Search results

  1. B

    Je, hawa ni ndugu au anaweza kuoana?

    Habari zenu, Nina bwana wangu ambaye mjomba wake amemuoa shangazi yangu. Tumekuwa na mahusiano kwa muda sasa. Nataka nifunge nae ndoa, je tutakuwa na sisi ni ndugu? Au kuna uwezekano wa kukataliwa ndoa kwa sababu ndugu zetu wameshaona? Au tutaweza kuoana bila changamoto yoyote? Naombeni...
  2. B

    Posho ya usumbufu na posho ya kujikimu

    Habari za saa hizi wanaJF. Naomba kujua, unapohamishwa kikazi bila kuomba kwa mtumishi wa umma, ni stahiki zipi inatakiwa kulipwa? 1. Kuna posho ya usumbufu Hii inatolewa unapotoka au unapoenda? 2. Pesa ya kujikimu kwa muda gani? Hii inatolewa unapotoka au unapoenda? Au Kama kuna stahiki...
  3. B

    Eti ni kweli kuna undugu?

    Eti kuna mjomba wangu amemuoa shangazi wake bwana wangu. Je Mimi siwezi tena kuelewa na bwana wangu kwa sababu ndio itakuwa Kuna undugu.? Au tukiamua tunaoana tu?
  4. B

    Naomba rafu bajeti ya vinywaji kwenye send off au harusi na hasa vinywaji

    Naombeni wale wenye uzoefu wanisaidie kwa watu 300. je kila mtu anaweza kunywa bia ngapi? soda ngapi? juice ngapi zinatosha? maji mangapi? champain ngapi? n.k. nikipata kujua kuhusu vinywaji ingependeza zaidi. naomba mnisaidie.
  5. B

    Viwanja Mlandizi

    Niaje wadau. Kuna kampuni imekuja kutangaza kuwa inauza viwanja Mlandizi. Ikatoa na ramani na inasema unaweza kulipa kidogokidogo ndani ya miezi 18 unatakiwa uwe umemaliza. Sijawahi kufika huko Mlandizi Ila kampuni ina ofisi na hata namba za akaunti na simu walizotoa zimesajiliwa kwa majina ya...
  6. B

    Je, kuna kipi unakosa ukifanya mtihani wa Form 4 au 6 kama Private Candidate ambacho School Candidate anapata? Naomba tofauti

    Wana JF, Hivi anayefanya mtihani kwa usaili wa kujitegemea (private candidate) na usaili wa shule (School candidate, kuna tofauti gani kubwa hasa? School Candidate anafaidika nini ambacho private candidate hapati? Ni kweli grades za private ni kubwa kuliko za School? Nini hasa tofauti zake?
  7. B

    Je, huruhusiwi kufanya mtihani wa kidato cha sita kama school candidates kama huna jumla ya total points kwa O Level?

    Habari wana JF. Leo nilikuwa kwenye daladala asubuhi nikasikia mama mmoja analalamika kuwa mwanae amesajiliwa kama private candidate kwenye mtihani wa form six. Sababu anasema kuwa mwanaye hajafikisha points 25 kwa matokeo yake ya form four pamoja na kurisiti, kurisiti, yaani ukichukua jumla...
  8. B

    Je, unaweza kuajiriwa tena serikalini endapo uliachishwa kazi?

    Niaje wadau. Hivi unaweza kuajiriwa tena kama ulikuwa umeachishwa kazi serikalini. Kwa maana kufukuzwa au hata pengine kuacha mwenyewe? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Kwanini ukiacha kazi NSSF hawataki kutoa hela zako? Je, ni baada ya muda gani watakulipa?

    wadau naomba kuuliza, mimi nilikuwa nafanya kazi kwenye taasis flani ya private lakini niliacha na kwenda serikalini. Nilikwenda kufuatilia pesa zangu NSSF wakaniambia kama umeacha huwezi kupewa labda ungefukuzwa, nikasema msinipe cash bali mpeleke kwenye mfuko wa serikali PSSSF lakini bado...
  10. B

    Hivi position ya planning officer (afisa mipango) huwa wanafanya kazi zipi hasa? na je qualification zake za kuajiriwa zikoje?

    Jamani naomba kujua kwa wale wazoefu wa kazi, kazi za afisa mipango ikoje? anafanya kazi gani hasa? je kuajiriwa ni lazima uwe na vigezo gani (qualification) na je ni serikalini tu au hadi private institution nafasi zake zipo? NAOMBA MWENYE UELEWA ANIJIBIE PLEASE.
  11. B

    Sheria ya sasa ya mifuko ya kijamii ikoje?

    Eti wana JF, naomba kuuliza sheria inasemaje endapo mtu ameacha kazi halafu anahitaji pesa yake? mimi nilikuwa sekta binafsi pesa yangu ilikuwa NSSF lakini nimeingia serikali pesa yangu inakwenda PSSSF. Sasa nilikwenda kudai hela zangu wakasema hawawezi kunipa kwa kuwa nimeacha mwenyewe...
  12. B

    Kuthibitishwa kazini kwa utumishi wa umma

    Habari wana JF. Naomba kuuliza kwa wale watumishi walioajiriwa kwenye taasis ya umma, baada ya mwaka unatakiwa kuthibishwa kazini, swali, je kuna taratibu zipi zinapitiwa ili uthibishwe? Je, unaweza kukatariwa usithibitishwe? Kwa sababu zipi?
  13. B

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi iitwayo Bachelor of Education in Language and Management ya Chuo kikuu cha Mzumbe

    Habari zenu wadau, Naombeni msaada kujua. Kozi tajwa hapo juu ukisoma unaweza kufanya kazi ya magement? Naamanisha unaweza kuajiriwa kazi nyingine nje ya ualimu? Ajira zake ni zipi? Umuhumu wake ukoje. Mimi Niko form six nasoma HKL nataka Mungu akinijalia nikifaulu nikasome hiyo kozi, naombeni...
  14. B

    Je, ni kweli ukiwa na Diploma huwezi kusoma Degree mpaka uwe na credit tatu (3) za O-Level

    Wadau naomba kuuliza, kuna tetesi nimesikia kuwa huwezi kusoma Degree mpaka uwe na credit 3 za O-Level hata kama ulipitia Diploma bila kupita Form six. I mean kama umepita shortcut itakulazima urudie pepa ya Form four upate credit ndio uendelee na Degree? Je, ni kweli au hadithi tu? Naomba kujua.
Back
Top Bottom