SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
1,344
2,948
SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara...

Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu atakujalia utapona,mi ni mzima kabisa wa afya na naendelea vizuri na mapambano ya dunia..

Twende moja kwa moja kwenye mada husika , nakumbuka nilivyokuwa mtoto mdogo enzi za makuzi yangu nilikuwa nawaogopa sana wavuta bangi😀😀nilikuwa naamini ni watu wabaya ata nikiwaona naweza badilisha njia au kutopita kabisa iyo njia nikiamini wanaweza nidhuru na iyo ilitokana na wazazi na jamii kunijengea akili ya kuamini ivyo kutokana na kuwasikia wakiwazungumzia vibaya na muda mwingine kunitahadharisha kutoungana nao maana ntakuwa na tabia mbaya kama wizi, ukabaji, ubakaji na nk vitu ambavyo kiuhalisia vyote ni uongo mkuu baada ya kuwa mtu mzima nimekuja kupata uelewa na kugundua vitu vyote ni uongo na sio vya kweli baada ya kuelewa kwa nini niliaminishwa ivyo na kwa nini jamii inaamini ivyo , sasa twende nikakueleze sababu ya ivyo vyote kuwa ivyo ilivyo

Bangi inakatwazwa kwa sababu zifuatazo

▪Meditation ( Tafakuri),viongozi wengi wa dunia wa kale na wa sasa wanafahamu nguvu ya bangi kwenye uwezo wa kutuliza akili na kujenga uwezo wa kutafakari vizuri na kwa umakini vitu vya umuhimu na vibaya pia, viongozi wengi hawapendi kugasiwa kwenye harakati zao za uongozi mbovu wanajua wakiruhusu Matumizi yake itawafanya watu wafikiri kwa umakini zaidi vitu vya umuhimu kwenye nchi zao na ivyo kuwaletea vipingamizi kwenye kutimiza azima zao ovu, ukifuatilia vizuri wanaharakati wengi wa zamani walikuwa ni watumiaji wazuri tu wa bangi kwa mfano Tupac shakur, Che Guvara, Bob Marley ,sina huakika zaidi na Nelson Mandela, na Julius Kambarage Nyerere😀😀

▪Tiba ya Magonjwa, bangi au kaya inafahamika duniani kama mmea ambao unaweza kutatua ama kutibu magonjwa mbalimbali kama saratani za aina mbalimbali kama ya matiti, pia magonjwa madogo madogo kwa mtu anayetumia bangi hayawezi mpata ndo maana watu uwa wanatania hauwezi mkuta Rastafarian kalazwa hospital sijui ni kweli😀😀ila sijawahi ona, nchi nyingi apa duniani aswa Nchi za magharibi kama US ata hapa Africa zimeruhusu bangi kwa matumizi ya tiba na kupandwa majumbani kwa ajili ya starehe , kwa mfano jimbo la California wameruhusu kupanda mimea miwili tu , wanakataza kwa sababu wanajua watu wakianza kutumia bangi hawatougua magonjwa ovyo na ivyo itavuruga biashara zao za makampuni ya dawa na uchumi unaotegemea kodi kutoka bidhaa zitokanazo na madawa na ukumbuke biashara nyingi duniani zinamkono wa wanasiasa.

▪Biashara za Watu wakubwa( wanasiasa) , kama mnavyojua biashara ya bangi kama itaruhusiwa makampuni kibao yataibuka kwa kasi na itakuwa biashara zinazoingiza pesa nyingi kuliko ata biashara ya pombe na sigara, ivyo ni fursa kubwa kwa watu , wanakataza kwa sababu hawajajiandaa jinsi ya kuwekeza na wengine hawajajiandaa kwa mitaji ya biashara iyo ndo maana hawapo tayari kukaa bungeni kujadiri vitu ambavyo vitawafaidisha watu wengine na sio wao, we subiri utajionea siku watakayoruhusu utashuhudia makampuni yatakayohusika na cannabis yatakuwa na mikono ya wanasiasa wenye utajiri mkubwa aswa kwa mfumo wa shares au partnership.

▪Mmea wa uzima, watu wenye imani ya Rastafarians uamini kaya au bangi ni mmea wa uzima kwa sababu ya uwezo wake wa kutatua changamoto mbalimbali za kiimani kwa mfano wanadai popote kwenye moshi wa bangi mchawi wala pepo hawezi sogea,na ukitaka kuongea vizuri na mungu yakupaswa kutulia na kutafakari sana na kwa utulivu na bangi inawezesha icho kitu😀kwa nini sasa Inakatazwa.
▪Ubunifu ( Creativity), Bangi inaongeza uwezo wa ubunifu kwa mwanadamu yeyote ukichunguza watu wengi wanaotumia bangi kwa sababu za ubunifu uwasaidia sana kama wanamuziki, wachoraji , ubunifu kwenye kilimo, nadhani utakuwa umewahi jionea watu kama ma Rastafarians jinsi walivyowabunifu kwa sababu ya matumizi ya bangi na imani yao aswa kwenye muziki na uchoraji , najua unamfahamu vizuri BOB MARLEY na watoto zake wakina DAMIAN MARLEY, STEVEN MARLEY ,NK Pia kwa Africa Marehemu LUCKY DUBE zile ngoma zao kali ambazo hadi leo zinakumbukwa na watu kuwasifia wana akili zile nyimbo hazikuandikwa wakiwa sober bali kuna mchango wa mmea wa uzima aka kaya

▪Kutotawaliwa, watu wengi wanaotumia bangi huwajengea uwezo wa kujitegemea na kutopenda kuwa watumwa wa watu , ukichunguza watu wenye imani ya u Rastafarians wanaamini kwenye kuwa mtu huru hawapendi kuajiriwa na watu bali kujiajiri na wengi wanafanya biashara zao na kuishi maisha ya asili yaani unaweza kusema ndo watu waliobaki na asili yao wengi wamejiajiri aswa upande wa Sanaa na kilimo, bangi Inakatazwa kwa sababu ikiruhusiwa haitokuwa rahisi kuwatawala watu wanaojitambua

▪Uhanarakati( Activists) , Wanaharakati wengi wa zamani ukichunguza wengi walikuwa wanatumia mmea wa uzima aka bangi kwa sababu ilikuwa inawapa superpower na uwezo mzuri wa kutafakari na kupigania haki za binadamu na kujitoa utumwani , kwa mfano mzuri ni mwana hip hop TUPAC SHAKUR alikuwa ni mtumiaji mzuri tu wa bangi nadhani mnajua jinsi alivyokuwa anapigania haki za watu weusi dhidi ya ubaguzi wa rangi na haki zao za msingi, pia BOB MARLEY, CHE GUVARA , pia mama yake TUPAC atakuwa alikuwa ni mwanachama wa mmea wa uzima maana alikuwa member wa black panther ambao walikuwa ni society ya wanaharakati wa kutetea haki za watu weusi.

Baadhi ya Watu Waliokuwa Wanatumia Bangi na Ziliwasaidia na Dunia Inawakumbuka hadi Leo

▪Bob Marley, nadhani hakuna kijana asiye mfahamu king of reggae Robert Nestory Marley uyu jamaa kafariki kitambo ila hadi leo nyimbo zake zinatamba ni kama bado tunaishi naye ; na kinachofanya dunia imkumbuke ni uwezo wake wa kuimba reggae, ujumbe wa nyimbo zake na pia alikuwa ni mwanaharakati wa haki za binadamu bila kujali ngozi , we unafikiri zile nyimbo zote alikuwa anaimba akiwa sober hajapiga bangi😀😀stuka unaibiwa ile No woman , No cries ile ni akili ya bangi, ile One love ile ni bangi😀😀yule alikuwa anavuta bangi ndo akili inatulia, anapata uwezo wa kutafakari vizuri kisha anapiga gita anaimba na anaaandika kwa iyo bangi ukiitumia kwa lengo fulani inaongeza nguvu x10 zaidi.

▪TUPAC SHAKUR, nadhani hakuna kijana asiyemfahamu mzee mzima Kiluminat aka Tupac uyu jamaa wanadai ndo mfalme wa hiphop na mwanaharakati pekee aliyekufa akiwa na miaka 25 tu nahisi ila bado dunia inamkumbuka hadi leo kwa ngoma zake kali za hip hop na zenye u genius mkubwa , burudani na harakati ivi unadhani ile ni akili yake tu bila nguvu ya bangi 😀😀ile Dear mama unafikiri aliitunga akiwa sober iyo yote ni power ya mmea wa uzima

▪Burnaboy, uyu ni founder wa Afro-fusion mziki wenye maadhi mchanganyiko kama reggae, hip hop , rnb, afro beats nk kutoka pande za nigeria na mshindi wa tuzo ya grammy , uyu jamaa ni mtumiaji mkubwa wa bangi kitu kinachomfanya kuwa mbunifu zaidi kwenye ngoma zake na album kitu kinachompelekea mafanikia makubwa kwenye mziki wake , ivi unafikiri zile hits songs zake na album kama African Giant na twice As tall bangi hausiki😀😀utakuwa unajidanganya kama hautokubali ile ni nguvu ya bangi, jamaa muda mwingi akiwa studio sessions au kwenye matamasha yake lazima apige msuba.

