Ku format exfat Flash inayosema unrecognized device was specified

Ofsaa

Member
May 14, 2019
32
30
Wazee nakipengele hapa nilikuwa narusha kawaida window image kwenye flash ikawa inaingia haikufika mpaka mwisho ikawa imeji disconnect baada ya hapo mzee haiformatiki nishajaribu njia zote hata za google zina fail file system inasoma Exfat

Natanguliza shukran
 
Hiyo flash ni otg?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom