Mafunzo yako katika madarasa mawili; online na pengine kwenda nje, hasa wakati wa mitihani. Taifa linachaguliwa na washiriki na kuidhinishwa na wakufunzi kulingana na bajeti na mambo mengine.
By Simon Mkina
Every time governments turn off the internet, they use one of these five arguments to grease -up the real intention; it is a matter of national security; elections must be protected; violence must be avoided; cheating must be prevented, and the spread of false information should...
Na Simon Mkina
MARA zote serikali zenye kuongozwa na watawala dhalimu duniani, huzima mtandao wa intaneti kwa madai makubwa matano; kuimarisha usalama wa taifa, kulinda uchaguzi, kuepusha vurugu, kuzuia udanganyifu kwenye mitihani na kukwamisha kusambaa kwa taarifa za uzushi.
Hata hivyo, madai...
Marehemu Profesa Mwesiga Baregu (Picha kutoka mtandaoni)
Jana, Juni 13 asubuhi, nilipokea taarifa za kifo chako nikiwa bado kitandani; nikiwa nimejilaza kwa mapumziko na siyo kwa ugonjwa. Mke wangu, Jacqueline akanijuza kuhusu kuondoka kwako hapa juu ya uso wa dunia.
Nilipigwa butwaa na...
When Tanzanian authorities announced the passing of President John Magufuli on Wednesday, Vice President Samia Suluhu Hassan (pictured) delivered the grim news. The 61-year-old was sworn in as her country’s first woman president two days later, propelling her from the relative obscurity of her...
Pamoja na kwamba maelezo ya awali ya benki yanakanganya, lakini inawezekana siku alipokwenda kutoa fedha, dirishani, aliitwa na uongozi na akaahidi kurejea siku inayofuata.
Lakini hakutokea na hakuna traces. Akapotea. Kama unavyosema, ni mchezo unaohusisha idadi kubwa ya watu wakiwamo maofisa...
Familia ya Aga Khan ikiwa katika picha ya pamoja. Aliyeketi ndiye kiongozi wa sasa
Na Simon Mkina
Nyaraka za akaunti zilizoko Benki ya Barclays zinazoonyesha mmiliki wake ni Mtanzania – kwa miaka mitatu mfululizo, zimetumika kutakatisha zaidi ya Sh. bilioni 400, fedha zilizokwapuliwa kutoka...
Aga Khan family
By Simon Mkina
Bank accounts owned by an individual whose documents at the Barclays Bank show is a Tanzanian, have been used to launder 176 million US dollars from Aga Khan Development Network (AKDN) – for three years, JamiiForums investigations can now reveal.
This amount is...
Poti P, Watanzania wanajua nani wanakwenda kumchagua, wamekuwa wakifuatilia kampeni na hata kabla ya hapo. Wanafahamu nani anawafaa. Sasa kazi yetu ni kuwaeleza waende kupiga kura. Uamuzi wanao.
Unamkumbuka Yoweri Kaguta Museveni, yule aliyekuwa Rais wa Uganda ambaye juzi kabadili jina, lakini kabaki na cheo chake; infact kaongeza jina la nne, aliwahi kushangaa- "inakuwaje una jeshi, usalama wa taifa, polisi na fedha, halafu unashindwa uchaguzi?" Naamini poti wangu nawe ni Museveni...
Tanzania’s election is scheduled for October 28, and although there are 15 parties in contention only two have any real chance of victory.
Chama Cha Mapinduzi (CCM), the ruling party since independence in 1961, has never lost an election. It is led by incumbent president Dr. John Magufuli who...
Na Simon Mkina
Mamlaka za usajili na taasisi za kibenki Tanzania hazitambui kampuni ya Landfall Universe Limited, ambayo imefanya miamala yenye thamani ya Sh. trilioni 1.4 (Dola za Marekani milioni 620) kupitia kwenye akaunti yake ya benki kwa miaka mitatu mfululizo kati ya 2013 na 2016...
By Simon Mkina
Tanzanian company registration instruments, just like the East African country’s banking institutions, are unaware of a firm that has channeled over Shilling 1.4 trillion ($620 million) through its account for three years.
The companies’ registrar office in Dar es Salaam, the...
By Simon Martha Mkina, Mererani
Lazaro Lasimi and his colleagues descended hundreds of metres into the earth underneath the Mererani Hills, in Manyara in northern Tanzania. At the bottom of the mine, they dug 57 small holes, carefully placing dynamite into each. Only when they were all safely...
Tanzanian citizens will go to the polls on October 28, 2020, to elect the President, Members of Parliament (MPs) and local Councilors. For close to five years now, Tanzania has been preparing herself for the constitutionally mandatory general elections.
Hopes by Tanzania’s ruling political...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.