Search results

  1. Mtu wa Pwani

    Siasa za kutishana hazitoimarisha Amani- Rais Samia

    Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo. Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria mama anashusha nondo
  2. Mtu wa Pwani

    Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo. Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo...
  3. Mtu wa Pwani

    Serikali itabakia Dodoma?

    Kwanza kabisa kama mtanzania niungane na watanzania wenzangu katika kuombeleza msiba huu mzito uliolikumba taifa letu. Tumeona na kushuhudia juhudi za mwendazake Rais John Pombe Magufuli kuifanya Dodoma kua Makao makuu ya serikali, mengi yamefanywa kuanzia miundo mbinu, kuhamishwa taasisi...
  4. Mtu wa Pwani

    Zanzibar 2020 ZEC yawaengua wagombea wengi wa ACT-Wazalendo. Je ACT-Wazalendo itashiriki Uchaguzi?

    Naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:- Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa...
  5. Mtu wa Pwani

    TANZIA Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba afariki dunia

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba amefariki dunia leo. Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi Simba amefariki katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akipatiwa matibabu...
  6. Mtu wa Pwani

    La Membe limeishia wapi? nnaona sasa la Assad limeibuka

    jamani kila kukicha nchi yetu inashuhudia minyukano ya hapa na pale na watu kuja hadharani wakiwa wamefura na kuhamaki sana. tulishuhudia Katibu Mkuu wa CCM akitokwa povu la mdomo akimtuhumu Mh Membe kua anamkwamisha Rais kutimiza majukumu yake, na kumtaka afike haraka ofisini kwake. akaeleza...
  7. Mtu wa Pwani

    Je, itakuwaje hali ya kisiasa Zanzibar 2020?

    hadi mwaka huu wa 2018 unamalizika zanzibar kuna mkwamo wa kisiasa. watawala wanaendelea kutawala kama vile uchaguzi uliopita haukuleta mpasuko na kuigawa jamii, wakati huo huo upinzani wakiwa hawamo hata barazani wakiendeleza kampeni zao kua serikali iliopo si halali na wala tume ya uchaguzi...
  8. Mtu wa Pwani

    Je, ACT-Wazalendo ni cha Watanganyika au Watanzania?

    Nimefuatilia kwa muda kuhusu hiki chama kipya kinachoshika kasi nchini kama moto unavyoenea nyikani wakati wa kiangazi. Ila hujiuliza mbona uongozi wa juu wote ni upande mmoja wa muungano!! Pili sioni harakati yoyote ya kukieneza chama upande wa pili wa Muungano(Zanzibar) au lengo ni...
  9. Mtu wa Pwani

    kwa nini mwanasheria wa zanzibar aliamua kupiga kura ya wazi ?

    nimekaa na kujiuliza sana kwa nini mwanasheria wa zanzibar aliamua kupiga ya wazi na si siri? Jee mwanasheria alikwisha jua kua kura za siri zitachakachuliwa kisha wamuweke kwenye mtego kua mnafiki? nnajiuliza hilo kwa sababu ya matokeo ya mwisho kua yote ni ndio, wakati ni kitu muhali sana...
  10. Mtu wa Pwani

    Kuna nini hata mwanasheria Mkuu wa zanzibar ashindwe kuongea na wanahabari wote kama alivyopanga ?

    uhusu kujiuzulu kwa Mwanasheria Mkuu wa SMZ Mkutano kati ya waandishi wa habari wa Zanzibar na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, uliokuwa ufanyike leo Mjini Unguja ili kupata kweli kuhusu kujiuzulu kwa Mwanasheria Mkuu huyo katika Kamati a Uandishi...
  11. Mtu wa Pwani

    Mansour Yussuf Himid apata dhamana

    Mansour Himid nje Mahakama ya Mkoa,Vuga imempatia dhamana aliekuwa waziri wa zamani wa serikali ya Mapinduzi (SMZ),Mansour Yussuf Himid anaetuhumiwa kwa kosa la kumiliki silaha kinyume na sheria ya Zanzibar, baada ya kupata maelekezo kutoka Mahakama kuu. Hakimu Khamis Ramdhani ametoa dhamana...
  12. Mtu wa Pwani

