Uwe unaweka na namba yako ya simu. Mwenye uhitaji atakupigia. Hii mambo ya PM imepitwa na wakati.Bado ipo clean kama mpya haijatumika muda mrefu iko kwenye condition nzuri
Inashoot movie
Memory 8GB
Mkanda
Charger
Lens 18 - 55
Bei 650000/= maelewano pia yapo
Nipo Mombasa Ukonga View attachment 2262626