⚠️picha za kutisha⚠️
Israel ilifanya shambulio lililolenga gari katika kitongoji cha Rimal kaskazini mwa Gaza. Magaidi 4 waliangamizwa.
Kwa jumla, angalau magaidi 28 waliangamizwa leo katika Ukanda wa Gaza.
Hamas ilichapisha taarifa kuhusu kuongezeka kwa mashambulizi ya kulenga ya IDF dhidi...
Wakati sisi Afrika tunaendelea kuwa na maraisi wanazeeka wakiwa madarakani ila wenzetu wanavitu ambavyo mpaka sasa sijui wanaficha nini.
Graphics card kwa utambuzi rahisi unaweza kusema ni kwa ajili ya kupata muonekano na uwezo wa kucheza games.
Ila kwa dunia ya sasa imekuwa tofauti sana mpaka...
Unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza posters, logos, social media designs na branding ya biashara bila kuwa na experience ya awali? Hii ni kozi sahihi ya kuanza nayo kama beginner kwenye dunia ya graphic design. 🚀
📌 Kozi hii ya Graphic Design Basics kutoka ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha...
Habarini wakuu,
Wakuu mimi ni kijana wa kiume miaka 25years nilikuwa natafuta kazi ya kutengeneza platform, website au app. nipo tayari kuanza kwa kujitolea hata kwa wiki kadhaa au hata mwezi mzima alafu baadae unaweza kuniajiri.
Naomba kama kuna mtu anahitaji kijana kama mimi hivyo basi...
Mkuu wa Majeshi ya Israel amewaonya kwa mara nyingine tena magaidi wa Hamas kuwa Majeshi ya Israel yataongeza mbinyo kwa magaidi hao huko Gaza mpaka mateka inayowashikilia waachiwe huru.
Hayo yamejiri baada ya shambulio kubwa kuwasaka magaidi waliokuwa wamejificha kwenye nyumba moja huko Beit...
Majeshi ya Israel yamefanikiwa kumuua gaidi Mohamed Mansour aliyekuwa akit uhu iwa kuamru kushambuliwa kwa makazi ya wayahudi huko Kaskazini mwa Israel juzi aliingia kwenye 18 za majeshi ya Israel na gari yake kupigwa kombola gari liliwaka akiwemo yeye na mpambe wake juhudi za kutoa kwenye hilo...
📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako?
Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯
✅ Unakutofautisha na washindani
✅ Inavutia wateja zaidi
✅ Inajenga uaminifu
✅ Inasaidia kuuza zaidi
🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
Natafuta Mwalimu wa Graphic Design
🔹 Sifa: Awe mhitimu wa chuo
🔹 Mshahara: Makubaliano
🔹 Mahali: Nyumbani kwangu (Dar es Salaam)
🔹 Ratiba: Kila Jumapili, kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku
🔹 Marupurupu: Laptop, simu (kiswaswadu)
🔹 Muda wa Kozi: Makubaliano
📍 Awe mkazi wa Dar es Salaam...
Dark Earth Carbon on behalf of Masika Venture, is seeking a Graphic Designer & Social Media Marketer
Job Location: Dar es Salaaam
Short Brief of the Company:
Masika Ventures is an umbrella organization that encompasses the business services functions of our companies including Upendo Honey...
Jamani poleni nakazi na mihangaiko ya hapa na pale wakuu. Kama nilivyosema mimi ni mpenzi wa games sasa kuna gaming pc nimeipata mshikaji anaiuza hana hela kaishiwa ina graphic card aina ya GTX 1650 4 GB sasa nilikuwa nauliza hii gaming pc inaweza kucheza magame ya ps5 Maana hamu yangu ni...
Tunatafuta mtaalamu mwenye ujuzi katika Graphic Design na Digital Marketing kwa ajili ya kujiunga na timu yetu. Mtu anayefaa kwa nafasi hii anatakiwa kuwa mbunifu, mwenye uelewa mzuri wa masoko ya kidijitali, na uwezo wa kuandaa maudhui yanayovutia.
Majukumu:
Kubuni na kutengeneza nyenzo za...
Nina Ordinary Diploma ya Information Technology nina Ujuzi sehem zifuatazo :-
1. Graphics Designing and Printing
2. Data Entry
3. Class D license ya Magari (Manual na Automatic transmission)
4. Sales and Marketing, kuongoza Team ya Marketing
NB: Ninafundishika Kama ni kazi mpya na mifumo mipya...
Wakuu,
Mimi ni mtu ninayependa sana technology na nimekuw nikifuatilia sana masuala ya technology. Kwa upande wangu sijasoma course yoyote officially ambayo iko related na masuala ya IT ila mengi nimejifunza mwenyewe kuanzia programming japo siwezi tengeneza kitu chochote cha maana ila najua...
Graphic Card Nvidia RTX 2060 Super 8gb
Nauza Tsh 600000/= laki sita
inacheza games zote wakuu niwewe tuu
na wale watu wa 3d hii ni fursa kwako chukua piga kazi kwa uhakika
0657977457
📍Dar es Salaam
UNAHITAJI KUDESIGN STICKERS & PRODUCTS LABELS,VIPEPERUSHI,POSTER NA LOGO YA BIDHAA YAKO?
Usikubali bidhaa yako uize kiholela sokoni bila kuwa na utambulisho wenye muonekano mzuri na kuuzika sehemu yoyote unayohitaji Bidhaa nyingi nzuri zimeshindwa kupata masoko sababu hazina muonekano mzuri...
Je, unahitaji huduma bora za Graphic Design? Kama jawabu ni ndio! Basi hii ni sehemu sahihi ya kutatua haja yako.
Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu:
🔹 Huduma ya Logo design zenye kuvutia na za kipekee pamoja na banner.
🔹 Huduma ya business Card design.na lebo za bidhaa
🔹...
Je, unahitaji huduma bora za Graphic Design? Kama jawabu ni ndio! Basi hii ni sehemu sahihi ya kutatua haja yako.
Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu:
🔹 Huduma ya Logo design zenye kuvutia na za kipekee.
🔹 Huduma ya business Card design.
🔹 Huduma ya Flyer
🔹 Huduma ya poster...
Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote.
Bajeti ya sista kwa picha ni sh. Elfu 5 kwa kila picha.
Mimi huyo nikaenda mpaka kwa ofisi ya brother mmoja anafanyaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.