    Wazanzibari wafukuzwe bunge la sasa la kariba

    NIMEKAA NA KUTAFakari sana kuhusu bunge hili la katiba kuanza kujadili mambo ya ardhi wafugaji na rasilimali za Taifa ilhali wabunge wazanzibar wamo kwenye bunge. hoja yangu ni kua wazanzibar mambo hayo weshayaweka kwenye katiba yao, kwa hio kama yatajadiliwa kwenye bunge ili yawemo kwenye...
  13. Mtu wa Pwani

    Neno 'kashifu' linavyotumiwa na Wakenya ni sawa ?

    mara nyingi nimekua nikifatilia habari kwenye vyombo vya habari vya kenya na hata BBC wakihariri habari wakenya hulitumia neno KUKASHIFU kama kulalamika au kupinga maamuzi au maneno yaliofanywa na wengine ntatoa mfano wa habari ilioripotiwa na BBC jana [B] . hapa anamaanisha akipingana na...
  14. Mtu wa Pwani

    Mawazo Nyaufu: Serikali zikiwa Mbili Zanzibar iwe ya Muungano na Tanganyika, Jee mtakubali?

    wengi wanasema kuenda serikali tatu kutaifanya serikali ya Muungano iwe inaelea na isiwe na majukumu yeyote ya kutenda kitu ambacho kitaleta udhaifu wa muungano. mm kama mzanzibar hii serikali iliopo kwa sasa pia nnaiona inaelea na sioni faida zake kwa zanzibar zaidi ya kusimamia mambo ya...
  15. Mtu wa Pwani

    Jicho Pevu: Waliomua Aboud Rogo na wenziwe ni Usalama wa Serikali Kenya

    Jana nilibahatika kuangalia Citizen ya Kenya kwenye kipindi cha Jicho pevu, nilioyaona na kuyasikia yaliniacha mdomo wazi. Hivi ni kweli usalama wa Kenya wanaweza kufanya mabaya kama yake kwa Raia wake wasio hatia? Kwa kweli nimejiuliza mengi. Je, vipindi kama vile kuruhusiwa kuoneshwa...
  16. Mtu wa Pwani

    ZANZIBAR: Ukusanyaji wa maoni ya katiba CCM na CUF kupambana kama ni UChaguzi ni sawa ?

    habari zilizoenea tume wa ukusanyaji wa maoni imeshindwa kufanya kazi yake baada ya kupokea vitusho na pia sehemu nyengine wafuasi kutunishiana misuli. kila upande inasmekana kupanga watu wake ili kuwasilisha mawazo ya vyama vyao wakati huo huo kuhakikisha kua wanabana wenzao wenye mawazo...
  17. Mtu wa Pwani

    TANZIA: Mh. Jussa Mwakilishi wa Mji Mkongwe afiwa na mama yake mzazi

    nnachukua fursa hii kuwaarifu wanajamiiforums, msiba wa mama wa kijana mwenzetu na mwanasiasa machachari JUSSa Ladhu mwakilishi wa CUF, kilichotokea leo. mungu ampumzishe kwa amani pahala pema peponi. Pia tunamuomba mwenyezimungu ampe moyo wa subira mheshimiwa na wafiwa wote kwa kuondokewa na...
  18. Mtu wa Pwani

    Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

    Habari zilizogaaa kila kona sasa hivi unguja kuwa Sheikh Farid wa Uamsho ametekwa na watu wasiojulikana na hadi sasa hajulikani yuko wapi. Mengi tuthabarishana. Ila kwa sasa hali ni tee maana watu washaqnza kujikusanya kila pahala. ========== MODERATOR: JF imefuatilia na inatoa uhalisia wa...
  19. Mtu wa Pwani

    Shamsi vuai Nahodha na Msimamo wake Juu ya Muungano

    baada ya kusoma maoni ya waziri kiongozi mstaafu wa SMZ na waziri ktk serikali ya muungano kwa sasa ndugu shamsi vuai nahodha akichangia kwenye ukusanywaji wa maoni kwa ajili ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano kwenye ukumbi wa wakilishi huko zanzibar. amesema yy anataka muundo uendelee hivi...
  20. Mtu wa Pwani

    Uchaguzi jimbo la BUBUBU zanzibar

    waungwana leo uchaguzi jimbo la bububu unafikia tamati, hadi sasa mambo yanaenda shuwari. wananchi wamejitokeza kwa wingi. tutajua nani kidume ni BHAA wa CCM au ISSA KHAMIS ISSA wa CUF.
Back
Top Bottom