Kwanini Watangazaji wa 'Kipyenga Extra' East Africa Radio wameumia sana na 'Nyundo' aliyopewa Haji Manara?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,177
Wanatumia muda mwingi Kumtetea huku pia wakiwatafuta Mawakili wenye Uyanga kutoa Ufafanuzi wa Hukumu iliyotolewa na Poti ( Mkurya ) kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma )

Watangazaji wa Kipyenga Extra East Africa Radio na wale wa Kipindi cha Michezo cha Usiku cha East Africa Radio nawaonyeni mapema acheni Uyanga wenu na Kutumika kwani wengine hapo tunawajua Binafsi na Madhaifu yenu sawa?

Mmejaa tu Unafiki na Kuipendelea Yanga SC yenu kwakuwa tu Wote hapo mpo katika Payroll ya GSM huku wengine tunawajua mnajikomba kwa Haji Manara kwakuwa mkikosa Pesa za Kodi huko Mlikopanga huwa mnaenda Kumpiga Mizinga.

Kila mara mnang'ang'ania tu kuwa akakate Rufaa au akikata Rufaa atashinda. Je, nyie ndiyo Mahakimu? Je, mna background yoyote ya Sheria na Vifungu vyake?

Njaa zenu hapo East Africa Radio ambako huwa mnacheleweshewa Mishahara hata Miezi 10 na wengine mpo mpo tu Kazi ni Kupiga Watu ( hasa Maarufu ) Mizinga itawatokea Puani.

'Hopeless' wakubwa nyie. Halafu mwambieni huyo Wakili ( Mwanasheria ) Victor ( ambaye hakuna asiyemjua kuwa ni mwana Yanga SC ) anayeongea sasa kwa njia ya Simu kuwa Mtuhumiwa akiwa na Wakili wake hata kama Yeye ( Haji Manara ) alikuwa na Udhuru bado Wakili wake ( Mwakilishi ) angetosha kuwa mbele ya Kamati ya Maadili na ndicho kilichofanyika Jana.

Kuanzia sasa nitawadharau sana tu.
 
Hahahah

Umefurahi hadi unajipa raha!
 
Kwa maneno haya wacha apigwe nyundo
Screenshot_20220721-130221.jpg
 
Mwisho wa senema hii baada ya rufaa ni kwamba manara atalipa million moja tuu haya ni maigizo tuu hukumu sahihi ipo kwenye rufaa
 
Leo nimekaa nimesikiliza kile kipindi hadi nimeshikwa kichwa kuna mmoja yule ndio inaonekana kichwa pumba eti anasema aachie kwa mustkabali wa mpira wetu kwakuwa ameleta hamasa yaan mtu afanye makosa halafu aachiwe sheria ni msumeno fikiria aliwahi kugombana na kitenge dauda prisca na wasafi karia na jemedari mtu gani kila siku yeye
Ila mm nachokiona kuna kiongozi mmoja wa serikali ndio anampa kiburi najua kila mtu anamjua
 
Unadhani lile tukio angefanya mtu wa kawaida awe mwandishi wa habari au mchambuzi yoyote basi ujue miaka 5 angekula ila huyu kuna sehemu anaitegemea ndio hiyo inayompa kiburi nina uhakika wa mambo mawili endapo atakata rufaa basi kuna uwezekano wa adhabu kupunguzwa maana hawawezi futa moja moja kwa kuwa wengi wameona lile tukio hivyo wakiaacha TFF itajishusha lkn nakupa kitu dunia haina siri ili iwe siri ubaki na jambo mwenyewe asikuone mtu wala usimwambie mtu jambo lako lolote
 
Kuna vibudu wengine pale Wasafi Sports Arena, Paul Mnkai,Ahmed, Yusuf Mkule, Ricardo Momo na kale kademu kao wamefanya pale kama kitengo cha Utopolo
Huwa sina muda wa Kuwasikiliza kwakuwa nawajua Walivyo Majuha ( Fools ) na kuna Mmoja hapo ( pale ) siyo Riziki japo ni Mwanaume.
 
Leo nimekaa nimesikiliza kile kipindi hadi nimeshikwa kichwa kuna mmoja yule ndio inaonekana kichwa pumba eti anasema aachie kwa mustkabali wa mpira wetu kwakuwa ameleta hamasa yaan mtu afanye makosa halafu aachiwe sheria ni msumeno fikiria aliwahi kugombana na kitenge dauda prisca na wasafi karia na jemedari mtu gani kila siku yeye
Ila mm nachokiona kuna kiongozi mmoja wa serikali ndio anampa kiburi najua kila mtu anamjua
Unayemuongelea kwa Kauli hizo ni Jimmy Kindoki ambaye kwa tunaomjua tunajua alifanywa nini na Mdau wa Yanga SC Carlos the Don mwaka Juzi walipolala Chumba Kimoja Mbeya pale Yanga SC ilipoenda Kucheza na Mbeya City katika Mechi ya Ligi Kuu.

Huyo Kiongozi mkubwa unayemuongelea hapa ni Mstaafu wa Kikatiba kwa mwaka 2005 - 2015 ndiyo anampa Kiburi kwakuwa ni Rafiki Mkubwa na Baba Mzazi wa Mfungwa Mpya wa Leo wa Kamati ya Maadili ya TFF.
 
Back
Top Bottom