Mimi nashauri wasanii wa Bongo muwasimamie mpaka kwenye swala la mavazi,Wanatakiwa wapendeze sana watuwakilishe vizuri jamani maana tutaonekana Dunia nzima.Wasije wakatudhalilisha maana wengi hawajui kuvaaa.June sio mbali na pia sio karibu mda wa kujipanga upo.Bila kusahau Tukio lifanyike eneo...
Habari wana Jamii Forum
Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee.
Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
Ila jamani mmezingua sana mlivyofanya mabadiliko kwenye Bima za afya kua kama mtu sio mama yako aubaba yako au mwanao et hawezi kutumia Bima yako.
Aisee haijakaa poa,kuna watu hawana wazazi kabisa basi fanyeni utaratibu wasiwe wanakatwa Bina km wenye wazazi na watoto.Na hapo mtu hospitali...
Basi sawa sio lazima sana,Labda kwa kukutaarifu Mimi sipost Jamii Forum sana na ni kwasababu ni mpaka niingie Chrome ndio niingie,sijajua km kuna app mnijuze..maana nashindwa kua active huku.
Nauli Elfu 2000
Hakuna siku ya mapumziko eeh kazi gani mtu anatakiwa apumziketofauti na hapo uwe unamlipa pesa nyingi ili unshawishi
Kutoka saa 4 usiku uyo ni punda na kupumzika hapumziki
Ndio mana mnakosa wafanyakazi kheeee
Pole sana,jikaze maisha ndivyo yako hivi
Peleka maisha polepole na raha jipe mwenyeweuna tatizo la Afya ya akili nakushauri utafute mtaalam kwa msaada zaidi
Hellow Wapendwa wa Jamiiforums,
Nina Hereni na cheni nzuri sana za kuvutia na hazifubai, kuwasha, n wala kuchubuka.
Hereni utapa kutoka kwetu kwa kiasi cha Tsh 12,000 na cheni kwa sh 10,000. Wewe mdada jipende jamani,vaa pendeza uonekane,wakaka mnunulie mkeo,mpenzj wako au jata crush wako...
Mimi iliwahi kunitokea nilichanganyikiwa nilihisi nina tatizo kubwa la koo.Ila nilikuja kugundua ni Tonsil Stones baada ya kugoogle google na nilifata maelekezo kadhaa ila iliyonisaidia kupona ni kubadili mswaki na dawa(Colgate) na nilitumia Mouth wash(Listerine)….Na kusukutua na maji ya...
Uko sawa kwenye issue za Familia?
Nazunguzia ndugu pamoja na mtu uliyekua nae kimahusiano.
Una madeni au mkopo wowote???
Una udhaifu wowote labda watu wanautumia kukuumiza au kukutenga???
Kwanini unawaza kwenda mbali huna watu wa kukufariji kiasi ya kwamba uwaze kwenda mbali? Yan umekosa...
Hello,
Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000.
Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000.
Lakini pia kwa wale wa msikitini na wapenda vaa stara kuna Mabaibui/Abaya mazuri mno kwa Tsh 15,000-20,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.