▪Wizkid, najua unamfahamu vizuri wizkid kwa ngoma zake nzuri ambazo zimemweka kileleni mwa wasanii wenye mafanikio na pesa africa na iyo kutokana na music mzuri anaimba/ tengeneza akiwa studio uku pembeni akiwa na bangi

▪Harmonize, uyu jamaa wanamponda sana anavuta sana bangi ila kwangu sio tatizo maana anatumia kwenye ubunifu wa muziki wake we unafikiri zile hit songs zote uwa anarecord na kuandika akiwa sober hapana uwa kuna nguvu ya mmea wa uzima😀😀

▪WIZ KHALIFA na UNCLE SNOOP , hao ni wanahip hop wa US wenye mafanikio makubwa kwenye muziki wa hip hop na wana ngoma kibao ambazo zitaishi milele na ni wanaharakati na watumiaji maarufu wa bangi duniani😀😀kila utakapo muona Wiz lazima bangi iwepo ,hawa jamaa bangi inawasaidia sana kwenye sanaa yao ambayo watu wengi hawajui , unadhani zile movies zao na nyimbo zao wanaandika wakiwa sober😀😀zile ni akili za bangi na zinawaingizia pesa , unadhani ile WE DEM BOYZ wiz aliandika akiwa ajatumia mmea wa uzima?

▪MANABII na MITUME , Achana na hawa mitume wa sa hivi wauni na wajasiriamali mi kuna kitu nimefikiria ivi hakuna kweli waliokuwa wanatumia kama JESUS, wakina MOSES walikuwa wanaomba hadi wanaongea na GOD , sema sina huakika achana nayo hii point😀😀

Kiukweli list ni kubwa nadhani unaweza ongezea na wewe pia napenda tu kushauri bangi ni nzuri kama utatumia kwa malengo niliyokwisha elezea hapo juu na ni mbaya kama utatumia kwa malengo mabaya .

Kwa Nini Sasa Pombe na Sigara Inaruhusiwa ..

Pombe na sigara vinaruhusiwa kwa sababu ni Biashara za wakubwa wa dunia na viongozi wa dunia wa kisiasa na kawaida na vina madhara kama vitatumiwa kupita kiasi na ni bidhaa zinazomwaribu mtu katika uwezo wa kufanya mambo mbalimbali kama kufikiri, kutafakari, na kiafya ya mwili ndo maana zinaruhusiwa ili serikali zipige pesa kupitia kodi na faida ,

P.S: Ushahuri wangu kama hautumii bangi tumia siku moja moja aswa kwa lengo fulani ila usitumie pasipo sababu na lengo, we hauoni wanafunzi wanaovuta bangi wakiwa wanataka kusoma wanapasua balaa kwenye mitihani😀😀

*THE END
FB_IMG_16557472603133328.jpg
 
Twende moja kwa moja kwenye mada husika , nakumbuka nilivyokuwa mtoto mdogo enzi za makuzi yangu nilikuwa nawaogopa sana wavuta banginilikuwa naamini ni watu wabaya ata nikiwaona naweza badilisha njia au kutopita kabisa iyo njia nikiamini wanaweza nidhuru na iyo ilitokana na wazazi na jamii kunijengea akili ya kuamini ivyo kutokana na kuwasikia wakiwazungumzia vibaya na muda mwingine kunitahadharisha kutoungana nao maana ntakuwa na tabia mbaya kama wizi, ukabaji, ubakaji na nk vitu ambavyo kiuhalisia vyote ni uongo mkuu baada ya kuwa mtu mzima nimekuja kupata uelewa na kugundua vitu vyote ni uongo na sio vya kweli baada ya kuelewa kwa nini niliaminishwa ivyo na kwa nini jamii inaamini ivyo , sasa twende nikakueleze sababu ya ivyo vyote kuwa ivyo ilivyo

Bangi inakatwazwa kwa sababu zifuatazo

Meditation ( Tafakuri),viongozi wengi wa dunia wa kale na wa sasa wanafahamu nguvu ya bangi kwenye uwezo wa kutuliza akili na kujenga uwezo wa kutafakari vizuri na kwa umakini vitu vya umuhimu na vibaya pia, viongozi wengi hawapendi kugasiwa kwenye harakati zao za uongozi mbovu wanajua wakiruhusu Matumizi yake itawafanya watu wafikiri kwa umakini zaidi vitu vya umuhimu kwenye nchi zao na ivyo kuwaletea vipingamizi kwenye kutimiza azima zao ovu, ukifuatilia vizuri wanaharakati wengi wa zamani walikuwa ni watumiaji wazuri tu wa bangi kwa mfano Tupac shakur, Che Guvara, Bob Marley ,sina huakika zaidi na Nelson Mandela, na Julius Kambarage Nyerere

Tiba ya Magonjwa, bangi au kaya inafahamika duniani kama mmea ambao unaweza kutatua ama kutibu magonjwa mbalimbali kama saratani za aina mbalimbali kama ya matiti, pia magonjwa madogo madogo kwa mtu anayetumia bangi hayawezi mpata ndo maana watu uwa wanatania hauwezi mkuta Rastafarian kalazwa hospital sijui ni kweliila sijawahi ona, nchi nyingi apa duniani aswa Nchi za magharibi kama US ata hapa Africa zimeruhusu bangi kwa matumizi ya tiba na kupandwa majumbani kwa ajili ya starehe , kwa mfano jimbo la California wameruhusu kupanda mimea miwili tu , wanakataza kwa sababu wanajua watu wakianza kutumia bangi hawatougua magonjwa ovyo na ivyo itavuruga biashara zao za makampuni ya dawa na uchumi unaotegemea kodi kutoka bidhaa zitokanazo na madawa na ukumbuke biashara nyingi duniani zinamkono wa wanasiasa.

Biashara za Watu wakubwa( wanasiasa) , kama mnavyojua biashara ya bangi kama itaruhusiwa makampuni kibao yataibuka kwa kasi na itakuwa biashara zinazoingiza pesa nyingi kuliko ata biashara ya pombe na sigara, ivyo ni fursa kubwa kwa watu , wanakataza kwa sababu hawajajiandaa jinsi ya kuwekeza na wengine hawajajiandaa kwa mitaji ya biashara iyo ndo maana hawapo tayari kukaa bungeni kujadiri vitu ambavyo vitawafaidisha watu wengine na sio wao, we subiri utajionea siku watakayoruhusu utashuhudia makampuni yatakayohusika na cannabis yatakuwa na mikono ya wanasiasa wenye utajiri mkubwa aswa kwa mfumo wa shares au partnership.

Mmea wa uzima, watu wenye imani ya Rastafarians uamini kaya au bangi ni mmea wa uzima kwa sababu ya uwezo wake wa kutatua changamoto mbalimbali za kiimani kwa mfano wanadai popote kwenye moshi wa bangi mchawi wala pepo hawezi sogea,na ukitaka kuongea vizuri na mungu yakupaswa kutulia na kutafakari sana na kwa utulivu na bangi inawezesha icho kitukwa nini sasa Inakatazwa.
Ubunifu ( Creativity), Bangi inaongeza uwezo wa ubunifu kwa mwanadamu yeyote ukichunguza watu wengi wanaotumia bangi kwa sababu za ubunifu uwasaidia sana kama wanamuziki, wachoraji , ubunifu kwenye kilimo, nadhani utakuwa umewahi jionea watu kama ma Rastafarians jinsi walivyowabunifu kwa sababu ya matumizi ya bangi na imani yao aswa kwenye muziki na uchoraji , najua unamfahamu vizuri BOB MARLEY na watoto zake wakina DAMIAN MARLEY, STEVEN MARLEY ,NK Pia kwa Africa Marehemu LUCKY DUBE zile ngoma zao kali ambazo hadi leo zinakumbukwa na watu kuwasifia wana akili zile nyimbo hazikuandikwa wakiwa sober bali kuna mchango wa mmea wa uzima aka kaya

Kutotawaliwa, watu wengi wanaotumia bangi huwajengea uwezo wa kujitegemea na kutopenda kuwa watumwa wa watu , ukichunguza watu wenye imani ya u Rastafarians wanaamini kwenye kuwa mtu huru hawapendi kuajiriwa na watu bali kujiajiri na wengi wanafanya biashara zao na kuishi maisha ya asili yaani unaweza kusema ndo watu waliobaki na asili yao wengi wamejiajiri aswa upande wa Sanaa na kilimo, bangi Inakatazwa kwa sababu ikiruhusiwa haitokuwa rahisi kuwatawala watu wanaojitambua

Uhanarakati( Activists) , Wanaharakati wengi wa zamani ukichunguza wengi walikuwa wanatumia mmea wa uzima aka bangi kwa sababu ilikuwa inawapa superpower na uwezo mzuri wa kutafakari na kupigania haki za binadamu na kujitoa utumwani , kwa mfano mzuri ni mwana hip hop TUPAC SHAKUR alikuwa ni mtumiaji mzuri tu wa bangi nadhani mnajua jinsi alivyokuwa anapigania haki za watu weusi dhidi ya ubaguzi wa rangi na haki zao za msingi, pia BOB MARLEY, CHE GUVARA , pia mama yake TUPAC atakuwa alikuwa ni mwanachama wa mmea wa uzima maana alikuwa member wa black panther ambao walikuwa ni society ya wanaharakati wa kutetea haki za watu weusi.

Baadhi ya Watu Waliokuwa Wanatumia Bangi na Ziliwasaidia na Dunia Inawakumbuka hadi Leo

Bob Marley, nadhani hakuna kijana asiye mfahamu king of reggae Robert Nestory Marley uyu jamaa kafariki kitambo ila hadi leo nyimbo zake zinatamba ni kama bado tunaishi naye ; na kinachofanya dunia imkumbuke ni uwezo wake wa kuimba reggae, ujumbe wa nyimbo zake na pia alikuwa ni mwanaharakati wa haki za binadamu bila kujali ngozi , we unafikiri zile nyimbo zote alikuwa anaimba akiwa sober hajapiga bangistuka unaibiwa ile No woman , No cries ile ni akili ya bangi, ile One love ile ni bangiyule alikuwa anavuta bangi ndo akili inatulia, anapata uwezo wa kutafakari vizuri kisha anapiga gita anaimba na anaaandika kwa iyo bangi ukiitumia kwa lengo fulani inaongeza nguvu x10 zaidi.

TUPAC SHAKUR, nadhani hakuna kijana asiyemfahamu mzee mzima Kiluminat aka Tupac uyu jamaa wanadai ndo mfalme wa hiphop na mwanaharakati pekee aliyekufa akiwa na miaka 25 tu nahisi ila bado dunia inamkumbuka hadi leo kwa ngoma zake kali za hip hop na zenye u genius mkubwa , burudani na harakati ivi unadhani ile ni akili yake tu bila nguvu ya bangi ile Dear mama unafikiri aliitunga akiwa sober iyo yote ni power ya mmea wa uzima

Burnaboy, uyu ni founder wa Afro-fusion mziki wenye maadhi mchanganyiko kama reggae, hip hop , rnb, afro beats nk kutoka pande za nigeria na mshindi wa tuzo ya grammy , uyu jamaa ni mtumiaji mkubwa wa bangi kitu kinachomfanya kuwa mbunifu zaidi kwenye ngoma zake na album kitu kinachompelekea mafanikia makubwa kwenye mziki wake , ivi unafikiri zile hits songs zake na album kama African Giant na twice As tall bangi hausikiutakuwa unajidanganya kama hautokubali ile ni nguvu ya bangi, jamaa muda mwingi akiwa studio sessions au kwenye matamasha yake lazima apige msuba.

Wizkid, najua unamfahamu vizuri wizkid kwa ngoma zake nzuri ambazo zimemweka kileleni mwa wasanii wenye mafanikio na pesa africa na iyo kutokana na music mzuri anaimba/ tengeneza akiwa studio uku pembeni akiwa na bangi

Harmonize, uyu jamaa wanamponda sana anavuta sana bangi ila kwangu sio tatizo maana anatumia kwenye ubunifu wa muziki wake we unafikiri zile hit songs zote uwa anarecord na kuandika akiwa sober hapana uwa kuna nguvu ya mmea wa uzima

WIZ KHALIFA na UNCLE SNOOP , hao ni wanahip hop wa US wenye mafanikio makubwa kwenye muziki wa hip hop na wana ngoma kibao ambazo zitaishi milele na ni wanaharakati na watumiaji maarufu wa bangi dunianikila utakapo muona Wiz lazima bangi iwepo ,hawa jamaa bangi inawasaidia sana kwenye sanaa yao ambayo watu wengi hawajui , unadhani zile movies zao na nyimbo zao wanaandika wakiwa soberzile ni akili za bangi na zinawaingizia pesa , unadhani ile WE DEM BOYZ wiz aliandika akiwa ajatumia mmea wa uzima?

