Search results

  1. Ofsaa

    Nini kitatokea usipochukua Barua ya Kazi Utumishi?

    Habari wana Jukwaa nina maswali kadhaa ambayo nimekutana nayo kwa watu wa karibu nikaona niwashirikishe kupata mawazo yenu. 1. Hivi ukiitwa kuchukua barua ya kupangiwa kituo cha kazi na usipoenda kuchukua, zikitokea kazi nyingine unaweza kuomba au unazuiwa kuomba tena kazi Utumishi? 2. Ukiitwa...
  2. Ofsaa

    Natafuta kazi nina Diploma ya IT, Dereva, Data Clerk na Graphic Designer

    Habari wana jF Majina: Rashid Jinsia: Kiume Elimu: Diploma IT, Driving Certificate Mahali ninapoishi: Dar Es Salaam Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT, ili niweze kujikwamua na uchumi. Nina Uzoefu Sehemu hizi 1. Graphics Designing and large Formating Printing Skills 2...
  3. Ofsaa

    Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT

    Habari wana jF, Majina: Rashid Jinsia: Kiume Mahali ninapoishi: Dar Es Salaam Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT, ili niweze kujikwamua na uchumi. Nina Uzoefu Sehemu hizi 1. Graphics Designing 2.Data Clerk 3.Photographing 4.Marketing (Digital Marketing) With...
  4. Ofsaa

    CANNON 1200D FOR SALE (INAUZWA)

    Bado ipo clean kama mpya haijatumika muda mrefu iko kwenye condition nzuri Inashoot movie Memory 8GB Mkanda Charger Lens 18 - 55 Bei 650000/= maelewano pia yapo Nipo Mombasa Ukonga
  5. Ofsaa

    Canon 1200D for sale(Inauzwa)

    Bado ipo clean kama mpya haijatumika muda mrefu iko kwenye condition nzuri Inashoot movie Memory 8GB Mkanda Charger Lens 18 - 55 Bei 650000/= maelewano pia yapo Nipo Mombasa Ukonga
  6. Ofsaa

    Natafuta nafasi ya Uingizaji wa Data (Data Clerk)

    Habari wakuu, Ninashida na kujua wap wanatoa nafasi za data clerk part time kwa hapa Dar. Nauliza hapa kwa sababu humu kuna watu mbali mbali wanaofanya kazi mbali mbali Elimu Diploma in Information Technology Uwezo binafsi: Graphics Designer, Photographer, Mawasiliano 0627225627 Kazi...
  7. Ofsaa

    Naomba ushauri wa namna ya kupata ajira jiji la Dar es Salaam

    Wakuu Kesho nataka Kuingia Mzigoni Kupita Ofisi Moja Moja Hapa Jijini Dar Kutafuta Ajira hata ya Muda Mfupi Ili niweze kusongesha Gurudumu La Maisha. Nimeona niandike Thread Hii kupata Ushauri Ofisi Gan Nizipe kipaumbele na Nisiziache Kwa wenye Uzoefu. Course: INFORMATION TECHNOLOGY...
  8. Ofsaa

    Operation ya kuondoa scrotum moja

    Habari wa Jf, Nina mdogo angu aliumwa ghafra, Akapelekwa Hospital tatizo ilikuwa anaumia kwenye scrotum moja ikavimba kwa muda akawa anapata matibabu lakin haikupungua ikabidi mzee amuamishe hospital hospital aloenda wakamwambia inatakiwa hiyo scrotum moja inabid itolewe baada ya kumfanyia utra...
  9. Ofsaa

    Ku format exfat Flash inayosema unrecognized device was specified

    Wazee nakipengele hapa nilikuwa narusha kawaida window image kwenye flash ikawa inaingia haikufika mpaka mwisho ikawa imeji disconnect baada ya hapo mzee haiformatiki nishajaribu njia zote hata za google zina fail file system inasoma Exfat Natanguliza shukran
Back
Top Bottom