Je, kuna kipi unakosa ukifanya mtihani wa Form 4 au 6 kama Private Candidate ambacho School Candidate anapata? Naomba tofauti

BWANA MISOSI

Member
Feb 11, 2020
39
24
Wana JF,

Hivi anayefanya mtihani kwa usaili wa kujitegemea (private candidate) na usaili wa shule (School candidate, kuna tofauti gani kubwa hasa? School Candidate anafaidika nini ambacho private candidate hapati? Ni kweli grades za private ni kubwa kuliko za School?

Nini hasa tofauti zake?
 
Faida zipo kwanza school candidate wana marks za continues assessment mf ukiwa advance wanachukua matokeo ya annual ya form 5 na matokeo ya mock form 6 wanatuma NECTA.

Vilevile kuna practical research mnachagua topic mnaenda kuifany marks mnazopata zinapelekwa necta ila vyot hvyo private candidates hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida zipo kwanza school candidate wana marks za continues assessment mf ukiwa advance wanachukua matokeo ya annual ya form 5 na matokeo ya mock form 6 wnatuma necta, vilevile kuna practical research mnachagua topic mnaenda kuifany marks mnazopata zinapelekwa necta ila vyot hvyo private candidates hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hii Ni kweli Kuna Watu wasingekupa Division ZERO ya 21 yaan FA FA FA FA FA

Typed Using KIDOLE
 
Kama hii Ni kweli Kuna Watu wasingekupa Division ZERO ya 21 yaan FA FA FA FA FA

Typed Using KIDOLE

Zamani sana ilikuwa private candidates wana mtihani mmoja wa ziada. Kama hesabu ina Paper One pekee, wao walikuwa pia wakifanya Paper Two.

Sasa hiyo Paper Two ilikuwa ni ngumu sana, hata anayepata "A" kwenye paper one pekee, paper two inamkimbiza.
 
Zamani sana ilikuwa private candidates wana mtihani mmoja wa ziada. Kama hesabu ina Paper One pekee, wao walikuwa pia wakifanya Paper Two. Sasa hiyo Paper Two ilikuwa ni ngumu sana, hata anayepata "A" kwenye paper one pekee, paper two inamkimbiza.
Nazungumzia School candidate kama wanabebwa hv kwann bado watu wanafeli Sana a

Typed Using KIDOLE
 
Nazungumzia School candidate Kama wanabebwa hv kwann bado watu wanafeli Sana a

Typed Using KIDOLE

Miye nilisoma zamani. Uwezekano wakati namaliza kidato cha nne, baadhi ya watu humu JF hawajazaliwa bado.

Sijui kama hali iliyokuwako wakati nasoma ndiyo hiyo iliyoko leo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom