni UKIMWI na UKIMWI ni Kawe Kudadadeki.....!!

Ngoja GENTAMYCINE niende zangu sasa Hospitali ya Shamba Kawe au kwa Masista ( Kanisa la Katoliki ) Kawe nikapime UKIMWI ila nikimaliza tu na huko Kupimwa na kuona Mpamaji anarudi na Uso wa Huruma na Kuhoji Chakula ninachokula huku akinitizama kwa aibu aibu nitanyanyuka zangu na Kujiondekea kwani hapo nitajua kuwa tayari Maji yameshamwagika.
 
Nlichogundua kupitia andiko lako
Mwamposa awaandalie mazingira mazuri waumini wake wengi Wana hali ngumu na wanapitia nyakati ngumu Sana hadi kujiuza pindi wanapotafuta uponyaji wa kiroho

Kupambana na vita ya ukahaba ni ngumu sana

Genta anakaaa kawe

Kawe pamulikwe kwa jicho la karibu kama inawezekana elimu iendelee kutolewa hali si nzuri kama tunavofikiria
 
Kupima siku hizi wanapima tu hapo mbele yako. Ni kama unafanyiwa operesheni bila ganzi, mkuu huwezi kimbia majibu.

Nakumbuka siku nilipoenda clinic, nurse alinichukua damu huku anaendelea kujaza card akaniwekea kipimo hapo. Akaniambia niendelee kucheki, hakuna cha ushauri wala nini. Bahati nzuri, mimi ni muumini wa kupima, nilikuwa najijua. Fikiria ndio ingekuwa mara ya kwanza kupima?
 
Kupima siku hizi wanapima tu hapo .mbele yako.ni kama unafanyiwa operesheni bila ganzi mkuu huwezi kimbia majibu
Nakumbuka siku nimeenda clinic nurse alinichukua damu huku anaendelea kujaza card akaniwekea kipimo hapo akaniambia niendelee kucheki hakuna cha ushauri wala nini.bahati nzuri mimi ni muumini wa kupima nilikuwa najijua .fikiria ndo ingekuwa mara ya kwanza kupima??
Mi mara mwisho kupima June 2017 na Sina mpango wa kupima teeena mpaka nife 😁
 
Kupima siku hizi wanapima tu hapo .mbele yako.ni kama unafanyiwa operesheni bila ganzi mkuu huwezi kimbia majibu
Nakumbuka siku nimeenda clinic nurse alinichukua damu huku anaendelea kujaza card akaniwekea kipimo hapo akaniambia niendelee kucheki hakuna cha ushauri wala nini.bahati nzuri mimi ni muumini wa kupima nilikuwa najijua .fikiria ndo ingekuwa mara ya kwanza kupima??
Nimekupenda bure. Sasa tunafanyaje. Na mm ni walewale. Kupima mara kwa mara. Kwanini nisiwe side boy wako mama.
 
GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kumpongeza Mwaposa na Waumini wake wasio na sehemu za Kukaa ( huku wakiwa Wanakoga, Wanakunywa na Wanajamba ) hovyo Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na Waumini hao wa Kike Mabinti, Wamama na hata Wabibi wakiwa tayari Kulalwa ( kutoa Ngono ) kwa kuanzia Shilingi 500/= ya Mihogo mitano hadi Shilingi 1,000/= kwa Ugali Dagaa na Shilingi 1,500/= kwa Wali Maharage.

Waumini hawa wa kwa Mwamposa ( nikimaanisha wanaotoka Mikoani ) tena 99% wakiwa ni Waathirika na kuja Dar es Salaam Kawe Tanganyika Packers na Kulala katika Miti na Vibanda vya Mama Lishe jirani huwa hawajui Kukataa kiasi kwamba wamesababisha Vijana wengi ( hasa Madereva Bodaboda na Bajaji ) kupenda kwenda Kujipoza Kwao kila mara tu walijisikia kwa gharama hizo za Tsh 500/=, 1,000/= na 1,500/= za Mbunye zilizoathirika.