MANABII na MITUME , Achana na hawa mitume wa sa hivi wauni na wajasiriamali mi kuna kitu nimefikiria ivi hakuna kweli waliokuwa wanatumia kama JESUS, wakina MOSES walikuwa wanaomba hadi wanaongea na GOD , sema sina huakika achana nayo hii point

P.S: Ushahuri wangu kama hautumii bangi tumia siku moja moja aswa kwa lengo fulani ila usitumie pasipo sababu na lengo, we hauoni wanafunzi wanaovuta bangi wakiwa wanataka kusoma wanapasua balaa kwenye mitihani

*THE ENDView attachment 2267094
Me ni mtumiaji mzuri wa bange ila zinanishinda maana wanachakachua sana.
 
Kama nimekueelewa hv
 
Kweli , wala ndimu wamezibuka.
Hizi hapa Faida za Bangi
-Moja ya faida za wapiga ndumu ni Mfua choo cha shimo anavyo yakamata Mavi kwa mikono kama ubwabwa.
-Kuna Jamaa ,mkewe anashare na wala ndumu wenzake.
-Mla Bangi pia anakuwa na nguvu za ziada kubeba Mazigo mazito..
 
SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara...

Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu atakujalia utapona,mi ni mzima kabisa wa afya na naendelea vizuri na mapambano ya dunia..

Twende moja kwa moja kwenye mada husika , nakumbuka nilivyokuwa mtoto mdogo enzi za makuzi yangu nilikuwa nawaogopa sana wavuta bangi😀😀nilikuwa naamini ni watu wabaya ata nikiwaona naweza badilisha njia au kutopita kabisa iyo njia nikiamini wanaweza nidhuru na iyo ilitokana na wazazi na jamii kunijengea akili ya kuamini ivyo kutokana na kuwasikia wakiwazungumzia vibaya na muda mwingine kunitahadharisha kutoungana nao maana ntakuwa na tabia mbaya kama wizi, ukabaji, ubakaji na nk vitu ambavyo kiuhalisia vyote ni uongo mkuu baada ya kuwa mtu mzima nimekuja kupata uelewa na kugundua vitu vyote ni uongo na sio vya kweli baada ya kuelewa kwa nini niliaminishwa ivyo na kwa nini jamii inaamini ivyo , sasa twende nikakueleze sababu ya ivyo vyote kuwa ivyo ilivyo

Bangi inakatwazwa kwa sababu zifuatazo

▪Meditation ( Tafakuri),viongozi wengi wa dunia wa kale na wa sasa wanafahamu nguvu ya bangi kwenye uwezo wa kutuliza akili na kujenga uwezo wa kutafakari vizuri na kwa umakini vitu vya umuhimu na vibaya pia, viongozi wengi hawapendi kugasiwa kwenye harakati zao za uongozi mbovu wanajua wakiruhusu Matumizi yake itawafanya watu wafikiri kwa umakini zaidi vitu vya umuhimu kwenye nchi zao na ivyo kuwaletea vipingamizi kwenye kutimiza azima zao ovu, ukifuatilia vizuri wanaharakati wengi wa zamani walikuwa ni watumiaji wazuri tu wa bangi kwa mfano Tupac shakur, Che Guvara, Bob Marley ,sina huakika zaidi na Nelson Mandela, na Julius Kambarage Nyerere😀😀

▪Tiba ya Magonjwa, bangi au kaya inafahamika duniani kama mmea ambao unaweza kutatua ama kutibu magonjwa mbalimbali kama saratani za aina mbalimbali kama ya matiti, pia magonjwa madogo madogo kwa mtu anayetumia bangi hayawezi mpata ndo maana watu uwa wanatania hauwezi mkuta Rastafarian kalazwa hospital sijui ni kweli😀😀ila sijawahi ona, nchi nyingi apa duniani aswa Nchi za magharibi kama US ata hapa Africa zimeruhusu bangi kwa matumizi ya tiba na kupandwa majumbani kwa ajili ya starehe , kwa mfano jimbo la California wameruhusu kupanda mimea miwili tu , wanakataza kwa sababu wanajua watu wakianza kutumia bangi hawatougua magonjwa ovyo na ivyo itavuruga biashara zao za makampuni ya dawa na uchumi unaotegemea kodi kutoka bidhaa zitokanazo na madawa na ukumbuke biashara nyingi duniani zinamkono wa wanasiasa.

