Video ya Rayvanny na Zuchu iliandaliwa kwa bajeti ya Tsh Milioni 80

Edo kissy

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
1,911
5,382
Habari za usiku huu.

Ni hivi video ya wimbo wa Rayvanny na Zuchu inayoitwa I miss you iliandaliwa kwa million 80 hadi kukamilika kwake.

watu wanawekeza jaman.
 
mambo mengine msiwe mnatuchosha heti milioni 80 au milioni 8.
waandaji wa video ni wa hapa hapa na hakuna la maana
 
Tzs 80,000,000
Analipa kodi ya nyumba
Anaendesha Imported used car kutoka Japan
Anajitahidi kuwa na mpambanaji(Domo) ili kupunguza ukali wa maisha.

Siku moja 50Cent akihojiwa, amewahi kupata cheki kubwa ki-thamani kwa mara moja kwenye shughuli zake za muziki?

Akasita sita kusema, wakambana aseme...$80,000,000

Muulize Zuchu na Domo, maelezo yataishia kwenye kuongeza sifuri angalau 3
 
Back
Top Bottom