Tutafutane hapa jamani

Edo kissy

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
1,793
5,109
Habar wana jf.

Uzi huu ni kwa ajili ya kutafutana.kinachotakiwa kufanya ni mtu aandike jina lake, umri wake, pamoja na anachotafuta halafu wanakuja pm.

Naanza na mimi.
Jina: Edo kissy
Umri: 18

Natafuta marafiki lakini chochote chaweza tokea karibuni.


Uzi tayari.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom