Watumiaji wa Netflix tukutane hapa

Watumiaji wa Netflix tukutane hapa

Star onair

Senior Member
Joined
May 31, 2020
Posts
144
Reaction score
145
Nimeuanzisha huu uzi tushee changamoto ambazo mnakutana nazo katika hii channel ya Netflix lakini pia najua wengi wenu mngependa kujiunga na Netflix Ila hamna hela ya bandle.

Sasa nimewaletea solution. Nitatoa channel kwenu, channel ambayo imehakiwa ina bandle unlimited so unaweza download/watch movies bure kabisa ni kuweka tu M.B zako[emoji39][emoji39][emoji39]

Njooni PM na offer zenu
 
Tangu HALOTEL watuwekee wateja wao bifu Movies mpya nazisikia kwenye radio tu.
 
Watarudisha tu vya zamani ipa inaweza chukuwa muda.
 
Back
Top Bottom