BWANA MISOSI
Member
- Feb 11, 2020
- 39
- 24
Jamani naomba kujua kwa wale wazoefu wa kazi, kazi za afisa mipango ikoje? anafanya kazi gani hasa? je kuajiriwa ni lazima uwe na vigezo gani (qualification) na je ni serikalini tu au hadi private institution nafasi zake zipo? NAOMBA MWENYE UELEWA ANIJIBIE PLEASE.