Naomba ufafanuzi kuhusu kozi iitwayo Bachelor of Education in Language and Management ya Chuo kikuu cha Mzumbe

BWANA MISOSI

Member
Feb 11, 2020
30
95
Habari zenu wadau,

Naombeni msaada kujua. Kozi tajwa hapo juu ukisoma unaweza kufanya kazi ya magement? Naamanisha unaweza kuajiriwa kazi nyingine nje ya ualimu? Ajira zake ni zipi? Umuhumu wake ukoje. Mimi Niko form six nasoma HKL nataka Mungu akinijalia nikifaulu nikasome hiyo kozi, naombeni ushauri wenu au Kama Kuna kozi nyingine pia naombeni mnishauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mc gregor

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
987
1,000
Ajira ni connection kama huna connection utadugua sana mtaani. Angalia wazazi wako ndugu zako na wote wanaokuzunguka uulize ukasomee nini maana hao ndo watakao kutafutia kazi tofauti na hapo dogo utajutia kupotezs miaka yako chuo


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,593
2,000
Habari zenu wadau, naombeni msaada kujua. Kozi tajwa hapo juu ukisoma unaweza kufanya kazi ya magement? Naamanisha unaweza kuajiriwa kazi nyingine nje ya ualimu? Ajira zake ni zipi? Umuhumu wake ukoje. Mimi Niko form six nasoma HKL nataka Mungu akinijalia nikifaulu nikasome hiyo kozi, naombeni ushauri wenu au Kama Kuna kozi nyingine pia naombeni mnishauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna connections sikushauri uisome. Kama umesoma arts kazana ufaulu ukasome sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom