MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,756
- 48,401
Mara baada ya Bobi Wine kuteuliwa kuwania urais na kupokezwa cheti, ameibukiwa na mapolisi na kuswekwa ndani tena kwa matumizi ya nguvu nyingi na vurugu zisizo za kawaida, ukanda huu wa EAC lazima mtanyooka, ni mwendo wa kidikteta kwa kwenda mbele, kumekuchaaa.
Naomba Mungu asiruhusu kashetani fulani kamnong'oneze rais wetu hapa Kenya bwana Uhuru Kenyatta kwamba athubutu huo ujinga unaofanywa na haya mataifa majirani, maana kwetu kinaweza kikanuka hadi basi.
Dah! jameni vijana wa leo mtushukuru sana sisi tuliopambana enzi zile hadi katiba ikaandikwa upya, maana mnayoyashuhudia kwa hawa majirani yalikua kitu cha kawaida kwetu miaka hiyo, ilifika tukasema sasa basi, tukajitokeza barabarani, mapolisi hawana hamu na kilichowakuta maana walishindwa wataua wangapi na kusaza wangapi, nyomi ya maelfu ya watu wanakuibukia huku wakiimba nyimbo za ukombozi, unawafyatulia mabomu na risasi ila unakua kama ndio unawapandisha mzuka.
Nakumbuka enzi hizo ilikua ushujaa kuloa damu, unatafuta upigwe na polisi ilimradi uonekane unaloa damu mwilini. Watu walikua wanatamani makovu au kutiwa ndani, chochote cha kuonyesha umelipa gharama.
========
KAMPALA, Uganda — Ugandan police on Tuesday again arrested Bobi Wine, a popular singer and opposition presidential hopeful, just after he was successfully certified as a candidate in next year’s election.
Wine, who is bidding to unseat Uganda’s long-time leader, was dragged from his car by police. The local NBS Television, reporting from the scene, said the singer, whose real name is Kyagulanyi Ssentamu, was put into a police van amid violent scuffles between police and his supporters.
A police spokesman did not immediately respond to questions. Authorities frequently accuse Wine of planning rallies that could disrupt public order, which he denies.
Critics say President Yoweri Museveni, in power since 1986, increasingly depends on the armed forces to assert his authority.
Museveni, who was nominated as a candidate on Monday, said afterward that his government would not tolerate the activities of enemies he did not name who are allegedly plotting chaos.

Uganda police arrest Bobi Wine after presidential nomination