Search results

  1. K

    Mitaro ya maji katika paa la flat roof

    😅so far iko konki haivuji
  2. K

    Mitaro ya maji katika paa la flat roof

    Kwa ramani ilivyo gutter inakaa pembeni ina sijui kwanini mchora ramamni na fundi hawakushautiana gutter ikae nje. Na mimi niliona sawa tu ila kwa sasa ndio nagundua when it is too late
  3. K

    Mitaro ya maji katika paa la flat roof

    Hakika😐 yaani at this point najuta kujenga flat roof na sishauri mtu kuijenga ina a lot of hiccups
  4. K

    Mitaro ya maji katika paa la flat roof

    Asante mkuu, hii ilikua option ya haraka kufikiria ila itafanya nyumba iwe fupi sana. Ndio naumiza kichwa kutafuta option nyingine
  5. K

    Mitaro ya maji katika paa la flat roof

    Slub ina bomba za kushusha maji chini, haimwagi ktk gutter
  6. K

    Mitaro ya maji katika paa la flat roof

    Mkuu hizo mbao ni flat surface ya ceiling. Shida sio hizo mbao shida ni huo mtaro nauficha vipi bila kuharibu nyumba
  7. K

    Mitaro ya maji katika paa la flat roof

    Asante mkuu, kupavunja haiwezekani lakini,
  8. K

    Mitaro ya maji katika paa la flat roof

    Habari zenu wanajamvi. Nimefanikiwa kujenga nyumba ya flat roof, nyumba ina mitaro darini inayokinga maji ya mvua ila mitaro inaonekana kwa ndani kama mnavyoona ktk hii picha. Mtaro uko kulia (sebuleni) na kushoto (dining) . Dari haina muonekani mzuri, Naomba mawazo yenu juu ya design nzuri ya...
  9. K

    Naomba kujuzwa English medium nzuri maeneo ya Boko - Bunju

    Habari zenu wana jamvi. Naomba recomendation za shule nzuri za msingi- english medium ambayo mbali na kufundishwa vizuri, pia watoto wananolewa vizuri kuongea kingereza kizuri. Itanipa unaafuu zaidi kama nitapata shule zilizo maeneo ya Tegeta-Boko-Bunju. Ada pia iwe stahimilivu🙏 Natanguliza...
  10. K

    Msaada: NSSF fao la uzazi

    Habari zenu wana jamvi, Nina swali kwa mwenye uzoefu au anaefahamu anijuze, imeainishwa kua fao la uzazi NSSF linatolewa kwa mwanachama mwenye michango 36 ktk mfuko na michango 12 iwe imelipwa mfulilizo kabla ya tarehe ya kujifungua. Je, mwanachama ambae ana michango NSSf ya miezi 16...
  11. K

    Natafuta kazi jamani

    niko hapa kukutia moyo. jitahidi kuapply bila kuchoka utapata. Mungu akujaalie upate mapema
  12. K

    Uzi Maalum Wa Kujadili Shule Mbali Mbali

    inaonekana ni shule nzuri. Ada zao zikoje?
  13. K

    SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    umemaliza kila kitu. big up
  14. K

    Kubadili kituo cha kazi kada ya elimu

    Sawa mkuu shukrani kwa ushauri.
  15. K

    Kubadili kituo cha kazi kada ya elimu

    Salamu kwenu wanajamvi, Nina dada yangu ni mwalimu wa shule ya msingi huko Iringa Kilolo. Anahitaji kuhama mkoa anaopendelea ni Morogoro. Kama kuna anaejua yeyote anaetaka kuhamia Kilolo hata kama hayuko Morogoro naomba tuwasiliane PM. Shuktlrani
  16. K

    Msaada, awamu za ujenzi

    Zipo mkuu.
  17. K

    Msaada, awamu za ujenzi

    Nawasalimu wanajamvi, Mfano ujenzi nyumba imefika kiwango cha hii picha, Hapo tayari ina bomba za kuja kupitishia wiring ya umeme, mfumo wa bomba za maji safi na maji taka pamoja na shimo la maji taka vipo tayari na tuchukulie pesa ya kumalizia ipo ya awamu awamu. Naomba kufahamishwa kama kuna...
  18. K

    Naomba kueleweshwa kuhusu mfumo wa gesi ya kupikia katika nyumba/jiko

    Nawasalimu wakuu. Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe kuhusu kuweka system ya gas ya kupikia katika jiko. Katika pitapita zangu nikawasikia jamaa wanaongelea kuwa kuna mfumo ambao mtungi wa gas unawekwa nje kabisa mbali na kijoni, halafu wamepitisha bomba za kupeleka gas ndani/jikoni. Hii...
  19. K

    Nyufa katika madirisha

    Nawashukuruni nyote kwa inputs zenu. Hapo itabidi nitumie wayemesh
Back
Top Bottom