▪Biashara za Watu wakubwa( wanasiasa) , kama mnavyojua biashara ya bangi kama itaruhusiwa makampuni kibao yataibuka kwa kasi na itakuwa biashara zinazoingiza pesa nyingi kuliko ata biashara ya pombe na sigara, ivyo ni fursa kubwa kwa watu , wanakataza kwa sababu hawajajiandaa jinsi ya kuwekeza na wengine hawajajiandaa kwa mitaji ya biashara iyo ndo maana hawapo tayari kukaa bungeni kujadiri vitu ambavyo vitawafaidisha watu wengine na sio wao, we subiri utajionea siku watakayoruhusu utashuhudia makampuni yatakayohusika na cannabis yatakuwa na mikono ya wanasiasa wenye utajiri mkubwa aswa kwa mfumo wa shares au partnership.

▪Mmea wa uzima, watu wenye imani ya Rastafarians uamini kaya au bangi ni mmea wa uzima kwa sababu ya uwezo wake wa kutatua changamoto mbalimbali za kiimani kwa mfano wanadai popote kwenye moshi wa bangi mchawi wala pepo hawezi sogea,na ukitaka kuongea vizuri na mungu yakupaswa kutulia na kutafakari sana na kwa utulivu na bangi inawezesha icho kitu😀kwa nini sasa Inakatazwa.
▪Ubunifu ( Creativity), Bangi inaongeza uwezo wa ubunifu kwa mwanadamu yeyote ukichunguza watu wengi wanaotumia bangi kwa sababu za ubunifu uwasaidia sana kama wanamuziki, wachoraji , ubunifu kwenye kilimo, nadhani utakuwa umewahi jionea watu kama ma Rastafarians jinsi walivyowabunifu kwa sababu ya matumizi ya bangi na imani yao aswa kwenye muziki na uchoraji , najua unamfahamu vizuri BOB MARLEY na watoto zake wakina DAMIAN MARLEY, STEVEN MARLEY ,NK Pia kwa Africa Marehemu LUCKY DUBE zile ngoma zao kali ambazo hadi leo zinakumbukwa na watu kuwasifia wana akili zile nyimbo hazikuandikwa wakiwa sober bali kuna mchango wa mmea wa uzima aka kaya

▪Kutotawaliwa, watu wengi wanaotumia bangi huwajengea uwezo wa kujitegemea na kutopenda kuwa watumwa wa watu , ukichunguza watu wenye imani ya u Rastafarians wanaamini kwenye kuwa mtu huru hawapendi kuajiriwa na watu bali kujiajiri na wengi wanafanya biashara zao na kuishi maisha ya asili yaani unaweza kusema ndo watu waliobaki na asili yao wengi wamejiajiri aswa upande wa Sanaa na kilimo, bangi Inakatazwa kwa sababu ikiruhusiwa haitokuwa rahisi kuwatawala watu wanaojitambua

▪Uhanarakati( Activists) , Wanaharakati wengi wa zamani ukichunguza wengi walikuwa wanatumia mmea wa uzima aka bangi kwa sababu ilikuwa inawapa superpower na uwezo mzuri wa kutafakari na kupigania haki za binadamu na kujitoa utumwani , kwa mfano mzuri ni mwana hip hop TUPAC SHAKUR alikuwa ni mtumiaji mzuri tu wa bangi nadhani mnajua jinsi alivyokuwa anapigania haki za watu weusi dhidi ya ubaguzi wa rangi na haki zao za msingi, pia BOB MARLEY, CHE GUVARA , pia mama yake TUPAC atakuwa alikuwa ni mwanachama wa mmea wa uzima maana alikuwa member wa black panther ambao walikuwa ni society ya wanaharakati wa kutetea haki za watu weusi.

Baadhi ya Watu Waliokuwa Wanatumia Bangi na Ziliwasaidia na Dunia Inawakumbuka hadi Leo

▪Bob Marley, nadhani hakuna kijana asiye mfahamu king of reggae Robert Nestory Marley uyu jamaa kafariki kitambo ila hadi leo nyimbo zake zinatamba ni kama bado tunaishi naye ; na kinachofanya dunia imkumbuke ni uwezo wake wa kuimba reggae, ujumbe wa nyimbo zake na pia alikuwa ni mwanaharakati wa haki za binadamu bila kujali ngozi , we unafikiri zile nyimbo zote alikuwa anaimba akiwa sober hajapiga bangi😀😀stuka unaibiwa ile No woman , No cries ile ni akili ya bangi, ile One love ile ni bangi😀😀yule alikuwa anavuta bangi ndo akili inatulia, anapata uwezo wa kutafakari vizuri kisha anapiga gita anaimba na anaaandika kwa iyo bangi ukiitumia kwa lengo fulani inaongeza nguvu x10 zaidi.

