Kama mada inavojieleza hapo juu nimeota nasafisha mitaro ya barabarani
Ila wapita njia walikuwa wananipa moyo na kunifariji kuwa hivi karibuni naweza kupata tuzo au faida kubwa kwa kazi hiyo ya kujitolea.
Mimi pia nilikuwa naifurahia kwani nilifanya kwa bidii pia juzi kama siku tatu zimepita...
Mitaro iliyopo kwenye barabara kutoka Shoppers Mikocheni Dar es salaam kuelekea Hospitali ya Kairuki imejaa maji machafu na taka, hali inayosababisha harufu mbaya na kuwa kero kwa wakazi wa maeneo hayo, hususan wafanyabiashara.
Hali hiyo pia inachangiwa na chemba inayotiririsha maji taka katika...
Anonymous
Thread
barabara
eneo
maji
maji taka
mikocheni
mitaromitaro kuziba
taka
Kero ya bara bara Kiluvya Madukani kwenda Kiluvya Makurunge ni kubwa sana kwa wakazi na wawekezaji.
Eneo hili ni asili ya udongo mfinyanzi, wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi licha ya ahadi ya viongozi kwa muda mrefu kuwa wataweka lami ila wakati tunasabiri ahadi hiyo kwa muda sasa...
Anonymous
Thread
asili
barabara
kujenga mitaro
makurunge
mfinyazi
mitaro
mvua
Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi
Kitendo hiki tunakichukuliwa kama uharifu dhidi ya raia na ni wehu cha kushangaza wambura hajawachukulia hatua zozote askari hao kwa vitendo hivi vya...
Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu.
Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF.
Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya...
Kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nianze kufanya kazi ya kusafisha na kuzibua mitaro sehemu mbalmbali za jiji la Dar es salaam.
haszu
Confession
@cutewife
Nawengine ambao mnaweza kutoa tenda mje,. hakika koleo na vifaa vingne muhimu vipo vinasubiri wateja.
Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko.
Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya ikiwamo kutengeneza barabara, ili wapewe pesa za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF).
Pambalu...
Kufuatia tamko la mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh. Chalamila kuwa tare 23 vyombo vya ulinzi vitafanya usafi mkoa wa dar salaam mi naona kuwa kwa kuwa hivyi vyombo viko vingi angepanga kwa mafungu kuwa chombo hiki kije na maslesha chombo hiki kije na sururu chombo hiki kije reky na hiki...
Wakuu salam,
Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa.
Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
Eneo la Kawe katika Kituo cha Daladala cha Maringo kuna hali ambayo imekuwa ikinikera kwa muda mrefu, mitaro inayopotisha maji inazibwa kwa makusudu kwa kutumia viroba na vijana wanaofanya biashara ya kuuza maua ‘original’, yaani yale maua halisi, wanafanya hivyo ili wapate maji ya kumwagilia...
Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji.
Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
Sawa chochote kinaweza kuwa priority, ila hii ya madhara ya mvua ndio ingepaswa iwe headline.
Sasa mnaleta stori za kuvunja madanguro 150 ili sasa ndio iwe habark ya mjini alafu wasahau kuulizia kuhusu maji kujaa mitaani kwao.
Kwanza mtafikaje huko mabondeni mabondeni na haya maji mengi hivi...
Habari zenu wanajamvi. Nimefanikiwa kujenga nyumba ya flat roof, nyumba ina mitaro darini inayokinga maji ya mvua ila mitaro inaonekana kwa ndani kama mnavyoona ktk hii picha.
Mtaro uko kulia (sebuleni) na kushoto (dining) . Dari haina muonekani mzuri, Naomba mawazo yenu juu ya design nzuri ya...
Marndeleo yasiyo kuwa na mipango ni matumizi mabaya ya pesa!
Kuna jamaa hawamalizi kuchimba mitaro mtaani, kila mwaka wana chimba chimbua hata vya maana havionekani!
Wanatandaza mabomba yasiyotoa maji kila mwaka!
Wananchi maeneo mengi dar hawana huduma bora za maji lakini sahivi kila sehemu...
Kwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa.
Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
Sijui kama hili limekaa kitaalam sana au kipigaji!
Kwa taarifa za Mamlaka ya hali ya hewa! Baada ya wiki mbili kutakuwa na mvua! Ukipita barabara ya bagamoyo kuanzia eneo la mbezi kuelekea tegeta! Yale majani ya pembezoni mwa barabara wanayakwangua na greda! Kama tunavyojua greda husukuma...
Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda...
Wadau mada inajieleza; nimeshitushwa sana nimepita Morogoro eneo la Mkundi ambako mwaka jana tu miezi ya mwishoni ulifanyika ujenzi wa mitaro ya maji ya mvua kandokando ya Highway ya Morogoro - Dodoma. Mvua iliyonyesha siku chache zilizopita imesomba mawe yote yaliyojengwa kwa cement na mchanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.