Star onair
Senior Member
- May 31, 2020
- 144
- 145
Habar wakuu.
Nimeuanzisha huu uzi ili tupeane connection za kazi ambazo mtu analipwa KWA siku.
Maeneo yapo mengi.
•viwandani
•masokoni
•godowns
•bus stand
• etcetera
Wakuu wenye connection ninawakaribisha kushare nasi vijana.
#karibuni