▪TUPAC SHAKUR, nadhani hakuna kijana asiyemfahamu mzee mzima Kiluminat aka Tupac uyu jamaa wanadai ndo mfalme wa hiphop na mwanaharakati pekee aliyekufa akiwa na miaka 25 tu nahisi ila bado dunia inamkumbuka hadi leo kwa ngoma zake kali za hip hop na zenye u genius mkubwa , burudani na harakati ivi unadhani ile ni akili yake tu bila nguvu ya bangi 😀😀ile Dear mama unafikiri aliitunga akiwa sober iyo yote ni power ya mmea wa uzima

▪Burnaboy, uyu ni founder wa Afro-fusion mziki wenye maadhi mchanganyiko kama reggae, hip hop , rnb, afro beats nk kutoka pande za nigeria na mshindi wa tuzo ya grammy , uyu jamaa ni mtumiaji mkubwa wa bangi kitu kinachomfanya kuwa mbunifu zaidi kwenye ngoma zake na album kitu kinachompelekea mafanikia makubwa kwenye mziki wake , ivi unafikiri zile hits songs zake na album kama African Giant na twice As tall bangi hausiki😀😀utakuwa unajidanganya kama hautokubali ile ni nguvu ya bangi, jamaa muda mwingi akiwa studio sessions au kwenye matamasha yake lazima apige msuba.

▪Wizkid, najua unamfahamu vizuri wizkid kwa ngoma zake nzuri ambazo zimemweka kileleni mwa wasanii wenye mafanikio na pesa africa na iyo kutokana na music mzuri anaimba/ tengeneza akiwa studio uku pembeni akiwa na bangi

▪Harmonize, uyu jamaa wanamponda sana anavuta sana bangi ila kwangu sio tatizo maana anatumia kwenye ubunifu wa muziki wake we unafikiri zile hit songs zote uwa anarecord na kuandika akiwa sober hapana uwa kuna nguvu ya mmea wa uzima😀😀

▪WIZ KHALIFA na UNCLE SNOOP , hao ni wanahip hop wa US wenye mafanikio makubwa kwenye muziki wa hip hop na wana ngoma kibao ambazo zitaishi milele na ni wanaharakati na watumiaji maarufu wa bangi duniani😀😀kila utakapo muona Wiz lazima bangi iwepo ,hawa jamaa bangi inawasaidia sana kwenye sanaa yao ambayo watu wengi hawajui , unadhani zile movies zao na nyimbo zao wanaandika wakiwa sober😀😀zile ni akili za bangi na zinawaingizia pesa , unadhani ile WE DEM BOYZ wiz aliandika akiwa ajatumia mmea wa uzima?

▪MANABII na MITUME , Achana na hawa mitume wa sa hivi wauni na wajasiriamali mi kuna kitu nimefikiria ivi hakuna kweli waliokuwa wanatumia kama JESUS, wakina MOSES walikuwa wanaomba hadi wanaongea na GOD , sema sina huakika achana nayo hii point😀😀

Kiukweli list ni kubwa nadhani unaweza ongezea na wewe pia napenda tu kushauri bangi ni nzuri kama utatumia kwa malengo niliyokwisha elezea hapo juu na ni mbaya kama utatumia kwa malengo mabaya .

Kwa Nini Sasa Pombe na Sigara Inaruhusiwa ..

Pombe na sigara vinaruhusiwa kwa sababu ni Biashara za wakubwa wa dunia na viongozi wa dunia wa kisiasa na kawaida na vina madhara kama vitatumiwa kupita kiasi na ni bidhaa zinazomwaribu mtu katika uwezo wa kufanya mambo mbalimbali kama kufikiri, kutafakari, na kiafya ya mwili ndo maana zinaruhusiwa ili serikali zipige pesa kupitia kodi na faida ,

P.S: Ushahuri wangu kama hautumii bangi tumia siku moja moja aswa kwa lengo fulani ila usitumie pasipo sababu na lengo, we hauoni wanafunzi wanaovuta bangi wakiwa wanataka kusoma wanapasua balaa kwenye mitihani😀😀

*THE ENDView attachment 2267094
Watagwan man!! Babylon ndio wametunga sheria ya kukataza kuvuta bangi
 
Back
Top Bottom