Najua kwa hakika kabisa kwamba, kupanda hadhi kwa maeneo, mfano mji kuwa manispaa na manispaa kuwa Jiji Kuna vigezo vyake.
Mfano , idadi ya watu, Pato la eneo husika, na sababu nyingine nyingi za kisiasa ambazo sijui kwa hakika zinaingiaje kwenye kupandisha eneo hadhi.
Sababu zao zinaweza kuwa...
Kuna usemi usemao" usilizunguke bomu, bali pita katikati yake mapema ili lilipuke mapema wakati huo, kukusaidia lisije kuangamiza watu wengi zaidi baadae ambao hawataliona iwapo litalipuka"
Maana ya usemi huo ni katika kusaidia kujenga dhana tu kwamba" usikwepe kushughulikia tatizo unaloliona...
Kuna chapisho langu Moja niliwahi kuhoji kwa Nini vijana wa CCM ni washari na Wana ujasiri uliopitiliza ( over confidence).
Kwa sababu ya yanayoendelea chini ya kapeti naomba kushauri ngazi za juu za CCM kuchunguza mienendo ya vijana wao, maana it is too much now.
Nimesema ngazi za juu kwa...
Ni jambo la kushukuru Mungu kwamba, binafsi nimeishi wakati wa Marais wote walioitawala nchi hii.
Nimeanza na Mwl na Sasa Samia suluhu Hassani.
Ukweli usemwe, Jm Kikwete looks the best president this country has ever had.
Namiss, uwazi wake serikalini katika kuendesha mambo, Uungwana wake na...
Kuna msemo wa kiingereza usemao " familiarity breeds contempt". Ukiwa na maana mazoea huleta dharau.
Ninasikitishwa sana na watu tunaowaamini na tuliowaweka mbele kama as a drive katika uendeshaji wa nchi.
Hivi Leo ukienda serikalini, mahakama na hata bungeni, hivi kweli waliopewa dhamana ya...
Sijajua kwa hakika vyombo vya habari vya Tanzania hasa televisheni na magazeti mengi Yana ugonjwa gani..
Tabia ya kukwepa kujadili mambo muhimu kwa uwazi na kuwapa watu nafasi ya kuongea na kuchambua sera , Sheria na hata mambo ya jamii ( public participation) kutaifanya nchi hii kuwa nyuma...
Jambo ambalo sijalifahamu kwa kiwango kikubwa huwa ni kwanini suala la uongozi ukitaka " madaraka" huwa ni suala la kufa na kupona kwa nchi nyingi za kiafrika.
Mtu mmoja aliwahi kuniambia kwamba siasa za kiafrika za kimadaraka huwa haziendi zaidi ya matumbo yetu, akiwa anamaanisha kwamba "...
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sherehe nyingi za kitaifa za nchi hii, zilianza kusherehekewa kwa mtindo wa kubana matumizi katika awamu ya Tano ya utawala wa nchi yetu.
Ni muda Sasa sherehe hizi zinasherehekewa kwa namna nyingine na siyo tulivyokuwa tumezoea, Gwaride la kitaifa na mambo mengi...
Kama mtu ninayeheshimu ile dhana ya kutokuwa na hatia mpaka sheria ithibitishe hivyo, ( pressumption of Innocence ), sitaki Moja kwa Moja kumhukumu paulin Gekul aliyekuwa naibu waziri wa Katiba na sheria kwa Yale yanayosemekana aliyafanya.
Na ndiyo maana kichwa Cha andiko langu ni swali. Ni...
Nikiri kwamba mie kwa majukumu yangu ya kimaisha ni mtu ninayezunguka sana katika nchi hii na maeneo mengine ya Dunia ukipenda.
Arusha pamoja na kuwa na sifa za madhari nzuri, muingiliano wa watu wa mataifa mbalimbali, na taasisi mbalimbali za kimataifa, ukweli usemwe, Jiji hilo sio salama...
Sijui kama ni shida ninayoiona Mimi tu au na wenzangu mnaiona pia shida hii.
Mara kadhaa Sasa utawasikia watu na hasa viongozi, Kila wanapomtaja Rais lazima wamalizie na jina lake lote, Dr. Samia suluhu Hassan.
Utamsikia kwa mfano waziri anaeleza jambo " mheshimiwa Rais, Dkt. Samia suluhu...
Taifa kama Taifa najua kwa njia mbalimbali huwa lina mipango ya namna ya kutengeneza warithi ( successors) wa nafasi mbalimbali za uongozi na utawala ktk nchi zao .
Na ninajua pia kwamba, vyama vya siasa kwa kuwa ni candidates wa nafasi za kiuongozi na madaraka ya nchi, huwa pia na mipango ya...
Kuna namna ambayo hata kama Sina chuki na mtu, hainizuii kutoa dukuduku lililo moyoni mwangu juu ya mtu huyo.
Binafsi, Leo sijafurahi kabisa kusikia mwamba huyu anarudi kwenye ulingo wa siasa akiwa na nafasi ya uenezi kwenye chama kinachotawala nchi.
Matendo na vituko vya Makonda havijawahi...
Of recently, I sat down and come across to the thinking of Tanzania's political atmosphere.
To my surprise, after I did some analysis, I got to a shocking reality that, the predominantly ruling party (CCM) are the only ones who are doing the day to day politics and frankly speaking, are already...
Kwa kuwa nimejizoesha kufanya tafakuri tunduizi katika mambo yangu mengi, hapa nyuma nimeanza kujiuliza, harakati, mikakati, na nguvu yote wanayotumia CCM ni ya nini?
Mimi ninapoona uwanja wa kufanya siasa vile ulivyo, hakuna kabisa haja ya kusumbuka kujijenga na harakati nyingi wanazofanya...
Nakumbuka wakati Rais ameingia fully kwenye nafasi hiyo, alikuja na salamu iliyokuwa inaanza hivi !Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania" ndipo watu walipoitika " kazi iendelee".
Lakini baada ya muda kidogo, salamu hiyo ilibadilika" Haikuanza tena na Nawasalimu kwa jina la...
Moja ya mawaziri wazuri wachapa kazi ktk awamu hii ni Dorothy Gwajima na Ummy Mwalimu.
Uchapakazi wao ni makini na wanaooneka wanapenda kazi. Yaani, wanaishi Ili wafanye kazi, na siyo wanafanya kazi Ili waishi. (They live to work and not work to live).
Kwa maana ya kuongezea thamani uchapakazi...
Sasa ninaamini kwa nguvu zote kwamba kati ya mambo magumu kuyafanya ni kukubali mabadiliko.(change).
Wakati mmoja nikiwa mahali, nilisikia kisa Cha watu ambao walimkataa kasisi wao mpya baada ya kuondoa kibweta ambacho kilikuwa mahali pasipo sahihi lakini kwa sababu ya mazoea ( ambayo hupinga...
I have heard people applauding the moves well initiated by the president to bringing in sanity in our local politics.
I partly concur with them,though on the other hand, l remain with perplexities since we haven't yet stepped into the electioneering time.
As for me, the measure for the said...
Jeshi la polisi ni Moja ya taasisi muhimu sana katika ustawi wa nchi yoyote duniani.
Ulinzi wa raia na mali zao ndo kiini cha amani na maendeleo kwa ujumla wake. Wasiwasi nilioupata Juu ya Jeshi letu la polisi ni namna linavyofanya kazi zake. Na kwa Leo nisingependa kuongelea madhaifu yaliyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.