Mrejesho kuhusu mwanamke muuza bar South Africa 🇿🇦

Saad30

JF-Expert Member
May 26, 2020
1,815
3,637
Salamu wakuu..

Juzi siku ya jumapili nilisema wacha nitoke niende zangu club nikapate beer 🍺 kadhaa ila sjaenda club anayofanya demu ambaye nilikuwa natoka nae.

Wiki iliyopita alienda kwao KZN (Durban) ila mimi naishi Jozi.

Sasa bana kipindi napiga mambo yangu na mizuka imepanda ya akili za usiku akanipigia simu bana ilikuwa mida ya saa saba usiku akaniambia upo wapi nikamwambia nipo club akasema nije nikamwambia nikitaka kwenda home nitakupitia ili nilimuuliza umerudi kutoka home kwenu akasema ndio nikamwambia okay nikitoka nitakupita hapo..

Sasa bana tafuta tafuta demu club nikapata ila Sasa akanipa namba yake ila cha ajabu namba pungufu yani zilikuwa 9 baada ya kumi maana aliandika haraka haraka cos mchizi alikewepo nae alienda chooni...DAAH MASELA TUTAFUTENI PESA ASEE BILA PESA HAWA VIUMBE WANAWAKE HAWANA THAMANI KWETU...

sasa bana imefika mida ya kufungwa club demu sikaja upande wangu kamuwacha mchizi wake yaani hapa nazungumzia demu aliyenipa number basi bana mimi nikawasha ndika vuuuuuu hasi geto daah kufika geto demu ananiambia kulala na wewe itakuwa ngumu ila kesho nikitoka kazini nitakuja uzuri nimekupa namba yangu utanipigia..

Kwenye moyo wangu kitu kikikataa huwa nasemaga ANYTHING HAPPENS, HAPPENS FOR GOOD. Nikamuitia Uber kapanda kajikata zake..

Nimejipa hope namba ya simu ninayo nachek hivi namba pungufu weee ku*****make nikasema usinitanie nikawasha ndinga hadi mjengoni anapokaa mana location ilibaki kwenye simu yangu sehemu anaenda..Hapa kwa wale wanaotumia Uber au bolt wanafahamu.

Basi bana nikafika fresh sasa balaa linakuja kumbe ule mjengo ipo miliwili kwa mmoja nikauliza kwa mlinzi ni kamuelezea akaniambia ndends ule mlango mwingine hapa mijengo ipo tofauti ala alinipa hope alimuona mschana kama yule kutokana na jinsi alinvyovaa...Basi bana kujeelezea pale wakaniuliza kwani tatizo nini nikawaambia kachukuwa chip yangu geto kumbuka hakuna sheria ya kumuangalia mtu kwenye camera ya mjengo bila ruhusa ya barua kutoka police au kutoka office ya mjengo ila nilitoa hongo bana asee nilimuona nakawambia ndio huyu basi nikawapa pale pesa ya Asante nikaacha namba ya simu kwamba akitoka anitafute ila nahisi ajanitafuta mana itakuwa ameogopa kusema amechukuwa chip yangu afu inavitu vyangu vya sili sana.😂😂😂😂😂

Sasa tuendelee na huyu waiter mana hiyo ilikuwa ni introduction.

Baada ya kurudi home...Mizuka ya mitungi imezidi nikampigia yupe demu akaniambia bebi kesho nitakuja baada ya kuamka nikakata simu kwa hasira 😡😡😡

Kweli kesho kapiga simu sku pokea ghafla meseji I'm on my way bebi nikapuuzia asee zimepita dakika kumi simu hii hapa nikapokea akaniambia nipo reception hapa nikamwambia nakuja fresh nikanda kumchukuwa...akatulia ndani mimi nikaendelea na busy zangu kwanza kwa muda ule na kumfikiria yule demu wa number.

Sasa basi imefika mida narudi home nataka nipige mzigo kum****make eti yupo kwenye siku zake asee alinikata sana Sasa kwenye akili zangu zikanituma huyu leo namtimua na hato amini tena namtimua kwa maumivu.

Nikazuga kama lisaa hivi nikamwambia babe kuna kitu hakipo sawa ex wangu anakuja kuchukuwa vitu vyake akitoka club maana kanipigia simu yupo club akitoka anapitia hapa kuchukuwa mambo yake kwahiyo asije kukuta mkaanza kupigana humu na mbaya zaidi yeye anauwezo wa kuingia muda wowote mana anayo fingerprint ya hapa mjengoni.

Asee wakuu alitukana sana huku analia nikamwambia wewe tukana nauli hiyo hapo mimi najikata zangu nilimuachia R300 mimi nikatoka zangu nje kuzuga nikarudi kaondoka zake...

Nikalala usingizi wangu poa sana hadi sasa hajanitafuta.

Story ya muuza bar imeishia hapa.


Pia soma: Wasichana wa Afrika Kusini ni hatari
 
Salamu wakuu..

Juzi siku ya jumapili nilisema wacha nitoke niende zangu club nikapate beer kadhaa ila sjaenda club anayofanya demu ambaye nilikuwa natoka nae.
kuna pini moja namimi ilinipa namba unfortunately ikamis moja pale Chesa Nyama, sijaiona mpaka leo, tuwasiliane mkuu hizi Hunters sitazinywa peke yangu kila siku, niko loveday, Marshalltown
 
kuna pini moja namimi ilinipa namba unfortunately ikamis moja pale Chesa Nyama, sijaiona mpaka leo, tuwasiliane mkuu hizi Hunters sitazinywa peke yangu kila siku, niko loveday, Marshalltown
Wacha uchizi wewe mkuu 😂😂😂😂 mkuu wee utakuwa bata kinda nini
 
kuna pini moja namimi ilinipa namba unfortunately ikamis moja pale Chesa Nyama, sijaiona mpaka leo, tuwasiliane mkuu hizi Hunters sitazinywa peke yangu kila siku, niko loveday, Marshalltown
Tatizo chesa nyama na capello kung'oa totozi ngumu pale utaambulia namba ndio mana nimeamisha kiwanja
 
Tatizo chesa nyama na capello kung'oa totozi ngumu pale utaambulia namba ndio mana nimeamisha kiwanja
pagumu sana pale halafu changanyikeni sana, mm nishaamua kuchakata hizi za kizungu hapa The Reef hotel, ukikaa restaurant usiku hukosi ya kupanda nayo room, halafu room moja inalala empty
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom