afrika

  1. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa maabara katika nchi za Afrika kuwa na "Next generation sequencing instruments"

    Next generation sequencing ni instruments inayotumika ku-unlock cells and microorganisms genetic code, ambapo baada ya ku-unlock inazalisha data (omics datanyingi ambazo zinatakiwa zifanyiwe analytics na bioinformatician Modern medicine imekua centered na data driven tofauti na traditional...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Upangaji wa makundi klabu bingwa na kombe la shirikisho Afrika muda huu

    Upangaji wa makundi unaendelea muda wakati tayari kombe la shirikisho wawakilishi wa Tanzania timu ya Namungo imedondokea kwa timu ya CD1 de Agosto ya Angola
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini China inapendwa na Marais wa Afrika?

    Pamoja na nchi za Afrika kutaka kujitegemea ila viongozi wake wamekuwa wepesi sana kutaka sifa za kijinga kwa kununua au kukopeshwa fedha kupitia miradi ambayo hugeuka mzigo kwa wananchi. Mikataba ya China hufanywa siri kubwa wakati miradi inaanza ila unapofika muda wakuilipa ndipo mijadala...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa

    Yaani wanafunzi wanasubirishwa nje ili kundi la kwanza likamilishe somo kwenye ratiba yao, hii Afrika tumechelewa kweli maana siamini mambo kama haya yanatendeka kwenye karne hii miaka mingi sana tangu mkoloni aondoke. Vipau mbele hamna, utakuta wakulu wanasafiri kwa magari ya kifahari kwenye...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Touadera ashinda kwa Muhula wa Pili Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Rais Faustin-Archange Touadera ametangazwa Mshindi wa Uchaguzi wa Rais uliofanyika tarehe 27 Desemba katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo usiku wa kuamkia leo, yamempa Touadera asilimia 53 ya kura zilizopigwa. Mwenyekiti wa tume hiyo Mathias...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa al-Najashi: Msikiti wa kwanza Afrika waharibiwa kwa makombora Tigray Ethiopia

    Serikali ya Ethiopia imeahidi kukarabati Msikiti wa kale wa uliyoharibiwa mwezi uliyopita katika mzozo uliyokumba jimbo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo Msikiti wa al-Nejashi uliripotiwa kushambuliwa kwa makombora, vitu ndani kuibwa na makaburi ya kihistoria ya viongozi wa Kiislamu kuharibiwa...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Asasi nne za kiraia zaishitaki Tanzania mahakama ya Afrika Mashariki kwa 'Ukiukwaji mkubwa' kutoka kwa polisi wake

    Asasi nne za kiraia zimeifikisha mahakamani Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa karibuni ambao ulimrudisha madarakani Rais John Pombe Magufuli. Taasisi kutoka Kenya na Uganda zinaishtaki Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki, zikituhumu vyombo vya usalama...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika, AfCFTA kuanza leo, Tanzania haimo

    Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaidhinisha Chanjo ya Covid 19 iitwayo AstraZeneca

    Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona iliyotengenezwa na Kampuni ya AstraZeneca kwa kushirikiana na Wanasayansi wa Chuo cha Oxford imeidhinishwa kwa ajili ya matumizi. Waziri wa Afya, Matt Hancock amesema itaanza kutolewa kwa Umma Januari 04, 2021. Uingereza imeagiza dozi Milioni 100 ambazo...
  10. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1985, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit kwa Rais

    Mwaka 1985 kwenye marekebisho ya katiba yetu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit ya vipindi viwili vya miaka mitano kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, baadaye ilifuatiwa na nchi ya Senegal kufanya...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Siasa za Afrika zinaharibiwa na watawala walioko madarakani

    Siasa za Kiafrika zimejaa hila uhuni mauwaji jinai utekaji hujuma wizi na kila aina ya uovu. Yaliyotokea Tanzania ndio yanatokea Uganda kwa Museveni. Somo la historia tunalofundishwa kuwalaani wazungu na ukoloni wao kwetu inabidi tubadili mtaala wake kwasababu viongozi wa Afrika wa sasa ni...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania KWANINI WAUZA SEMBE KUTOKA TZ NA KENYA HAWASEMWI SANA AFRIKA KUSINI KAMA ILIVYO KWA WANAIJERIA

    Nimeoma huko sauzi kuna ile hali ya kuwaona wanaijeria ni wauza madawa, Je hali ipoje kwa watz na kenya wanaouza
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  14. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwa chanjo ya Corona Afrika

    Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya. Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid, wataalm wanadai bara la Afrika litakuwa la mwisho kupatiwa chanjo hiyo. Hapa wazungu wamewa-betray...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya China katika ajenda ya ujenzi wa viwanda barani Afrika

    Na Eric Biegon – Nairobi Ukuaji wa kasi wa uchumi wa China umekuwa tukio kuu katika karne ya 21. Historia ya taifa hilo unaashiria kuwa nguzo kuu ya mafanikio haya ni maendeleo ya viwanda vyake. Uwekezaji huu katika eneo la viwanda ulichangia kuongezeka maradufu kwa pato la taifa la China kwa...
  16. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Arusha city Geneva ya Afrika imegeuka Mogadishu ya Tanzania

    Serikali yetu imechangia kuuwa mji wa Arusha, kwa nini walijenga ukumbi wa Nyerere Dar wakati tayari AICC ipo ? AICC ilikuwa ni chanzo kikubwa sana cha Uchumi wa Arusha City baada ya UN, sasa UN wameondoka, AICC Mikutano hakuna kwa maana yote inafanyikia Dar unajiuliza kwanini waliamua kujenga...
  17. Mkaa wa mawe

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Afrika

    Msikilize kwa umakini. Maoni yako ni nini?
  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu? Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Afrika sayansi yetu iko kiwango kingine kabisa, wazungu wasubiri

    Unakuta huyu ni baba mwenye nyumba wa nyumba uliyopanga.
  20. comrade wetu

    JamiiForums Tanzania Misri namba 1 Afrika nguvu za kijeshi

    Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 iliotolewa na taasisi ya Fire Power imeitaja nchi ya Misri kuwa ndio yenye zaidi ya kijeshi Afrika na inashika namba 9 duniani. --- Budget: $4.4 billion Active frontline personnel: 468,500 Tanks: 4,624 Total aircraft: 1,107 Submarines: 4 The Egyptian military...
Back
Top Bottom