Baada ya Wanaume wengi wa Kawe kujua kuwa kuna Mbunye za bure na Bwerere kwa Mwamposa Kawe ( Tanganyika Packers ) sasa wamekuja na Msemo mpya ambao unatamba Kawe usemeao...."MKEO AU DEMU WAKO AKIKURINGIA MWAMBIE KWA MWAMPOSA KUMENOGA"..... na hakika ikifika Saa 1 Usiku ukipita katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe ( ambavyo Usiku huwa hakuna Taa ) utakuta Vijana na Waume za Watu wanavyoukaribisha na kuutafuta UKIMWI Wenyewe.

Kwa unayeshtuka niliposoma kuwa hali ya UKIMWI Kawe inatisha ni kwamba nilichomaanisha hapa ni kwamba hawa Vijana na Waume za Watu wakitoka Kulalana huko na Waumini wa Mwamposa wasio na Makazi na ambao wengi Wao ni Waathirika ( na wala hawajali ) hurejea kwa Wapenzi na Wake zao Majumbani na Mitaani hivyo Kuusambaza zaidi kwani hata hao Wapenzi na Wake zao nao Wanagawa Uroda Kiholela vile vile kwa Watu wengine yaani Kawe ni UKIMWI na UKIMWI ni Kawe Kudadadeki.....!!

Ngoja GENTAMYCINE niende zangu sasa Hospitali ya Shamba Kawe au kwa Masista ( Kanisa la Katoliki ) Kawe nikapime UKIMWI ila nikimaliza tu na huko Kupimwa na kuona Mpamaji anarudi na Uso wa Huruma na Kuhoji Chakula ninachokula huku akinitizama kwa aibu aibu nitanyanyuka zangu na Kujiondekea kwani hapo nitajua kuwa tayari Maji yameshamwagika.

Uongo
 
Wenzenu tunapata kwa shida nyie 500 tu? Ningetenga bajeti ya 3,500 kwa wiki
 
Sina muda wa kupoteza nawe kwani UNAOGOPWA JamiiForums na Moderators ukiwa ni Mmoja wao kama ambavyo nimekuwa nikikuhisi na ndiyo maana katika post yako moja ya leo UMENIOMBEA NIFIWE na Watu WAMEKURIPOTI hakuna ULICHOFANYWA ila nina uhakika hiyo Kauli ningeisema Mimi GENTAMYCINE WANAYENICHUKIA na pengine hata kutamani NIFE kabisa ili ID ili isiendelee kuwepo hapa JamiiForums nigeshakuwa BANNED Wiki Mbili au Mwezi au Miezi Mitatu kwa KUNIKOMOA.

Siku zote hapa JamiiForums Wewe na Members Wenzako mnaniita GENTAMYCINE Popoma na bila hata Aibu na Kuonyesha Upumbavu na Unafiki kuna Mpumbavu Mwenzako Mmoja na Wewe mmejitetea kuwa huyo Popoma uliyekuwa UNAMUOMBEA AFIWE siyo Mimi GENTAMYCINE.
View attachment 2830329
Cc: Cookie, Paw, YinYang, Active, Mhariri, Moderator, JamiiForums, Fang, Wand, @Xylin, BlackBold, Boqin, Diversity, Bridger and JamiiForums Founder Maxence Melo
mkuu unasema umesoma Diploma ya ualimu pale Butimba TTC lakini huwezi kujua kwamba hiyo kauli ua kufiwa imetolewa kama utani.

U take it serious kabisa mkuu?

I am so dis appointed.
 
Sina muda wa kupoteza nawe kwani UNAOGOPWA JamiiForums na Moderators ukiwa ni Mmoja wao kama ambavyo nimekuwa nikikuhisi na ndiyo maana katika post yako moja ya leo UMENIOMBEA NIFIWE na Watu WAMEKURIPOTI hakuna ULICHOFANYWA ila nina uhakika hiyo Kauli ningeisema Mimi GENTAMYCINE WANAYENICHUKIA na pengine hata kutamani NIFE kabisa ili ID ili isiendelee kuwepo hapa JamiiForums nigeshakuwa BANNED Wiki Mbili au Mwezi au Miezi Mitatu kwa KUNIKOMOA.

Siku zote hapa JamiiForums Wewe na Members Wenzako mnaniita GENTAMYCINE
View attachment 2830283
Cc: Cookie, Paw, YinYang, Active, Mhariri, Moderator, JamiiForumssasa mkuu mtu kukoment muongo unamripoti?
 
Back
Top Bottom