Rais Xi Jinping wa China amesema, ndani ya mfumo wa FOCAC, China itafuta madeni ya nchi husika za Afrika yaliyo katika aina ya mikopo isio na riba kwa serikali ambayo muda wake utatimia mwishoni mwa mwaka 2020.
Pia amesema, kwa zile nchi za Afrika ambazo zimeathiriwa zaidi na virusi vya Corona...
Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kwenye mkutano maalumu wa kilele kuhusu mshikamano na ushirikiano kati ya China na Afrika katika kupambana na COVID-19.
Ameahidi kuwa mara chanjo ya COVID-19 inayotengenezwa na China itakapokamilika na kuthibitishwa, nchi za Afrika zitakuwa kati ya nchi...
Wasalaam.
Leo tumeazimisha siku ya mtoto wa Afrika . Bila shaka wapo waliotengeneza kofia na mafulana yao kusherehekea siku hii adhimu kwao, kama kweli wapo waliokimbilia kwenye radio, televison na mitandao kuazimisha siku hii kwao.
Lakini swali la kujiuliza ni moja nalo ni huyu mtoto wa...
Hivi sasa, janga la virusi vya Corona linaenea kwa kasi barani Afrika. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika, hadi kufikia tarehe 14 Juni, nchi 54 barani Afrika zimeripoti watu laki 2.3 waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi hivyo, na idadi ya vifo...
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo ametangaza kuwa, rais Xi Jinping wa China kesho hapa Beijing ataendesha na kuhutubia mkutano maalumu wa kilele wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
Mkutano huo umefanyika chini ya...
Habari!
Katika hali isiyo ya kawaida, watu wenye ualbino waishio barani Afrika wamekuwa wakilaumiwa na kushutumiwa kwa kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona barani humo, mtandao wa Business Insider umeripoti.
Kumekuwa na taarifa kuwa watu wenye ualbino wamekuwa wakipachikwa majina kama...
Wakati wa ziara iliyoleta utata.
Mkuu wa Majeshi akiomba radhi...
====
Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump
Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
Mkuu wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika anasema "tunaendelea kubaki na matumaini" kwamba Tanzania itashirikiana kwa kutoa takwimu zake za COVID-19 hata kama Rais wa nchi hiyo alishatangaza ushindi dhidi janga hilo.
John Nkengasong anasema "wanaelewa hali hatarishi na...
Mawaziri wote wa Fefha wa Nchi za Afrika Mashariki saa kumi Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa kwa kuzilinyanisha na kufanya analysis
Kirinyaga: 8 family members develop ‘strange illness’, sing loudly after stealing food.
Kirinyaga: Watu Wanane wa Familia moja wamejikuta wakiugua Ugonjwa wa ajabu huku wakiimba kwa Sauti ya juu kabisa nyimbo mbalimbali za Wasanii tofauti tofauti barani Afrika na Marekani baada ya Kuiba Chakula...
Kuna uwezekano mkubwa, wa Ligi ya mabingwa ya Afrika pamoja na Confederation Cup kutokamilika mwaka huu kutokana na gonjwa la COVID 19, hivyo mashindano hayo ya 2019/2020 kufutwa.
Wadau naomba mnifahimishe ikitokea mashindano hayo kufutwa. Je, Tanzania itawakilishwa na timu 4 msimu wa...
Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja.
Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana...
#HABARI Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Serikali, baada ya ushindi wa kesi ya kupinga baadhi ya vifungu vilivyoonekena kuwa kandamizi katika sheria ya huduma za vyombo vya habari ya mwaka 2016./ Serikali yabwagwa kesi sheria huduma vyombo vya habari
====...
Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.
Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.
Chanzo: Ukurasa...
Kiongozi anayefanikiwa kuwaondolea hofu watu wake, kuwaongoza katika kipindi kigumu na kuwavusha salama ndilo hitaji LA Dunia kwa sasa.
Kiongozi anayepanga mikakati, kuisimamia na kufanya maamuzi magumu yenye manufaa kwa nchi take, Huyo ndiye kiongozi bora.
Pamoja na hatua madhubuti...
Watanzania na waafrika wanapinga tukio la Askari kusababisha kifo cha Mmarekani George Floyd. Wamarekani wameandamana huku waafrika/watanzania wakitoa maneno makali mitandaoni na mitaani juu ya tukio hilo.
Kwangu mimi kifo au ukatili ule umenifunza kuwa umma ukiamua kupata mabadiliko lazma...
Natafuta hotuba nzima ya Mwalimu Nyerere katika Bunge la Afrika Kusini. Kila ninapotafuta Youtube napata clip fupi
za dakika 2 au tatu. Wapi naweza kupata hotuba nzima?
Wanabodi nauliza tu hivi Corona bado ipo bongo? Jana niliona Al Jazeera Africa Kusini watoto wadogo nao wamerudi shule!
Wao nadhani hawaogopi sana kufa kwa korona sababu kwasasa wana maambukizi 35,000, sisi 0.1!
Nauliza tu, hapa kwetu ni lini tunafungua shule za msingi na chekechea aka vidudu...
Thousands of people in New Zealand marched in solidarity Monday with those in the United States protesting the death in police custody of African American George Floyd.
Protesters in Auckland marched to the U.S. Consulate and chanted slogans familiar at U.S. protests, including “black lives...
“While Revolutionaries as individuals can be murdered, you cannot kill Ideas”, Haya yalikuwa ni maneno ya Thomas Sankara aliyoyatamka wiki moja kabla ya kuuawa.
Thomas Sankara alikuwa kiongozi na akiwa na miaka 33 tu, Lakini mwenye maono makubwa na siasa za mrengo wa kushoto, anatambulika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.