cheni

Lilioceris cheni, the air potato leaf beetle, is a species of beetle in the genus Lilioceris that feeds on air potato plants. Air potatoes and the beetles are both native to Asia but have been introduced elsewhere. The air potato plants are an invasive species found throughout Florida, and the beetles were introduced in 2012 by biologists in Florida to help control the spread of the air potato.

View More On Wikipedia.org
  1. MaylaGladson

    Jipatie Hereni na Cheni kwa bei nzuri sana

    Hellow Wapendwa wa Jamiiforums, Nina Hereni na cheni nzuri sana za kuvutia na hazifubai, kuwasha, n wala kuchubuka. Hereni utapa kutoka kwetu kwa kiasi cha Tsh 12,000 na cheni kwa sh 10,000. Wewe mdada jipende jamani,vaa pendeza uonekane,wakaka mnunulie mkeo,mpenzj wako au jata crush wako...
  2. Nifah

    Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

    Mafanikio ni mafanikio, haijalishi njia zilizotumika kuyafikia… mwisho yataitwa mafanikio bila kujali kama ni kwa njia halali au kupitia njia haramu. Na daima mafanikio hutukuzwa, na waliofanikiwa hupewa heshima! Muigizaji mkongwe, mfanyabiashara na mshereheshaji maarufu Mahsein Awadhi ‘Dr...
  3. sinza pazuri

    D Voice apewa cheni na pete za million 150

    Moja ya vitu vya thamani alivyopewa na CEO wa WCB Wasafi Diamond Platnumz ni cheni na pete vyenye thamani ya million 150. Mbali na hayo pia amepewa nyumba nzuri ya kuishi Mbezi Beach ni mara tu alipoangusha wino mwanzo mwa huu mwaka 2023.
  4. JanguKamaJangu

    Floyd 'Money' Mayweather anunua cheni yenye thamani ya Tsh. Bilioni 2.3

    Bondia amefanya hayo siku chache kabla ya pambano lake lisilo la ubingwa dhidi ya Aaron Chalmers, Februari 25, 2023 Nchini Uingereza ikiwa ni siku moja kabla ya kutimiza umri wa miaka 46. Cheni hiyo ameinunua kwa Dola Milioni 1 ikiwa ni zaidi ya Tsh. Bilioni 2.3 ina uzito wa kilo 2.6 imeundwa...
  5. Suley2019

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza zawadi ya cheni aliyopewa mkewe iuzwe ili kujenga bweni la Wanafunzi Simanjiro

    MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite. Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia...
  6. C

    Afanya upasuaji kwa kuweka cheni zenye dhahabu kichwani kwake kama nywele

    Rapa kutoka Mexico, Dan Sur @dansurig amefanyiwa upasuaji na kuondolewa nywele zake kichwani na kuwekewe cheni za dhahabu. Dan Sur anasema alitaka kufanya kitu tofauti, kuwa binadamu wa kwanza kuwa na cheni za dhahabu kichwani badala ya nywele, "Hizi cheni zimewekwa ndani ya ngozi yangu, mimi ni...
  7. instagram

    Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

    Akiwa Marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la macheni, mapete na masaa ambayo wataalamu wa mambo ya vito vya thamani wa instagram yaani...
Back
Top Bottom