Je, hawa ni ndugu au anaweza kuoana?

Je, hawa ni ndugu au anaweza kuoana?

BWANA MISOSI

Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
39
Reaction score
25
Habari zenu,

Nina bwana wangu ambaye mjomba wake amemuoa shangazi yangu. Tumekuwa na mahusiano kwa muda sasa.

Nataka nifunge nae ndoa, je tutakuwa na sisi ni ndugu? Au kuna uwezekano wa kukataliwa ndoa kwa sababu ndugu zetu wameshaona? Au tutaweza kuoana bila changamoto yoyote?

Naombeni mawazo yenu kwa hili.
 
Mbona sioni undugu wowote hapo.

Nakumbuka kuna wakibosho mabinamu walioana
Walikua wanapendana mno. Waliamua kuhama.kibosho na kuhamia rombo. Mke alikua mwalimu. Waliondoka kwakua taratibu za uchaggani mabinamu hawaoani. Basi life likasonga.
Sina hakika kama matukio yaliyowatokea yanahusiana na hizi beliefs. Mtoto wao wa kwanza alajinyonga akiwa marekani nadhan either alishamaliza chuo ama ndo alikua amemaliza. Sababu sijawahi isikia ama ijua.

Mtoto wa pili alikufa kwa kujinyonga shambani kama sikosei. Ni muda kidogo.

Mtoto mwingine alikua huko kibosho anavuka mto sijui alikua anafantaje aladumbukia mtoni akafia huko. Wamekuja kukuta mwili umedonolewa na ndege balaa.

Watoto watatu ama wanne walikufa vifo visivyo vya kawaida.

Later mama yao naye akaja umwa kitu kama stroke maskini na yeye akafariki. Amebaki baba tu kwa sasa.
 
yeyote unaoa isipokuwa uliyeshea nae ziwa kwa mama.. hata kama alizaliwa na mama tofauti.. pia mlie share baba..
 
Mbona sioni undugu wowote hapo.

Nakumbuka kuna wakibosho mabinamu walioana
Walikua wanapendana mno. Waliamua kuhama.kibosho na kuhamia rombo. Mke alikua mwalimu. Waliondoka kwakua taratibu za uchaggani mabinamu hawaoani. Basi life likasonga.
Sina hakika kama matukio yaliyowatokea yanahusiana na hizi beliefs. Mtoto wao wa kwanza alajinyonga akiwa marekani nadhan either alishamaliza chuo ama ndo alikua amemaliza. Sababu sijawahi isikia ama ijua.

Mtoto wa pili alikufa kwa kujinyonga shambani kama sikosei. Ni muda kidogo.

Mtoto mwingine alikua huko kibosho anavuka mto sijui alikua anafantaje aladumbukia mtoni akafia huko. Wamekuja kukuta mwili umedonolewa na ndege balaa.

Watoto watatu ama wanne walikufa vifo visivyo vya kawaida.

Later mama yao naye akaja umwa kitu kama stroke maskini na yeye akafariki. Amebaki baba tu kwa sasa.
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuufikiria tu huo undugu ulioutaja tayari ushanichanganya.. kurahisisha mambo hapo oaneni tu msituchoshe kuanza kutajataja ndugu mwishowe mtaje na mizimu..😅
 
Mbona sioni undugu wowote hapo.

Nakumbuka kuna wakibosho mabinamu walioana
Walikua wanapendana mno. Waliamua kuhama.kibosho na kuhamia rombo. Mke alikua mwalimu. Waliondoka kwakua taratibu za uchaggani mabinamu hawaoani. Basi life likasonga.
Sina hakika kama matukio yaliyowatokea yanahusiana na hizi beliefs. Mtoto wao wa kwanza alajinyonga akiwa marekani nadhan either alishamaliza chuo ama ndo alikua amemaliza. Sababu sijawahi isikia ama ijua.

Mtoto wa pili alikufa kwa kujinyonga shambani kama sikosei. Ni muda kidogo.

Mtoto mwingine alikua huko kibosho anavuka mto sijui alikua anafantaje aladumbukia mtoni akafia huko. Wamekuja kukuta mwili umedonolewa na ndege balaa.

Watoto watatu ama wanne walikufa vifo visivyo vya kawaida.

Later mama yao naye akaja umwa kitu kama stroke maskini na yeye akafariki. Amebaki baba tu kwa sasa.
Very sad.
 
Inahuzunisha, ngoja nianze kuskiza mashauri ya mshua maana huwa naona ana sheria nyingi sana za kikwao (taboos)

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Oaneni tu bana hamna shida. Mi pia ningepata binamu tunaeendana umri na mrembo ningemtafuna kwanza naskia binamu watamu! 😁

Mipango ya kuoana ingejulikana mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom