nelvine
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 1,107
- 1,851
Hakika tunatembea na kifo. Jamaa alikua hana makuu na mtu. Pumzika kwa amani rama.Exactrly kweli unamfaham. Last week alikua kwenye project zake Iringa. Serious bro. Huwez amini ila ndio ivyo anategemewa huzikwa leo saa nne asbh nyumbani Kwao Kilwa.