Search results

  1. Edo kissy

    Hapa itakuwa shida nini, mwamba kapiga game nusu saa anaona hajafaidi kabisa

    Habarini Sijui kuandika sana kiufupi ipo hivi. Leo nilikuwa na mmoja wa rafiki zangu sasa wakati wa story za hapa na pale jamaa si ndo akanisimulia kuwa juzi alikuwa na pisi yake room kwa hiyo akawa kapiga mzigo kama nusu saa hivi kitu ikalala kabisa. Akatulia usiku tena akamshtua akapiga...
  2. Edo kissy

    eFootball Special Thread

    eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo: ▫️Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES), lakini baadaye ulibadilishwa jina kuwa "eFootball." Mabadiliko haya yalifanyika ili kuongeza msisimko na...
  3. Edo kissy

    Bongo bwana😂😂

    Iv kweli ananipenda au muongo tyuu😂🤷 Naombeni ushauri wenu
  4. Edo kissy

    Video ya Rayvanny na Zuchu iliandaliwa kwa bajeti ya Tsh Milioni 80

    Habari za usiku huu. Ni hivi video ya wimbo wa Rayvanny na Zuchu inayoitwa I miss you iliandaliwa kwa million 80 hadi kukamilika kwake. watu wanawekeza jaman.
  5. Edo kissy

    Tutafutane hapa jamani

    Habar wana jf. Uzi huu ni kwa ajili ya kutafutana.kinachotakiwa kufanya ni mtu aandike jina lake, umri wake, pamoja na anachotafuta halafu wanakuja pm. Naanza na mimi. Jina: Edo kissy Umri: 18 Natafuta marafiki lakini chochote chaweza tokea karibuni. Uzi tayari.
  6. Edo kissy

    Habari wana JF

    Habar wana jf. I am a new member here. Kwa majina naitwa Edo kissy naombeni ushirikiano wenu naomba kukaribishwa. Asanteni
Back
Top Bottom