Hapa itakuwa shida nini, mwamba kapiga game nusu saa anaona hajafaidi kabisa

Edo kissy

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
1,911
5,382
Habarini

Sijui kuandika sana kiufupi ipo hivi.

Leo nilikuwa na mmoja wa rafiki zangu sasa wakati wa story za hapa na pale jamaa si ndo akanisimulia kuwa juzi alikuwa na pisi yake room kwa hiyo akawa kapiga mzigo kama nusu saa hivi kitu ikalala kabisa. Akatulia usiku tena akamshtua akapiga kama dakika kumi kitu ikalala so jamaa anaona hajamfaidi demu wake kabisaa ndo akawa ananiuliza shida ni nini ett.

Mimi nikamjibu iatakuwa hana hisia na huyo mwanamke.

Kwa hiyo mnisaidie mawazo au shida ni nini mtu 5 unapiga nusu saa tu mzigo unalala na mwamba anaona hajafaidi kabisaa

Pia demu wake baada ya mechi akaanzaa kumwambia mwamba eti mimi sitaolewa ila nataka tu mtoto kutoka kwako mara nakupenda tu wewe ila sitaki kuolewa na hapo ndo mwamba akaona kama kazingua zaidi.

mzabzab
dronedrake
Red black
DungaMawe

Naombeni mawazo na ushauri wenu wakuu.

Natanguliza shukurani 🙏😊
 
aisee ana tabuu uyooo ndugu yetuu mazee dah...kwa kweli mwenzenu nimeangukia kabinti flanii kakibargaig! si unajua tena izi shuguli za uokozii huku manyaraa, yaani leo katapokea show za kipalestinaaa.
Sasa mbinu zipi unatumia kupiga hizo show za kiparestina ili tumshauri mwamba na yeye azitumie😂😂
 
NimecHeka Sana mkuu!!

Unajua sisi wanaume Kuna saikolojia Huwa hatuelewi kabisa!

Ukweli ninkwamba sio kila Dem mzuri au mbaya aliumbwa Kwa ajili ya Kila mwanamme!!!

Naandika Nini!!?

Sio kila dem atamfanya mwanamme awe na hisia nae hata kunako 6kwa 6!wengine tupige nao stori TU mkuu!!

Ukipewa madem kumi Kwa siku kumi tofauti huwezi wachakata wote kwa hamasa inayofanana wote why!? because kabla hujamwingilia mwanamke Kuna mapatano ya roho na nafsi zenu ndio mfanye,hisia zikigoma huwezi Fanya lolote!!

Binafsi Kuna madem kadhaa Tena pis niliwahi chukua na kuweka geto lakini hisia nao zilikata nikawaacha halafu wakati huo huo nikaopiga shoo na Dem mwingine Tena ya kibabe wakati huyu niliemwacha akilalamika !!

Unaweza ukamuona anafaa lakini ukashindwa kumtumia na kujenga nae!!

Nimejaribu!
Habarini

Sijui kuandika sana kiufupi ipo hivi.

Naombeni mawazo na ushauri wenu wakuu.

Natanguliza shukurani 🙏😊
 
NimecHeka Sana mkuu!!

Unajua sisi wanaume Kuna saikolojia Huwa hatuelewi kabisa!

Ukweli ninkwamba sio kila Dem mzuri au mbaya aliumbwa Kwa ajili ya Kila mwanamme!!!

Naandika Nini!!?

Sio kila dem atamfanya mwanamme awe na hisia nae hata kunako 6kwa 6!wengine tupige nao stori TU mkuu!!

Ukipewa madem kumi Kwa siku kumi tofauti huwezi wachakata wote kwa hamasa inayofanana wote why!? because kabla hujamwingilia mwanamke Kuna mapatano ya roho na nafsi zenu ndio mfanye,hisia zikigoma huwezi Fanya lolote!!

Binafsi Kuna madem kadhaa Tena pis niliwahi chukua na kuweka geto lakini hisia nao zilikata nikawaacha halafu wakati huo huo nikaopiga shoo na Dem mwingine Tena ya kibabe wakati huyu niliemwacha akilalamika !!

"VITU VYOOOTE VINAFAA LAKINI SIO VYOTE VIFAAVYO KUTUMIA,,!VITU VYOOOTE VINAFAA LAKINI SIO VYOOTE VIJENGAVYO""!Paulo mtume katika maandishi take!

Unaweza ukamuona anafaa lakini ukashindwa kumtumia na kujenga nae!!

Nimejaribu!
Nimependa hii mkuu hapa ni ukweli mtupu.
Ma pisi ya jamaa ni kali sema ndo hivo hisia za jamaa kwa pisi hazipo.

Shukrani 🙏😊
 
Acha utani mkuu unazungumzia sekunde 3 au nusu saa?😁halafu anatombraaaaa muda mrefu wote huo kugundua nn?Mimi ni 3 mins top kama hajatosheka ana vidole.
Nusu saa( dakika 30) ila mwamba anaona hajafaidi kabisaa ety.😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom