President Magufuli exploits his incumbency

Lissu_Magufuli.jpg


Tanzania’s election is scheduled for October 28, and although there are 15 parties in contention only two have any real chance of victory.

Chama Cha Mapinduzi (CCM), the ruling party since independence in 1961, has never lost an election. It is led by incumbent president Dr. John Magufuli who is running for a second term in office. Hoping to upset their dominance is CHADEMA, the main opposition party, who is fielding charismatic lawyer and human rights activist, Tundu Lissu as its presidential candidate.

The ruling party’s campaign has been extremely loud in all mainstream media, and very visible everywhere. President Magufuli’s face and the party’s signature green-and-yellow colours can be found on posters, leaflets and billboards across the country, and coverage of his campaign dominates the news. It helps, of course, that the media space is tightly controlled by the government and its allies. Influential artists and actors, including Diamond Platinumz, Ali Kiba and Harmonize have endorsed his bid for re-election.

You have to look hard to find any sign of Chadema’s blue-black -and-red, either on the streets or on the airwaves. The opposition party has complained that new taxes have made it significantly more expensive to produce electoral materials, and that the media landscape is biased against it. Despite these challenges, Lissu can pull a crowd: CHADEMA rallies are just as full as those for the ruling party. And on social media, where – despite its best efforts – the government has less control, it is clear that the opposition enjoys significant popular support.

Working in Chadema’s favour is an informal deal it has struck with the third biggest party in the country, ACT-Wazalendo, led by Zitto Kabwe. ACT-Wazalendo is asking its supporters to vote for Lissu; in exchange, CHADEMA has endorsed ACT-Wazalendo’s candidate to lead Zanzibar (the island is a semi autonomous region with the Tanzanian federation).

The question now is whether this united opposition front will be enough to unseat a sitting president who is strategically exploiting all the advantages of incumbency. Take the ballot paper itself, a sample of which was released by the electoral commission this week.

Usually, the names of candidates are ordered alphabetically, but this time it is supposed to be random. Sure enough, CCM and Magufuli are first, while CHADEMA and Lissu are last. That’s quite the coincidence.

The election commission has come out defending this as saying it was designed to suit time, for those who returned the nomination forms; first come, first saved bases. CCM was the first party to return forms, while CHADEMA was the last. What a change!
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
44,574
2,000
Lissu alikuwa wa 3 kurudisha form mbona amekuwa wa mwisho? shame on them
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,775
2,000
Tanzania’s election is scheduled for October 28, and although there are 15 parties in contention only two have any real chance of victory.
Mkuu Chief, Simon Martha Mkina , thanks for this, japo mimi ni kada, na but I would like to differ, there is no any real chances for more than one party to win!, there is one and only, chama cha ushindi, a victory party, chama dola!.

Watanzania wa sasa, wanataka maendeleo, kati ya vyama vyote 15 vinavyogombea urais, ni chama kimoja tuu ndicho chenye the ability, the capacity and the Capabilities za Kuwaletea Watanzania Maendeleo.

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Hivyo tarehe 28, kwa wale wanaotaka maendeleo ya kweli, wanajua ni chama gani cha kuchagua.

P
 

Simon Martha Mkina

Investigative Journalist
Sep 5, 2020
17
75
Unamkumbuka Yoweri Kaguta Museveni, yule aliyekuwa Rais wa Uganda ambaye juzi kabadili jina, lakini kabaki na cheo chake; infact kaongeza jina la nne, aliwahi kushangaa- "inakuwaje una jeshi, usalama wa taifa, polisi na fedha, halafu unashindwa uchaguzi?" Naamini poti wangu nawe ni Museveni wetu. Ongeza jina. Acha tukeke P, maisha yenyewe mafupi haya.

Nafahamu wewe ni kada, isiyokuwa bahati, mimi sina chama cha siasa; kazi yangu kuandika tu. Nawaandikia Watanzania.

Kuamini CCM itaongeza milele ni imani yako. Endelea.

Tuhimize watu wakapige kura, wachague wampendaye kuwaongoza.
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,775
2,000
Tuhimize watu wakapige kura, wachague wampendaye kuwaongoza.
Naunga mkono hoja, ila sisi media kwenye hili la kuhimiza watu wakapige kura na kumchagua mgombea wanayempenda, hatupaswi kuhimiza tuu, tunapaswa kuwasaidia Watanzania to make an informed decisions, sio tuu kwa kujitokeza kwa wingi, bali wachague the right people, and the right party, in our instance, its only one, "the one and only!".
P
 

Simon Martha Mkina

Investigative Journalist
Sep 5, 2020
17
75
Naunga mkono hoja, ila sisi media kwenye hili la kuhimiza watu wakapige kura na kumchagua mgombea wanayempenda, hatupaswi kuhimiza tuu, tunapaswa kuwasaidia Watanzania to make an informed decisions.
P
Poti P, Watanzania wanajua nani wanakwenda kumchagua, wamekuwa wakifuatilia kampeni na hata kabla ya hapo. Wanafahamu nani anawafaa. Sasa kazi yetu ni kuwaeleza waende kupiga kura. Uamuzi wanao.
 

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
40,651
2,000
Naunga mkono hoja, ila sisi media kwenye hili la kuhimiza watu wakapige kura na kumchagua mgombea wanayempenda, hatupaswi kuhimiza tuu, tunapaswa kuwasaidia Watanzania to make an informed decisions.
P

Paskali juzi nimemwambia Manyerere, ww, Balile, Meena nk, mmeshindwa hata kuandaa mdahalo mmoja wa nguvu kuelekea uchaguzi mkuu? Mbona uchaguzi wa 2015 kulikuwa na midahalo mingi akina Warioba, Kabudi, Butiku nk tuliwaona wakifanya yao. Safari hii mmekwama wapi? Sasa hivi mko huku vichochoroni, huku taifa likiwa limekufa kabisa kwenye sekta ya habari. Kibaya zaidi huyo aliyeua sekta yenu ya habari ndio uko mbele kutaka achaguliwe tena! Jambo hilo huwa linanifanya nione waandishi wetu mna uwezo duni kwa kiwango gani. Hata Zuhura Yunus juzi kawashinda kamuhoji Bashiru, japo alimtaka yesu zaidi.
 

Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,696
2,000
Unamkumbuka Yoweri Kaguta Museveni, yule aliyekuwa Rais wa Uganda ambaye juzi kabadili jina, lakini kabaki na cheo chake; infact kaongeza jina la nne, aliwahi kushangaa- "inakuwaje una jeshi, usalama wa taifa, polisi na fedha, halafu unashindwa uchaguzi?" Naamini poti wangu nawe ni Museveni wetu. Ongeza jina. Acha tukeke P, maisha yenyewe mafupi haya.

Nafahamu wewe ni kada, isiyokuwa bahati, mimi sina chama cha siasa; kazi yangu kuandika tu. Nawaandikia Watanzania.

Kuamini CCM itaongeza milele ni imani yako. Endelea.

Tuhimize watu wakapige kura, wachague wampendaye kuwaongoza.
Asante Mkuu,

Pasco Paskali Pascal yote majina yake anafikiri kila mmoja ni Mwanachama wa Chama fulani (anajidanganya sana)
Watu wenye hekima watamchagua yule anayewafaa uchama ndio unawaponza wengi
Lissu amedhihirisha amedhihirishwa na WaTz wengi wanamhitaji
CCM wanabaki na ngonjera za beberu (huwa wanachekesha kweli.... wakiwapa pesa sio beberu)
Uchaguzi ukiwa Huru na wa Haki basi tutarudi hapa hapa kupongezana kuchambuana kuelekezana na kubwa kurudisha Umoja wa WaTz uliopotea
 

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
40,651
2,000
HATA M

HATA MKIANDIKA KILA AINA YA LUGHA DUNIANI. KIPINDI HIKI MAGUFULI ATASHINDA KWA ASILIMIA 100% . MUMEMULETEA WAPINZANI WA KIWANGO CHA CHINI NYINYI WENYEWE, SASA TUTAWAGALAGAZA ASUBUHI HIYO OCTOBER, 28.

Tanzania ya kushinda kwa 100% hata Nyerere hakuweza pamoja na kuwa na kizazi kilichokuwa usingizini, ndio itakuwa kwa kizazi hiki? Anaweza kulazimisha kutangazwa hata kwa 200%, lakini sio kwa kura za ndani ya box. Hamna mbuzi wa hivyo kwa sasa.
 

Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
1,569
2,000
Tanzania ya kushinda kwa 100% hata Nyerere hakuweza pamoja na kuwa na kizazi kilichokuwa usingizini, ndio itakuwa kwa kizazi hiki? Anaweza kulazimisha kutangazwa hata kwa 200%, lakini sio kwa kura za ndani ya box. Hamna mbuzi wa hivyo kwa sasa.
Sasa kwa hiki kizazi atashinda kwa hizo 100%? Maana hana wapinzani mwaka huu. Ambae angesumbua kidogo, tayari ameshawajibishwa kwa utovu wa nidhamu.
 

kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,575
2,000
Siyo wamchague wampendaye bali wasiharibu kura kwa kumpa ambaye hatashinda! Mshindi ni JPM
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,775
2,000
Asante Mkuu
Pasco Paskali Pascal anafikiri kila mmoja ni Mwanachama wa Chama fulani (anajidanganya sana)
Uchaguzi ukiwa Huru na wa Haki basi tutarudi hapa hapa kupongezana kuchambuana kuelekezana na kubwa kurudisha Umoja wa WaTz uliopotea
Mkuu Pakawa, maadam CinC ameisha ahidi, uchaguzi mkuu huru za wa haki, then uchaguzi utakuwa huru na wa haki.

Lakini when you are hopping for the best with great expectations za kupongezana, naomba nikuandae kisaikolojia, get prepared for the worst.

Nchi haikabidhiwi kwa votes, but kwa vetting!, hivyo matokeo ya uchaguzi, does not depends on votes casted, but votes counted. Bivyo the determinant is not he who votes, or he'she who is votted, but he who counts!.

Usije kusema sikukuambia, information is power, hivyo baada ya ujumbe huu, nitakuwa nimewasaidia sana, watu kama nyinyi, kuwaepusha na colapse ya despair kwa kutoamini, kitakacho, tokea, now that you know, haita zimia!.
P
 

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
40,651
2,000
If that is the case let it be, Ili mradi atakuwa hayuko madarakani kwa ridhaa yetu tulio wengi. Na uzuri wa sasa, hata wale waliokuwa anasema anakubalika sana hivyo aongezewe muda wa kukaa madarakani wameona picha halisi. Tuendelee kuomba huu ukondoo uliovalishwa koti liitwalo amani uendelee, kinyume na hapo tutaenda kwenye eneo sahihi.
 

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,007
2,000
Mwaka huu hadi mfe kwa chuki. Rais ni JPM kwa yale aliyoweza kuyafanya katika miaka yake 5 ya kwanza. Wanaobeza hawawezi hata kuongoza familia zao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom