James Kabarebe anaaminiwa na Kagame na anatajwa kuwa mrithi wake

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe.

Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.

Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila kujali umri wake.

Yamhusuyo huyo Jemedari ni mengi. Nakualika peruzi kwenye mitandao ya Kijamii ili ujifunze mengi yamhusuyo.
f0c8021335e742038b3cadfbe06f6357_11364025_440293449464042_935078060_n.jpg

Pia soma,

1. James Kabarebe na Jack Nzinza waonesha nia ya kugombea urais 2024
2. James Kabarebe: Rwanda haipatani na nchi majirani zote, Raia wake watakua hawana pa kwenda
 
Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe.

Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.

Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila kujali umri wake.

Yamhusuyo huyo Jemedari ni mengi. Nakualika peruzi kwenye mitandao ya Kijamii ili ujifunze mengi yamhusuyo.View attachment 2867168
Naona unampaisha ndugu yako!

Bado upo Kigali? Au umerudi Geita?
 
Mbona mtangazaji alimuongelea hizo sifa zake. Kama mtangazaji tu wa mpira alijua...

Atakuwa kamiss Vacation kaona mwanya wa kutembelea Zanzibar kupitia kuisapoti timu yao ya APR
 
Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe.

Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.

Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila kujali umri wake.

Yamhusuyo huyo Jemedari ni mengi. Nakualika peruzi kwenye mitandao ya Kijamii ili ujifunze mengi yamhusuyo.View attachment 2867168
Trust me.
Huyu jamaa siku Kikwete anaapishwa...nilikuwa na huyu mtu..sehemu inaitwa Oumurushaka...tukifuatilia kwenye luninga.
N.B.
Oumurushaka ni hapa hapa Tanzania.
 
Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe.

Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.

Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila kujali umri wake.

Yamhusuyo huyo Jemedari ni mengi. Nakualika peruzi kwenye mitandao ya Kijamii ili ujifunze mengi yamhusuyo.View attachment 2867168
Amekuja kuweka sawa diplomasia ya kijasusi maana Rwanda imeshayatimbanganya korido za ujasusi baina yake na TZ
 
Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe.

Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.

Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila kujali umri wake.

Yamhusuyo huyo Jemedari ni mengi. Nakualika peruzi kwenye mitandao ya Kijamii ili ujifunze mengi yamhusuyo.View attachment 2867168
Sasa unataka nini.. Tumtukuze huyu mamluki. Hawa ni watu wabaya sana. Ni wakabila na wambari sana. Wameleta shida na mauaji ya ya mamilioni ya watu eneo la maziwa makuu kwa kutumika na wamarekani kuendeleza maslahi yao. Ona jinsi wamesababisha shida eneo la mashariki ya congo huku wao wakitengeneza mabilioni kutokana na madini wanapora congo. Kagame anaorodheshwa kama rais wa tano au wa sita kwa utajiri afrika. Ni mshituko kama huyu mshikaji wake yuko tanzania maana atakua na mipango miovu ya kagame.
 
Back
Top Bottom