africa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Africa needs a second wave of armed struggle to gain independence from fellow black dictators, murderers, human rights violators and colonialists!

    Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan? Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Get to know Thomas Sankara, Africa strong man killed by his close friend

    Thomas Sankara , a man who was a threat to France’s interest in Africa later killed by his closest friend. Thomas Sankara Viewed by supporters as a charismatic and iconic figure of revolution, he is commonly referred to as “Africa’s Che Guevara”. In his 4 years of leadership. – He vaccinated...
  4. JamiiForums Tanzania Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko wa kisiasa ndani ya Umoja wa Afrika (AU)

    Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko mkubwa wa kisiasa ndani ya umoja wa Africa (AU) baina ya mataifa yanayozungumza lugha ya Kiingereza na yale ya Kifaransa. Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. UTANGULIZI: MZOZO WA ANGLOPHONE - FRANCOPHONE NCHINI...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika inatakiwa tujenge taasisi yetu ya kutafuta tiba na chanjo

    Habarini wakuu. Iko hivi, utafiti wa dawa hadi ikaingia sokoni ni gharama kubwa sana na una mlolongo mrefu balaa. Hugharimu mabilioni ya dola na makumi ya miaka. Makampuni mengi kabla ya kufanya utafiti wa dawa kwanza huangalia kama italipa? Je wanaoumwa wanaweza kununua dawa? Hii imepelekea...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwendo huu hatupunguzi katu. Kenya among Most improved in Africa 2020 Report

    President Uhuru Kenyatta during a previous meeting TWITTER Kenya has been ranked among the most improved African countries in the 2020 Ibrahim Index of African Governance (IIAG). The ranking done by the Mo Ibrahim Foundation measures and monitors governance performance in African countries...
  7. JamiiForums Tanzania Wababe wa kivita Urusi inapanga kujenga kambi ya Jeshi lake Afrika

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameidhinisha kuendelezwa kwa makubaliano na Sudan ya kuanzishwa kwa kambi ya jeshi katika pwani ya Bahari Nyekundi. Urusi inapanga kujenga kituo cha usafirishaji na ukarabati kwa jeshi lake la majini ambacho kitakuwa na wafanyakazi wasiozidi 300. Rasimu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Said Intabazonkiza (Young African new player)

    Tukiachana na Tuisila kisinda, Serge mukoko wachezaji walionesha kiwango kikubwa kwa muda mfupi. Unaongeleaje usajili wa yanga kwa huyu jamaa Tanzania 0 vs 1 Burundi Comoro 1 vs 1 Burundi Burundi 3 vs 1 mauritania mechi 3 magoli 4'
  9. JamiiForums Tanzania Qatar Airways Introduces New Baggage Allowances in Africa, Offering Greater Choice And Flexibility To Passengers

    Passengers travelling from any destination within Africa can now enjoy a two-piece baggage allowance onboard Qatar Airways to select destinations Qatar Airways operates over 700 weekly flights to over 100 destinations worldwide 16 November 2020 DOHA, Qatar – Qatar Airways is pleased to...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika lazima iendelee kuwa masikini ili Mataifa mengine duniani yaweze kuishi vizuri

    Je, maoni na mapendekezo ya nchi za Magharibi ni lazima tuyafuate katika kendeleza chumi zetu. Naamini lazima tubadilike ki muono na kutenda ili tuishi vyema. Kuna clip hapa itasaidia kujua wenzatu wanatufikiria vipi tuweze au tunapaswa kuwa.. Karibuni.
  11. JamiiForums Tanzania Anayefahamu vyuo vya kuendesha mitambo Afrika Kusini

    Habari naulizia kwa yoyote anayefahamu vyuo vinavyofundisha kozi za kuendesha mitambo south africa na kama wanafanya process za kubadili cheti maana nna cheti Cha forklift Cha hapa TZ Kwa yoyote anayefahamu hivyo vyuo anijulishe kozi nnayo itaka Sana ni EXCAVATOR .. na kwa mwenye uelewa vizuri...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Trump angekuwa Afrika angesha shinda kwa kishindo!

    Mabibi na mabwana huu ndiyo ukweli wenyewe: Donald Trump mgombea aliye madarakani huko Marekani kama angekuwa hapa Afrika (hasa Afrika mashariki), tayari angesha tangazwa kuwa ni ushindi, tena labda wa kishindo (80%+). Kama Marekani ingekuwa ni Tanzania, NEC ya Kaijage na Mahera ingeshamaliza...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuna Marafiki wa "Maana" hapa Afrika?

    Ukiangalia katika wageni waliohudhuria Hafla ya Kumwapisha Rais, utagundua kuwa hakukuwa na wageni wowote wa maana kwenye shughuli hiyo kutoka kwenye nchi zingine za Afrika, hii inaashiria nini? Nilitegemea nione viongozi wakubwa wa nchi zinazotuzunguka +SADC kama South Africa, Zambia, Kenya...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Afrika tunalaana ya hili neno "Demokrasia"

    .....YNWA..... Moderator FUTA HUU UZI. Please delete
  15. JamiiForums Tanzania China is slowly turning Africa into its Colony and our blind-deaf-brainless leaders are helping the process

    Straight to the point and short clear: China is lending a helping hand to African dictators which is in the financial support to pay the price for their longer stay in power without having any clue to where they are taking their nations. Like how a dog is lured by a python and gets constricted...
  16. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika tupieni jicho Uchaguzi wa Marekani

    Leo ni siku ya Uchaguzi Mkuu Nchini Marekani ambapo Mwanasiasa Nguli Joe Biden atakuwa akichuana vikali na rais wa sasa wa Marekani Ndg. Donald Trump. Katika Uchaguzi huu wa mwaka huu Joe Biden anaonekana kuwa na nguvu zaidi ya Donald Trumpn kwani tafiti zinaonyesha kuwa uwezekano wa kushinda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Opinion - Zimbabweans are More Educated in Africa But Why are They Like This ?

    2020-10-26 18:06:48 I question the real value, relevance and completeness of our education system.We are top in Africa but why are we like this. The Educated country has one of the worst GDPs and Standards of Living in the same Africa.We fail to properly use public toilets, litter our streets...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Know your Africa, all African countries with their president and capital city

    2020-10-26 07:30:08 Algeria Capital City: Algiers President: Abdelmadjid Tebboune Angola Capital City: Luanda President: Joao Lourenco Benin Capital City: Port-Novo President: Patrice Talon Botswana Capital City: Gaborone President: Mokgweetsi Masisi Burkina Faso Capital City...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu akiri kuwa mabeberu watafanya lolote kuhakikisha Africa inabakia kuwa masikini

    Hii video imenikasirisha sana. Nimeipost hapa kwa sababu inawahusu Wakenya, Watanzania na Waafrika kwa ujumla. Lazima tufahamu kuwa beberu sio mtu mzuri. Kwenye video beberu anakiri wazi kwamba wao watafanya juu chini kuhakikisha kwamba Africa inabakia kuwa masikini.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Forget South African ladies , Kenya has the most beautiful women in Africa here photos to prove it - opinion

    2020-10-25 12:04:40 Even Trevor Noah said he was willing to put a stake that South Africa has the most beautiful woman in the world. But now that he is in New York I wonder is he still share the same opinion. We don't need to look far in the west to find a different taste of beautiful woman...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…