INAUZWA Tunauza vifaa vya simu

Star onair

Senior Member
May 31, 2020
144
144
Hii ni kwa wauzaji wa vifaa vya simu na mafundi wanaotengeneza simu. Jipatie usb na charger kwa bei ya jumla. Nina usb hizi original za Nokia ninauza sh. 5000(rejareja) Ukichukuwa nyingi napunguza Hadi sh 3000. Ni usb og pia hutumika kuflashia simu.

Pia nina charger za itel na tecno nitakuuzia kwa sh 1500-2000. Nawe unaweza uza kwa sh 3000 wahi sasa wote karibuni.
Mikoani ninatuma kwa gharama za mteja

nokia%2Busb%2Bflashing.jpeg
a22.jpeg
samsung-ep-ta20iweugin-charger-white-3_ios.jpeg
 
Pengine upo chuoni lakini unapata taabu ya kununua accessories hizo, nipo hapa nitakusaidia kwa bei chee kabisa. Jipatie charger za aina mbalimbali kwa bei rahisi kabisa kuanzia sh 1000-5000 karibuni sana popote pale nitakufikia.
samsung-ep-ta20iweugin-charger-white-3_ios.jpeg
nokia%2Busb.jpeg
 
Asilimia kubwa ya wateja wangu ni wanachuo hivyo nimeona nishare nanyi wengine mliopo/mnaotarajia kwenda chuoni. Kuna hii side hustle ya kuuza vifaa vya simu. Especially charger na cover za simu.

Usb ya Nokia nitakuuzia kwa Elfu 3000 (nawe unaweza kuuza Hadi elfu10 kulingana na sehemu uliyopo)

Head ya sumsung zinapatikana kwa 1500

Covers zinaanzia 2000- nakuendelea

Kuna charger za kawaida kuanzia 1800-2000

Karibuni sana nakuletea popote ulipo kwa mliopo dsm na wamikoani mtachangia gharama za usafiri.

Contact: 0658412883
 
What can I do to be a successful average business person?

Robert Kiyosaki: ^Don't ever think of being an average business person^
 
Hii hapa usb ya Nokia
Hii ni muhimu hata kwa mafundi simu hutumika kuflashia simu
nokia%2Busb%2Bflashing.jpeg
 
What can I do to be a successful average business person?

Robert Kiyosaki: ^Don't ever think of being an average business person^
Thanks mr Jasmoni Tegga for your reply. There is one thing you should get to know, in life we start doing what is necessary then we do possible thing n when we got to alot of opportunities and experience we can do whatever seemed impossible.

I got Great deal ( u can review my latest threads) but this is necessary at this time
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom