Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,020
- 2,601
HABARI wana jukwaa natumai watu ni wazima wa afya na mko tiyari kabisa kuchagua kiongozi bora kwa manufaa ya Taifa letu la uchumi wa kati.
Bila kuwachosha naenda to the main topic on hand nimekuwa nikifuatilia walinzi wa maraisi mbali mbali duniani haswa bara la Afrika maana nami nina ndoto ya kuja kuwa mmoja wa walinzi wa rais in future.
Licha ya kuwa wamepewa mafunzo ya hali ya juu, lakini sijui kwanini wanakuwa vitambi maana Enzi za Adolf Hitler alikuwa anachukia sana askari mwenye kitambi ni dalili ya aina fulani ya weaknesses.
Maana ukiangalia viongozi wa rais wa china, Marekani ni very slim yaan wako na ile fitness ya hali juu. Nikibahatika kuwa mlinzi wa kiongozi sitokuwa na kitambi na nitahakikisha askari wote hawana vitambi.