Search results

  1. S

    SoC04 Uboreshaji wenye kuleta unafuu wa usafiri kwa watoto wa kitanzania (wanafunzi) na chakula mashuleni kote

    Awali ya yote nipende kutoa shukurani za kipekee kwa uongozi wa JF na wahisani wengine kuwezesha jukwaa hili kuwa kitovu cha mawazo mapana ya kuijenga nchi yetu ya Tanzania. Nikienda kwenye mada ya namna ya kuboresha sekta ya usafiri ili iweze kuleta wepesi kwa watoto wa kitanzania kupata...
  2. S

    Serikali au Taasisi Binafsi naomba muwekeze kwenye michezo hii miwili niliyobuni kutokea hapa hapa Tanzania

    Hello heshima kwenu ndugu zangu! Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo. Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
  3. S

    Kuelekea AFCON 2027, JWTZ mna eneo zuri pale Nyegezi kona mnaweza kujenga uwanja mzuri wa mpira

    Pongezi kwenu JWTZ kuwa na maeneo mengi makubwa hapa Tanzania. Maeneo mengi yapo strategically kama mtayatumia kama fursa ya kukuza uchumi wa Jeshi letu la wananchi. Pale Nyegezi kona katikati ya jiji la Mwanza mna kiwanja local ambacho huwa mashindano mbalimbali ya michezo huwa yanafanyika...
  4. S

    Nabii Johnson Petersburg (kurudi kwa kifo)

    SEHEMU 1 Hapo zamani za kale enzi za akina nabii mfalme Daud huku Israel kulikuwepo na nabii mmoja kwenye himaya ya Uingereza aliyekuwa akijulikana kwa jina la nabii Johnson Petersburg (45) alimaarufu kama “sababu ya kifo” au jina lingine alikuwa akitambulika kama “mpasua vichwa”. Hii ni...
Back
Top Bottom