Search results

  1. Star onair

    INAUZWA Tunauza vifaa vya simu

    Hii ni kwa wauzaji wa vifaa vya simu na mafundi wanaotengeneza simu. Jipatie usb na charger kwa bei ya jumla. Nina usb hizi original za Nokia ninauza sh. 5000(rejareja) Ukichukuwa nyingi napunguza Hadi sh 3000. Ni usb og pia hutumika kuflashia simu. Pia nina charger za itel na tecno nitakuuzia...
  2. Star onair

    Nahitaji karatasi za kutengenezea mifuko

    Wakuu wenye karatasi zile za A4. Nahitaji ambazo zimetumika. Inaweza kuwa past paper, au group assignment paper. Nahitaji nyingi hata kama una kilo 100 ni Pm. Dear HR kama unabarua nyingi ofisini kwako ni pm. Msizichome moto tufanye biashara. Hata ofisi yoyote ambayo mmepokea application letter...
  3. Star onair

    Sales man/Marketing personnel needed

    Nahitaji mtu nitakae saidiana nae kufanya biashara ya kuuza mazao na hasa zaidi ya mbogamboga na nafaka. Tafadhali ni Pm tu kama unajua unao uwezo wa kuuza hizi products. Kama ni mkazi wa Morogoro itakuwa vizuri zaidi. Elimu si kigezo kwa sasa nahitaji tu Mwenye uwezo mkubwa wa kuuza N.b kwa...
  4. Star onair

    Anahitajika Dalali/ supplier wa Mazao (kitunguu, Mahindi, Alizeti)

    Habari ndugu zangu. Nashukuru Mungu wangu kwa kuendelea kunitendea yaliyo mema siku zote. Nina gunia nyingi ambazo zimeshavunwa zipo Morogoro za mazao tajwa hapo juu. Nahitaji Mtu mwenye connection kubwa ya wateja na nitamlipa hata 15% ya pesa ntakayouza kwa kila gunia. Ila kwa sasa nahitaji...
  5. Star onair

    Ulishawahi fanya biashara ya kuexport bidhaa nje ya Tanzania?

    Ulishawahi fanya biashara ya kuexport bidhaa nje ya Tz. Njooni hapa mtoe uzoefu vijana wajifunze kutoka kwenu.
  6. Star onair

    Changamoto Wakulima wa Morogoro

    Habari zenu ndugu zangu, Ni wiki ya pili sasa nimeshindwa kutoa mzigo shambani milimani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Wenye fuso wanagoma kwa kuogopa kudondosha gari. Nami ni lazima nahitaji Kusafirisha haya mzao town coz bei ipo juu now. Wenye uzoefu embu nisaidieni ushauri.
  7. Star onair

    Natafuta partner wa kusafirisha naye mazao ya nafaka

    Habar zenu jamani. Kama kuna mtu anauzoefu wa kusafirisha mazao kwa kutumia mafuso katika mikoa hii Morogoro, Mbeya na Iringa. We can join together na ku-transport mzigo. Nimechoka Kusafirisha mahindi kwa njia ya bus coz inanifanya nashindwa kusupply mzigo mwingi. Kwa wiki najikuta naleta...
  8. Star onair

    Nauza mahindi kwa sh 55,000 (gunia)

    Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia) Debe la mahindi utapata KWA 8500 Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa. Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k. Ila ofa hii ipo KWA kipindi hiki cha Ramadhani baada ya hapo haitokuwepo tena wahi sasa KWA 8500 tu. Karibuni
  9. Star onair

    INAUZWA Mahindi yanauzwa, karibuni

    Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia) Debe la mahindi utapata KWA 8500 Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa. Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k. Ila ofa hii ipo KWA kipindi hiki cha Ramadhani baada ya hapo haitokuwepo tena wahi sasa KWA 8500 tu. Karibuni
  10. Star onair

    Watumiaji wa Netflix tukutane hapa

    Nimeuanzisha huu uzi tushee changamoto ambazo mnakutana nazo katika hii channel ya Netflix lakini pia najua wengi wenu mngependa kujiunga na Netflix Ila hamna hela ya bandle. Sasa nimewaletea solution. Nitatoa channel kwenu, channel ambayo imehakiwa ina bandle unlimited so unaweza...
  11. Star onair

    Kazi za vibarua Kiwandani connection hapa

    Habar wakuu. Nimeuanzisha huu uzi ili tupeane connection za kazi ambazo mtu analipwa KWA siku. Maeneo yapo mengi. •viwandani •masokoni •godowns •bus stand • etcetera Wakuu wenye connection ninawakaribisha kushare nasi vijana. #karibuni
  12. Star onair

    Don Bosco VTC Government sponsored course

    Wakuu hivi hawa jamaa watatoa lini majina ya Second Selection? Kwa wale tuliokosa toleo la kwanza? Kwa anayejua atusaidie.
Back
Top Bottom