Diamond Platnumz ndio habari kubwa mpaka sasa Africa. Ndio msanii pekee yeye na Davido wanaozungumzwa na kufatiliwa zaidi hapa Africa.
Je Diamond Platnumz ni mkubwa kuliko Bongofleva? Inawezekana lisiwe swali ili.
Habari za asubuhi wana JF,
Kuna wimbi kubwa mtaani la wazee na wanawake kujiingiza kwenye kamari (kubeti), tatizo umasikini au ndio maendeleo ya soka nchini?
Nakumbuka World Cup last year kila mtu ni kubeti tu, ukikutana na wazee, wanawake wa mtaani wanataka uwafundishe kubeti na wakisikia...
Suala la mjadala kuhusu nani ndie mfalme wa muziki wa Africa, limekuwa likichukua kasi.
👉Huku kila mmoja akivutia kamba upande wake, kuanzia east Africa kina king kiba, diamond na hata konde boy wote wamekuwa wakisifiwa na mashabiki wao.
Mpaka kule Nigeria wasanii Kama patoranking, burna...
Mimi ni mpenzi wa hip hop sana ukiacha kina B.I.G 2PAC N.K ila kwa huyu dogoo album yake nime mkubali sana
album yake ya string and bling naikubali sana huwa nasikiliza hadi week nzima bila kuchoka. Huwa zina nitoa mawazo na kuhisi niko free. Anaujumbe mzuri sana anagusa pande zote
BAADHI YA...
Kama kuna mtu anajua a company inayoweza safirisha small parcel bila regulation na vikao, yaani pay and transport sitaki mbambamba nyingi kama za DHL. Ani link up? Inchi ni za Africa hasa South Africa, Kenya na Dubai.
Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa?
Rais hawezi kumwambia Waziri...
BRICS imekua ni gumzo huko MAREKANI. Huku kukiwa na hofu ya MAREKANI kupoteza ushawishi Duniani.
Inatarajiwa nchi nyingi za Asia zinazo zalisha mafuta zimeomba kujiunga na BRICS. Pia nchi zote za Africa zikiongozwa na South Africa zitajiunga.
Marekani amepoteza ushawishi Saud Arabia. Na kufanya...
Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho.
Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
RUSSIA IMEONESHA AFRICA NDIYO MSINGI WA DUNIA KWA SASA
Mafahali wawili wanaposhindana wanyonge hupita salama
ndugu zangu utaona Rais Putin kwa sasa ameikumbatia sana Africa kama moja ya msingi mkuu wa uchumi wa Russia hii ni kudhihirisha kuwa Africa ni dude kubwa lililolala lililotumi na...
Note it: Yanga SC ndio timu pekee ktk ligi kuu soka Tanzania bara kutoa wachezaji wengi wa kigeni na wazawa ambao wameitwa kwenye vikosi vya timu za Taifa. Wa kigeni 6 na wazawa 7 jumla 13, Kwa tafsiri ya haraka ndio timu bora kwa sasa ktk ligi yetu na inaakisi kile ambacho kinaonekana viwanjani.
Kwenye mada,
Kuna wakati unawaza kuhusu kwanini Afrika?Unaelewa ni agenda ya mezani ya kila siku ya nchi zilizoendelea.
Kama tunavyofikiri namna ya kuendesha familia zetu vizuri kwa ustawi ndivyo mataifa ya magharibi yanavyofikiri ni nini cha kuchukua Afrika kwa kodi zao za meza.
Kuna wakati...
Mama najuwa unaingia JF, wewe ni muungwana sana kwenye ziara yako South Africa umewaita viongozi wa TACOP kupitia balozi Milanzi kwa niaba ya Watanzania wote wanaoishi Afrika Kusini.
Lakini cha kusikitisha viongozi hawa waliowakilisha badala ya kuja kuwakilisha wamegeuka machawa hata suti zao...
Jarida maarufu la masuala ya biashara Afrika na Duniani limeitaja Tanzania kuwa Moja ya Nchi zinazoelekea kuwa kimbilio la wawekezaji Duniani.
Hongera sana Rais Samia na Tanzania, haya ndio mambo tunapenda kuyasikia..
=======
Idadi ya miradi iliyosajiliwa nchini Tanzania iliongezeka kwa...
Taarifa kutoka Barani Afrika zinaeleza kwamba, Tanzania imepata Heshima kubwa Duniani baada ya kupanda juu kwenye orodha ya nchi zinazoongoza kwa Ushirikina, huku ikiwa imezidiwa na nchi ya Cameroon Pekee ambayo ndio namba 1, Tanzania imepanda hadi nafasi ya Pili.
Kupanda juu kwa Tanzania...
Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani.
Inavyoonyesha WCB hawakwepeki kwenye Sanaa ya bongo , utawatukana unavyojua Ila ukiingia studio unawakumbatia bila kujua.
Wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.